tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: March 2014
http://tembemwana.blogspot.com/2014_03_01_archive.html
Thursday, March 6, 2014. Just Remembered My Blog! Subscribe to: Posts (Atom). Just Remembered My Blog! View my complete profile.
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: Siku ya Akina Mama Katika Picha
http://tembemwana.blogspot.com/2012/05/siku-ya-akina-mama-katika-picha.html
Monday, May 14, 2012. Siku ya Akina Mama Katika Picha. Sijachelewa sana kuituma hii picha. Hakuna kuchelewa hata siku mopja.Mwanawake oyeeee.Inapendeza kwa kweli. May 15, 2012 at 4:43 PM. Yah, hingera akina mama, kweli tumetoka mbali, tuwashkuruni sana akina mama na kuwaombea walewaliotangulia mbele yahaki. May 16, 2012 at 9:32 AM. Subscribe to: Post Comments (Atom). Siku ya Akina Mama Katika Picha. View my complete profile.
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: August 2011
http://tembemwana.blogspot.com/2011_08_01_archive.html
Wednesday, August 17, 2011. Serikali Sikivu ya . Thursday, August 4, 2011. Nguvu Kazi na Maarifa Katika Kuongoza Magari. Subscribe to: Posts (Atom). Serikali Sikivu ya . Nguvu Kazi na Maarifa Katika Kuongoza Magari. View my complete profile.
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: CHADEMA Chaanza kupata "Umaarufu" Zanzibar
http://tembemwana.blogspot.com/2012/02/chadema-chaanza-kupata-umaarufu.html
Monday, February 13, 2012. CHADEMA Chaanza kupata "Umaarufu" Zanzibar. Matokeo ya uchaguzi mdono wa jimbo la Uzini, Zanzibar yameanza kutoa picha tofauti za kisiasa visiwani Zanzibar, mara baada ya mgombea wa CCM kuibuka kidedea kwa kuzoa zaidi ya asilimia 90 ya kura zote zilizopigwa. Sina hakika nini kinachoendelea huko Zanzibar, lakini kwa matokeo hayo, yanaashiria kuwa CHADEMA huenda kikawa chama kitakachokuwa kinaongoza kwa upinzani huko Zanzibar. Wakati ni ukuta, nafikia tamati kwa leo!
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: Kero Mitaani
http://tembemwana.blogspot.com/2012/07/kero-mitaani.html
Monday, July 16, 2012. Iwapo wewe utaona kuwa na ng'ombe wamejaa barabarani na kukuzuia kupita ukiwa maeneo ya vijijini, basi wenzetu mabata ni kero mijini. Hapo kazi kweli kweli, siku njema nawe pia. July 16, 2012 at 8:11 PM. Mpendwa upo, ama hi kali, mabata kama ndege.duuh,huyo jamaa anajua idadi yake kweli! July 19, 2012 at 8:03 AM. November 18, 2013 at 8:16 PM. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: April 2012
http://tembemwana.blogspot.com/2012_04_01_archive.html
Tuesday, April 24, 2012. Kimya kikuu kina mshindo jamani. Ninatarajia kuanza kujikongoja na mambo ya blogging. Mitihani na masomo kwa ujumla yalikuwa yamenibana sana tena sana. Subscribe to: Posts (Atom). View my complete profile.
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: January 2012
http://tembemwana.blogspot.com/2012_01_01_archive.html
Wednesday, January 25, 2012. Mgogoro wa Wizara ya Afya na Madaktari! Tanzania yetu ni nzuri sana. Viongozi wanajiamulia wanavyotaka wakitegemea walio chini yao kukaa kimya kama vile hawaoni wala hawasikii. Mtu akikunyima haki yako anataka ufunge domo lako. ati uking'aka kidogo, basi anatishia kukuumiza au kukutimulia mbali kama vile vumbi, na wala asitake kujua utaangukia wapi na nani utaenda kumchafua kwa kumuangukia, kwani umetimuliwa mahali na kufikishwa pengine pasipo matarajio yako. Huku huyo fahari...
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: November 2011
http://tembemwana.blogspot.com/2011_11_01_archive.html
Monday, November 28, 2011. Hapa Hakuna Soko kwa Madaktari wa Kuremba na Dawa za Kichina. Si kila aliye nayo ni ya asili. Wafanyabiashara wamegundua au wamebuni makalio ya bandia yanayotengenezwa kiwandani na ya kuyauza kwa akina dada na akina mama wanaotaka kuonekana ya kuwa na wao wamejazia. Pichani dada wa . akijaribu na kupima muonekano wake huku akijiangalia kwenye kioo. Dunia hii ni ya ajabu, wale walionayo wanatamani yapungue, na wale wasio nayo wanafanya kila juhudi ili wayapate.
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: July 2012
http://tembemwana.blogspot.com/2012_07_01_archive.html
Monday, July 16, 2012. Iwapo wewe utaona kuwa na ng'ombe wamejaa barabarani na kukuzuia kupita ukiwa maeneo ya vijijini, basi wenzetu mabata ni kero mijini. Subscribe to: Posts (Atom). View my complete profile.
tembemwana.blogspot.com
Upepo Mwanana: May 2012
http://tembemwana.blogspot.com/2012_05_01_archive.html
Monday, May 14, 2012. Siku ya Akina Mama Katika Picha. Sijachelewa sana kuituma hii picha. Subscribe to: Posts (Atom). Siku ya Akina Mama Katika Picha. View my complete profile.