blog.utandawazi.net
Jobs | Utandawazi Technologies
http://blog.utandawazi.net/category/jobs
Management Trainees Job in Kenya-PZ Cussons East Africa. March 1st, 2012. Who we are, Globally PZ Cussons PLC is a FTSE 250 listed Consumer Products Group, with its headquarters in the UK (Manchester), and operations in Africa, Asia and Europe Who we are, in East Africa PZ Cussons East Africa is a leading manufacturer of personal care and household products, with brands such as Imperial Leather, Ushindi, […]. Where to find jobs online – Top 40 freelancing sites. February 1st, 2012. Enter your email addre...
kiswahili.gskool.com
Jarida la gskool...Gskool.com
http://kiswahili.gskool.com/jarida.htm
Tunakusudia kuanza kuchapisha Jarida la gskool. Kwa sasa hatujaanza kuchapisha jarida lenyewe lakini wakati ukizidi kupita tutaanza kulichapisha jarida lenyewe na utaweza kuyasoma makala yako bila kwenda kwenye mtandao. Kwa sasa tunakuhimiza kusoma jarida la utukufu wa kiswahili,. Linalochapishwa na jopo la kiswahili la Starehe Boys' centre. Kusudi letu ni kukuelimisha wewe pamwe na wanachi wengine na kuhakikisha kwamba Lugha ya Kiswahili inazidi kukua. Iliyoandikwa na Wakurugenzi Hakuruhusiwi.
kiswahili.gskool.com
Ushairi...Gskool.com
http://kiswahili.gskool.com/ushairi.htm
Pata Uhondo na Mawaidha. Ushairi ni matumizi ya lugha isiyo ya kawaida katika kupitisha ujumbe fulani. Mashairi yanaweza kukaririwa au kuimbwa kulingana na madhumuni na mbinu anyotaka kutumia manju. Katika ushairi tunakutana na watu wawili ambao wana umuhimu mkubwa katika kupitisha ujumbe kwa wanadamu kuhusu jambo fulani. Kunayo mashairi ya arudhi au ya kimapokeo. Haya ni mashairi yanayofuata sheria za ushairi ambazo zinakubalika katika utunzi wa mashairi. Iliyoandikwa na Wakurugenzi Hakuruhusiwi.
kiswahili.gskool.com
Isimu Jamii...Gskool.com
http://kiswahili.gskool.com/isimu.htm
Na pia kuwa hii ni njia mojawapo ya kuonyesha na kudhihirisha kukua kwa lugha. Kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Hata hivyo, jambo hili limewawia kizungumkuti mahuluki lukuki madhali isimu jamii ilikuwa imetupiliwa mbali katika kaburi la sahau. Iliyokufa fo! Linguistics) ni mtalaa ambao huchunguza, huchanganua na pia kuchambua na kufafanua lugha kama. Mfumo wa mawasiliano baina ya wanadamu. Ni mtalaa unaochunguza lugha ikiwa katika muktadha wake wa matumizi na wanaoitumia jamii. Ni lugha inayoteuliwa ka...
kiswahili.gskool.com
Mabingwa wa kiswahili...Gskool.com
http://kiswahili.gskool.com/mabingwa.htm
Wajue Mabingwa wa Kiswahili. Ukurasa wa mabingwa wa kiswahili ni kitengo tunachoanzisha ili kuwapa heshima zao wale wote walichangia na wanaochangia pakubwa katika kuikuza lugha ya kiswahili. Kwa sasa kwa ufupi tu tutawataja wafuatao ambao wamechangia pakubwa katika kuimarisha lugha hii yetu teule:. Mwalimu Walla Bin Walla. Marehemu Prof. Katama Mkangi. Na bila shaka kwa idhini ya mkuu wa idara ya kiswahili wa gskool, basi tutakuweka kwenye orodha yetu. Iliyoandikwa na Wakurugenzi Hakuruhusiwi.
blog.utandawazi.net
News | Utandawazi Technologies
http://blog.utandawazi.net/category/news
February 1st, 2012. How to remove windows not genuine message: no programs to install. Show Hidden Folders and Files (Windows XP, 7 and 8). How to create a bootable Windows 7 USB flash drive easily. How to Reset Your Forgotten Windows Password. Show hidden files and folders by editing the registry. On Kenya, YU Internet Settings. On Kenya, YU Internet Settings. On Kenya, YU Internet Settings. On Kenya, YU Internet Settings. On Kenya, YU Internet Settings. Enter your username and password below to login.
kevin-kimani.memory-of.com
Kevin Kimani Life Story & Time Line
http://kevin-kimani.memory-of.com/legacy.aspx
Create a Memorial Website ». Total of 34 records]. Updates for 2013 and 2014. Good News: In the process of updating - please vsiit again. First of all many thanks to supporters of KKSF - this is just a snap shot of your good deeds over the years. I cannot expres enough how this statement reflects you all: (LOVE IS SHOWN IN YOUR DEEDS, NOT IN YOUR WORDS):. From the bottom of my heart - Martha aka Nduta aka mama Kevin. Samuel Nyamai (former Alliance) - Nairobi University (Dentistry - Dental Surgery). Angel...
blog.utandawazi.net
How to create a bootable Windows 7 USB flash drive easily | Utandawazi Technologies
http://blog.utandawazi.net/2014/02/how-to-create-a-bootable-windows-7-usb-flash-drive
How to create a bootable Windows 7 USB flash drive easily. February 23rd, 2014. You want to install Windows 7 or Windows 8 onto a computer that does not have a CD Drive, and you don’t have an external CD drive, here’s what to do:. Put the Windows DVD in a drive (or mount the ISO) and make note of the drive letter. This can be in a different computer. In my case it is drive G:. Put in the USB Thumb Drive Key in the computer and make note of the drive letter and the size of the disk. If you get an error me...
kiswahili.gskool.com
Pata mawaidha kemkem...Gskool.com
http://kiswahili.gskool.com/mawaidha.htm
Haya ni Mawaidha yaliyotumwa na wasomaji wetu. Tafadhali anzisheni kitengo cha methali. Nitafurahia sana kusoma haya katika gskool. -Victor. Asante sana kwa mchango. Vitengo hivi tutavianzisha hivi karibuni. Yangu si mawaidha mbali pongezi kwa kazi nzuri mnayoendelea kufanya. Endeleeni vivyo hivyo na bila shaka mtafikia upeo mwa juu Zaidi.Bonnie. Shukrani Bonnie, tutazidi kujikakamua. Sijui kwanini kitabu cha walenisi. Je, muundo wetu mpya unakupendeza? Iliyoandikwa na Wakurugenzi Hakuruhusiwi.