irenemwamfupejamii.blogspot.com
IRENE MWAMFUPE JAMII: Kigogo Ikulu azuia nyumba ya Jide
http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/2015/08/kigogo-ikulu-azuia-nyumba-ya-jide.html
TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA. Wednesday, August 5, 2015. Kigogo Ikulu azuia nyumba ya Jide. Deogratius Mongela na Chande Abdallah. Ile nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyopo Mivumoni, Kinondoni jijini Dar es Salaam, iliyowekwa mnadani zaidi ya mwezi mmoja uliopita, imezuiwa kupigwa bei na kigogo mmoja wa ikulu, Risasi Mchanganyiko lina full data. Judith Wambura Mbibo ‘Jide’. Baada ya kupata ‘ubuyu’ huo, gazeti hili lilitaka kujiridhisha na ukweli wa...8220;Ni k...
irenemwamfupejamii.blogspot.com
IRENE MWAMFUPE JAMII: MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR LEO,VIFIJO NA NDEREMO VYATAWALA
http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/2015/08/magufuli-achukua-fomu-kuwania-urais.html
TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA. Tuesday, August 4, 2015. MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR LEO,VIFIJO NA NDEREMO VYATAWALA. Mhe Samia Suluhu Hassan akiwashukuru Wananchi na Wanachama wa CCM waliojitokeza kwa wingi nje ya ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akiwashukuru Wananchi na wafuasi wa chama cha CCM walioshiriki shugh...
irenemwamfupejamii.blogspot.com
IRENE MWAMFUPE JAMII: Wabunge 51 waanguka kura za maoni
http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/2015/08/wabunge-51-waanguka-kura-za-maoni.html
TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA. Saturday, August 8, 2015. Wabunge 51 waanguka kura za maoni. Wakati vyombo vya juu vya baadhi ya vyama vya siasa vikiwa vimeanza hatua za mwisho za kupitisha wagombea wa ubunge na udiwani tayari kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, hadi juzi wabunge 51 walikuwa wameanguka kwenye kura za maoni za ndani ya vyama vyao. Miongoni mwa walioanguka ni mawaziri wa Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambao walikuwa wakitetea viti vyao majimboni. Mbali na walioanguka, wa...
irenemwamfupejamii.blogspot.com
IRENE MWAMFUPE JAMII: NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura
http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/2015/08/nec-marufuku-kutoa-kadi-ya-kupigia-kura.html
TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA. Saturday, August 8, 2015. NEC: Marufuku kutoa kadi ya kupigia kura. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeonya kwamba mtu yoyote haruhusiwi kutoa kadi yake ya kupigakura au taarifa za kadi hiyo kwa ndugu, jamaa au mwajiri wake. NEC imetoa onyo hilo wakati tayari kukiwa na tetesi kuwa baadhi ya wafanyakazi wa umma wakiwamo polisi, wanajeshi na askari magereza, wametakiwa kukabidhi kadi zao kwa viongozi wao wa ngazi za juu. Ofisa Mawasiliano wa Magereza, Deodatus Kazinja alisema hi...
irenemwamfupejamii.blogspot.com
IRENE MWAMFUPE JAMII: Mkutano Mkuu wa CHADEMA umempitisha Edward Lowassa kuwa Mgombea Urais na mgombea mwenza Duni Haji, hatimaye kuwa wagombea wa UKAWA
http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/2015/08/mkutano-mkuu-wa-chadema-umempitisha.html
TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA. Tuesday, August 4, 2015. Mkutano Mkuu wa CHADEMA umempitisha Edward Lowassa kuwa Mgombea Urais na mgombea mwenza Duni Haji, hatimaye kuwa wagombea wa UKAWA. Ukumbi wa mlimani City unavyoonekana kabla ya wajumbe kuingia:. Wajumbe wa Kamati Kuu wameingia ukumbini kwa muda wa dakika kadhaa zilizopita. Hivi sasa Edward Lowassa anaingia ukumbini akiwa akiambatana na John Mnyika, Freeman Mbowe, Salum Mwalimu. Salim, anasema usajili uliofanywa na Mbowe wakati wa dakika za mwisho unast...
irenemwamfupejamii.blogspot.com
IRENE MWAMFUPE JAMII: Nuh Mziwanda amuomba penzi Wema!
http://irenemwamfupejamii.blogspot.com/2015/08/nuh-mziwanda-amuomba-penzi-wema.html
TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA. Monday, August 3, 2015. Nuh Mziwanda amuomba penzi Wema! Katika hali ya kushangaza, sauti ya mpenzi wa staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ inayosikika akimtongoza Wema Sepetu imemfikia Shilole na kusababisha azimie, Ijumaa Wikienda linakupa ‘ubuyu’ kamili. Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akiwa na mpenzi wake wa sasa Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. APOTEZA ‘NETIWEKI’ “Aliporudi alipokuwa a...AUNT AOKOA JAHA...
jeedygirl.blogspot.com
TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015 - life goes on
http://jeedygirl.blogspot.com/2015/07/taarifa-kwa-umma-kuhusiana-na-taarifa.html
NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO. TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015. TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015. Picha ya Post iliyopostiwa na Kijana ajulikanae kama Raffayel Mombury. Proin Promotions tunasikitika kusema kuwa kuna habari ambazo sio za kweli ambazo zimepostiwa katika ukurasa wa facebook wa kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Raffayel Mombury. Proin promotions tunasema kutokana na taarifa hizi kutokuwa n...
jeedygirl.blogspot.com
BINTI WA ISSA MICHUZI AJITOSA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUMU TABORA - life goes on
http://jeedygirl.blogspot.com/2015/07/binti-wa-issa-michuzi-ajitosa-kuwania.html
NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO. BINTI WA ISSA MICHUZI AJITOSA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUMU TABORA. BINTI WA ISSA MICHUZI AJITOSA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUMU TABORA. Zahara akikabidhiwa form ofisi za UVCCM mkoani Tabora. Nawasihi watanzania haswa tulioko Tabora tujitokeze kwa wingi na tumpatie kura zetu binti wa Michuzi nimsomi, mpiganaji na mchapakazi. Tumwezeshe na tumpe nafasi atuwakilishe vijana wa Tabora maana maendeleo ni muhimu mwaka huu na kipindi chote cha uongozi wake tumwamini kwa hili. Unique african...
jeedygirl.blogspot.com
THIS KIND OF PEOPLE ARE EXISTING IN LIFE...LIFE GOES ON - life goes on
http://jeedygirl.blogspot.com/2015/07/this-kind-of-people-are-existing-in.html
NAKEMEA MAUAJI YA ALBINO. THIS KIND OF PEOPLE ARE EXISTING IN LIFE.LIFE GOES ON. THIS KIND OF PEOPLE ARE EXISTING IN LIFE.LIFE GOES ON. She got widest hips in the world. She had longest dreadlocks in the worlds. Twins who share the same body. Strongest woman is also alive. She got biggest tits ever! She cover her body and face with tattoos. Posted by Judy Mwaheleja. Please like our facebook page. SANITAS Medics and Diagnostics. Welcome to AK CLASSIC blog. PALMERS MOISTURIZING GEL WITH SPF 15. If you wann...