kitoto.wordpress.com
KISWANGLISH KIMETUHARIBIA LUGHA WATANZANIA- HATA KIINGEREZA HATUKIWEZI … | kitoto
https://kitoto.wordpress.com/2015/06/29/kiswanglish-kinazidi-kutuharibia-lugha-watanzania
Sanaa, Fasihi, Afya, Fikra na…. Laquo; KWA UFUPI-KUMBUKUMBU KADHAA ZA KARIBUNI…. MAJIRANI NA MARAFIKI ZETU WAKENYA KUSHEHEREKEA LONDON KESHO JUMAMOSI. KISWANGLISH KIMETUHARIBIA LUGHA WATANZANIA- HATA KIINGEREZA HATUKIWEZI …. June 29, 2015 by Kitoto. Inashangaza namna uzungumzaji wa Kiingereza kwa Watanzania unavyozidi kuwa ovyo. Si tu nyumbani bali Ughaibuni. Popote pale unaposikia Mtanzania akihojiwa au akiongea hadharani Ughaibuni anavurunda lugha ya Kiingereza. Kwa sababu gani? Wakongo hivyo hivyo....
kitoto.wordpress.com
KWA UFUPI-KUMBUKUMBU KADHAA ZA KARIBUNI…. | kitoto
https://kitoto.wordpress.com/2015/04/14/kwa-ufupi-kumbukumbu-kadhaa-za-karibuni
Sanaa, Fasihi, Afya, Fikra na…. Laquo; USALAMA NA KUJIPENDA WEWE NA NCHI NDIYO SIRI YAKO MZALENDO…. KISWANGLISH KIMETUHARIBIA LUGHA WATANZANIA- HATA KIINGEREZA HATUKIWEZI …. KWA UFUPI-KUMBUKUMBU KADHAA ZA KARIBUNI…. April 14, 2015 by Kitoto. Mara ya mwisho kwenda nyumbani Tanzania nilikutana na rafiki wa ujanani…Bwana Adam Sijaona. Tulikuwa wote zamani (1975) Jeshi la Kujenga Taifa, Mafinga. Tulipohenya na kugangamala. Adamo (kulia, chini) bado yuko vile vile na matani matani yake. Picha na A. Isaacs.
kitoto.wordpress.com
Kitoto | kitoto
https://kitoto.wordpress.com/author/kitoto
Sanaa, Fasihi, Afya, Fikra na…. Http:/ www.freddymacha.com. Mi mwanamuziki na mwandishi. Nimekuwa naandika magazetini na kupiga muziki jukwaani toka nikisoma Mzumbe mwaka 1973. Nimeshasafiri na kuishi nchi za Afrika Mashariki, Ulaya, Marekani ya kusini na kaskazini. Ninaishi London. Habari zaidi tembelea tovuti yangu www.freddymacha.com/. Posts by freddy macha:. July 18, 2016. MATUKIO KADHAA LONDON- JULAI 2016. May 14, 2016. May 11, 2016. POLENI FAMILIA MICHUZI KWA KUFIWA. May 11, 2016. May 6, 2016.
SOCIAL ENGAGEMENT