mwanamkezanzibar.wordpress.com
MAKALA | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/makala
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. HIJABU YA MWANAMKE WA KIISLAM. KATIKA QUR-AN NA SUNNA. Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na mwenye kurehemu. Kila sifa njema na shukrani zote anastahiki Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu wote. Sala na amani ziwe juu ya ya mja wake na Mtume wake Nabii Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ambae ametumwa kuwa mwalimu na rehma kwa walimwengu wote. Uislam ni Dini iliyoleta sheria na ...
mwanamkezanzibar.wordpress.com
Waislam someni elimu ya ndoa – Abdulrahman Bakar Muhana | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/2012/05/04/waislam-someni-elimu-ya-ndoa-abdulrahman-bakar-muhana
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Waislam someni elimu ya ndoa – Abdulrahman Bakar Muhana. May 4, 2012. Wanawake wa kiislamu nchini wametakiwa kuipa kipaumbele zaidi elimu ya ndoa ili kuepusha kuvunjika kwa ndoa zao. Amesema ndoa nyingi za kiislamu huvunjika kutokana na ukosefu wa elimu hivyo waislamu hawana budi kusimama imara katika kutafuta elimu ili kunusuru ndoa zao. Hata hivyo amesema lengo la kongamanohiloni kuwahamasisha waumini ...
mwanamkezanzibar.wordpress.com
October | 2009 | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/2009/10
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Monthly Archives: October 2009. October 15, 2009. Viongozi wa Kiislam wanaofanya kazi katika nyanja mbalimbali wamehimizwa kusimamia uadilifu katika katika sehemu wanazofanyia kazi kwa kufuata miongozo ya Qur-an na Sunna ili kuepukana na matatizo katika jamii. Continue reading →. WAISLAM WATAKIWA KUACHANA NA SHIRKI. October 5, 2009. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Follow “Mwanamke wa Kiislam”.
mwanamkezanzibar.wordpress.com
TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/tafsiri-ya-qur-an-tukufu
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Wanawake wa Kiislam wakisoma Qur-an tukufu kwa mwangaza wa mshumaa. Ili uweze kuingia kwenye ukurasa wenyewe. 5 thoughts on “ TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. April 29, 2011 at 2:30 pm Reply. MASHALLAH. WEBSITE NZURI SANA SANA. JAZAKUMULLAHU KHAIR. October 4, 2011 at 2:59 pm Reply. February 9, 2012 at 4:49 pm Reply. Http:/ www.jabalhira.com/details.php? June 26, 2012 at 1:49 pm Reply.
mwanamkezanzibar.wordpress.com
Waislam watakiwa kuifanyia kazi Qur’an | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/2012/05/04/waislam-watakiwa-kuifanyia-kazi-quran
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Waislam watakiwa kuifanyia kazi Qur’an. May 4, 2012. Waislam nchini wametakiwa kuisoma Qur’an na kuifanyia kazi ili iweze kuwasaidia katika maishayaoya kila siku. Akizungumza na wanawake wa madrasa za Bweleo Wilaya ya Magharibi Ukhty Amina Salim Khalfan alisema alisema mtu hawezi kuijua Qur’an bila ya kuyajua mazingira. Mwenyezi Mungu ataenda kuwalipa wenye kuisoma Qur’an na kuifanyika kazi. Waislam some...
mwanamkezanzibar.wordpress.com
Wazazi watakiwa kuwafuatilia watoto wao | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/2012/05/04/wazazi-watakiwa-kuwafuatilia-watoto-wao
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Wazazi watakiwa kuwafuatilia watoto wao. May 4, 2012. WAZAZI wametakiwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao katika vyuo na kwengineko na kuachana na tabia ya kuwaachia walimu pekee ili kurahisisha mafunzo ya watoto wao. Amewataka kutumia bidhaa wanazozalisha chuoni hapo kwa kuanzisha vikundi ambapo itakuwa rahisi katika kupata soko na kujiendeleza zaidi. Leave a Reply Cancel reply. Enter your comment here.
mwanamkezanzibar.wordpress.com
November | 2009 | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/2009/11
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Monthly Archives: November 2009. 8220;Vijana zidisheni mapenzi kwa Mola wenu” UKUEM. November 10, 2009. Vijana wametakiwa kuzidisha mapenzi kwa mola wao kwa kufuata maamrisho ya dini yao na kuacha makatazo. Wanawake wa Kiislam watakiwa kuutumia afya zao kwa ajili ya Allah. November 10, 2009. Mahujaji wanawake watakiwa kuwa mfano bora kwa Ucha Mungu. November 10, 2009. Mwenyekiti wa jumuiya ya Wanawake wa...
mwanamkezanzibar.wordpress.com
Mwanamke wa Kiislam | HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. | Page 2
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/page/2
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. Wanawake wa Kiislam watakiwa kuutumia afya zao kwa ajili ya Allah. November 10, 2009. Waislam wametakiwa kuzitumia vizuri afya zao wakiwa wazima kwa kukithirisha kufanya ibada kabla hayajawafikia mauti au maradhi. Newer posts →. Mahujaji wanawake watakiwa kuwa mfano bora kwa Ucha Mungu. November 10, 2009. Newer posts →. Vijana Wanawake wahimizwa kupigana ‘Jihadi’ ya nafsi. November 10, 2009. Hayo ameyase...
mwanamkezanzibar.wordpress.com
RIYADHUSSALIHIYN | Mwanamke wa Kiislam
https://mwanamkezanzibar.wordpress.com/riyadhussalihiyn
HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE. TAFSIRI YA QUR-AN TUKUFU. YALIYOCHUMWA KUTOKA KATIKA MABUSTANI YA WATU WEMA (RIYADHU SSALIHIN). MILANGO MAALUM KWA WANAWAKE. Mlango nambari 173: Uharamu wa mwanamke kusafiri peke yake. Akamwambia: Nenda ukahiji pamoja na mkeo. Muttafaq. Mlango nambari 279:Uharamu wa kumtazama mwanamke ajnabi na kumtazama kijana mwenye uso mzuri pasipo na dharura ya ki-sharia. Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Waambie waumini wanaume wainamishe mach...