tmark-turn.blogspot.com
MSANII BI. NYAKOMBA, AFARIKI DUNIA ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/05/taarifa-zilizo-tufikia-ni-kwamba.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. MSANII BI. NYAKOMBA, AFARIKI DUNIA. Wednesday, May 27, 2015. Taarifa zilizo tufikia ni kwamba, Muigizaji Maarufu wa Radio na Television, Bi. Catherine Mapunda, Maarufu kwa Jina la Uigizaji Bi Nyakomba, amefariki dunia. Amefariki katika hospitali ya Jeshi la Polisi katika barabara ya Kilwa, alikopelekwa usiku wa kuamkia tarehe 25 May 2015 baada ya kuzidiwa. Bi Nyakomba alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari tangia mwaka 2012. Inawa...
tmark-turn.blogspot.com
Nakala ya Qur'an Iliyo 'Kongwe' Yapatikana Katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza. ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/07/nakala-ya-quran-iliyo-kongwe-yapatikana.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Nakala ya Qur'an Iliyo 'Kongwe' Yapatikana Katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza. Wednesday, July 22, 2015. Msahafu huo Unaweza kuwa ndio mkongwe zaidi duniani unapatikana katika Chuo Kikuu cha Birmingham, nchini Uingereza. Mshafu huu uligunduliwa kuwa mkongwe baada ya mtafiti wa shahada ya uzamifu (PhD), Bwana Alba Fedeli, alipoamua kufanya uchunguzi wa karibu zaidi katika kurasa za huo msahafu na kuzifanyia vipimo kwa kutumia m...
tmark-turn.blogspot.com
Mimi Na Tanzania - Madawa Kijiweni Tandika - Hoyce Temu ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/06/mimi-na-tanzania-madawa-kijiweni.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Mimi Na Tanzania - Madawa Kijiweni Tandika - Hoyce Temu. Tuesday, June 02, 2015. Hii ni moja ya video iliyo rekodiwa na mwana dada Hoyce Temu, video hii imepigwa maeneo ya Tandika, Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. Wachache walio hojiwa wanaomba kama ikiwezekana basi wapatiwe msaada ili waweze kuacha kutumia haya madawa. Video hapa chini inajieleza. Subscribe to: Post Comments (Atom). For All Your Graphic Design Needs. 160; QUEEN...
noewestyspecialoccasion.blogspot.com
Noe & Westy Special Occasion: Catering
http://noewestyspecialoccasion.blogspot.com/p/catering.html
Subscribe to: Posts (Atom). We Deals With All Types of Stationary, Typing, Printing, Photocopy, Binding, Lamination, ID Cards. All Types of Invitation Cards, Wedding, Send off, Mchango All Types of Cakes, Birthday, Wedding, Send off, Communion, Baptism, Confirmation Hiring Of Wedding Chairs and Tables, Catering, Wedding Decoration. View my complete profile. FOR ALL YOUR GRAPHIC DESIGN NEEDS. FOR ALL YOUR GRAPHIC DESIGN NEEDS. Noe and Westy. Simple template. Powered by Blogger.
noewestyspecialoccasion.blogspot.com
Noe & Westy Special Occasion: Stationery
http://noewestyspecialoccasion.blogspot.com/p/stationery.html
Subscribe to: Posts (Atom). We Deals With All Types of Stationary, Typing, Printing, Photocopy, Binding, Lamination, ID Cards. All Types of Invitation Cards, Wedding, Send off, Mchango All Types of Cakes, Birthday, Wedding, Send off, Communion, Baptism, Confirmation Hiring Of Wedding Chairs and Tables, Catering, Wedding Decoration. View my complete profile. FOR ALL YOUR GRAPHIC DESIGN NEEDS. FOR ALL YOUR GRAPHIC DESIGN NEEDS. Noe and Westy. Simple template. Powered by Blogger.
noewestyspecialoccasion.blogspot.com
Noe & Westy Special Occasion: Wedding
http://noewestyspecialoccasion.blogspot.com/p/blog-page.html
Subscribe to: Posts (Atom). We Deals With All Types of Stationary, Typing, Printing, Photocopy, Binding, Lamination, ID Cards. All Types of Invitation Cards, Wedding, Send off, Mchango All Types of Cakes, Birthday, Wedding, Send off, Communion, Baptism, Confirmation Hiring Of Wedding Chairs and Tables, Catering, Wedding Decoration. View my complete profile. FOR ALL YOUR GRAPHIC DESIGN NEEDS. FOR ALL YOUR GRAPHIC DESIGN NEEDS. Noe and Westy. Simple template. Powered by Blogger.
watotonajamii.blogspot.com
Watoto Na Jamii: Wanawake na Malezi
http://watotonajamii.blogspot.com/2014/10/wanawake-na-malezi.html
Wednesday, 22 October 2014. Shukrani; Theavenue mawazohuru. Labels: Wazazi na Malezi. Subscribe to: Post Comments (Atom). Yahusu;Maisha,Elimu,Malezi,Habari za Watoto na Walezi/Wazazi Kwenye Shida na Raha. Karibuni sana kwa Ushauri/Maoni na Mengineyo yote kuhusiana na Watoto Na Jamii. Kama kuna la zaidi nitumie kupitia Email.rasca@hotmail.co.uk. Watoto Wetu Leo;Hadithi ya Binti Chura,Sehemu Ya 1-2. Watoto Wetu,Katuni ya Leo-Kiriku na Mchawi sehemu ya 1-4 kwa kiswahili! Leo Jua limewaka ni kucheza tuu!
watotonajamii.blogspot.com
Watoto Na Jamii: Watoto Wetu Leo;Vibonzo Vinavyofurahisha Mioyo ya Watoto
http://watotonajamii.blogspot.com/2015/03/watoto-wetu-leovibonzo-vinavyofurahisha.html
Saturday, 14 March 2015. Watoto Wetu Leo;Vibonzo Vinavyofurahisha Mioyo ya Watoto. Habari za siku nyingi wapenzi Wazazi/Walezi na Watoto. Samahani nilipotea kidogo mambo yaliingiliana. Natumaini mko salama na manaendelea vyema na masomo/maisha ya kila siku. Basi nisiwachoshe Leo tujifunze Vibonzo/Katuni zinavoandaliwa. Pia kupitia Vibonzo/katuni kuna mambo mengi ya kujifunza. Shukrani; william Ndunde. Ni mimi Shangazi/Mama yenu Rachel siwa[Kachiki] Nawataki Jumamosi Njema. Labels: watoto na Kujifunza.
tmark-turn.blogspot.com
Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba Amefariki ~ T-Mark
http://tmark-turn.blogspot.com/2015/06/mufti-mkuu-wa-tanzania-shekh-issa.html
News, Entertainment, Culture, Fashion, Health, Science and Many More. Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba Amefariki. Monday, June 15, 2015. Habari zilizotufikia muda si mrefu ni kwamba Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Issa Shabani Simba Amefariki dunia, leo asubuhi. Taarifa ya mazishi kwa mujibu wa Sheikh wa mkoa Alhadi kupitia Radio Quran yatafanyika siku ya Alhamisi, Mkoani Shinyanga. Kwa wale wote watakaopata nafasi basi wanaweza kuudhuria Msibani nyumbani kwake Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
SOCIAL ENGAGEMENT