www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: PINDA APIGA CHENGA YA MWILI(NI SAKATA LA MAWAZIRI KUJIUZULU)
http://www-radio5.blogspot.com/2012/04/pinda-apiga-chenga-ya-mwilini-sakata-la.html
Tuesday, April 24, 2012. PINDA APIGA CHENGA YA MWILI(NI SAKATA LA MAWAZIRI KUJIUZULU). ALIPOULIZWA AKACHEKA, MKONO NAE AWEKA SAINI AONDOLEWE, UFISADI MALIASILI UNATISHA. WAKATI wabunge wakiendelea kusaini fomu ya majina ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiongozi huyo wa shughuli za Serikali bungeni jana alikwepa kuzungumzia hatua za kinidhamu dhidi ya mawaziri wanaokabiliwa na tuhuma mbalimbali. 8220;Aliahirisha shughuli za Bunge kama hakuna kitu kikubwa kilichohitaji majibu ya Serikali,...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: Michezo
http://www-radio5.blogspot.com/p/sports.html
FA KURUDI MSIMU UJAO. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limerejesha tena mashindano ya Kombe la FA (TFF) kuanzia msimu ujao 2012/2013 ambapo bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho. Timu zinazotakiwa kushiriki michuano hiyo itakayochezwa kwa mtindo wa mtoano ni zilizosajiliwa ambapo katika maombi yao ni lazima ziambatanishe nakala ya hati ya usajili wa klabu ambayo itatakiwa kuidhinishwa na chama cha mpira wa miguu cha wilaya. Katika mchezo wa kwanz...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA
http://www-radio5.blogspot.com/2012/03/wawatangaza-mponda-nkya-kuwa-maadui.html
Sunday, March 11, 2012. WAWATANGAZA MPONDA NKYA KUWA MAADUI NAMBA MOJA WA SEKTA YA AFYA. CHAMA cha Madaktari Tanzania (Mat) kimetangaza kusitisha mgomo wa nchi nzima kuanzia jana mchana, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kumheshimu Rais Jakaya Kikwete, huku kikiwatangaza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Haji Mponda na naibu wake, Dk Lucy Nkya kuwa maadui namba moja wa sekta ya afya nchini. Uamuzi kusitisha mgomo ulikuja baada ya viongozi wa Mat hicho na wale wa Jumuiya ya Madaktari kukutana na Rais Jak...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: Matukio
http://www-radio5.blogspot.com/p/matukio-mbalimbali.html
Dj Mudy akifungishwa ndoa maeneo ya Sakina kibanda maziwa siku ya ijumaa,Dj Mudy ambaye jina lake kamili ni Mohamedi Hamis amemuoa Mwanaisha Suleiman ambaye hufanya kipindi cha mishemishe hapa radio 5. Dj Muddy akiwa na wapambe wake Semio Sonyo na Shaban. BiMwanaisha Suleiman na Mohamed Hamis wakati wa kufungishwa ndoa yao ijumaa ya tarehe 10/02/2012. Mudy na Mwanaisha wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa ijumaa sakina kibanda maziwa. GM wa radio5 akibadilishana mawazo na Barnaba. Wafanyakazi wa Radio ...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA RASMI
http://www-radio5.blogspot.com/2011/12/matokeo-ya-darasa-la-saba-yatangazwa.html
Wednesday, December 14, 2011. MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA RASMI. Jumla ya wanafunzi 567,567 wamefaulu mitihani ya kumaliza elimu ya msingi mwaka 2011na watafanyiwa mtihani wa majaribio kabla ya kuanza masomo yao rasmi katika shule walizochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Wakati huo huo, Baraza la Mtihani la Taifa limefuta matokeo yote ya watahiniwa 9,736 sawa na asilimia 1.0 waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa mtihani huo. Aliongeza kuwa kiwango cha ufaulu wa masomo ya Kiingereza, S...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: Kimataifa
http://www-radio5.blogspot.com/p/habari-za-kimataifa.html
UPINZANI WASHIKA HATAMU SENEGAL. RAIS wa Senegal Abdoulaye Wade (85), ameangushwa vibaya na mpinzani wake, Macky Sall (50) katika duru ya pili ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi. Matokeo hayo yamepokewa kwa hisia tofauti na wananchi wa Senegal na hata hapa nchini wengi wakisema anguko hilo la Wade ni somo kwa viongozi ving’ang’anizi wa madaraka barani Afrika. Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid alisema nchini kumekuwa na dhana kwamba upinzani una vurugu jambo ambalo alisema siyo la kweli isipokua hali hiyo inach...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: MUUNGANO
http://www-radio5.blogspot.com/2012/04/muungano.html
Thursday, April 26, 2012. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akipunga mkono kusalimia wananchi wakati akiingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo Aprili 26, 2012 katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar. Vikosi vya Ulinzi na Usalama vikipita na kutoa heshima mbele ya jukwaa kuu kwa mwendo wa pole na haraka, wakati wa maadhimisho ya sherehe hizo leo. Subscribe to: Post Comments (Atom). The only choice's house. WADAU WA RADIO 5. Http:/ ww...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: Ddc kikosi kazi
http://www-radio5.blogspot.com/p/blog-page.html
Chama cha mapinduzi CCM imetangaza kurejewa kwa kura ya maoni ili kumpata mwakilishi wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa bunge katika jimbo la ARUMERU MASHARIKI. Katibu wa itikadi na uenzi wa CCM NAPE N’NAUYE ameeleza hayo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya kikao cha kamati kuu ,na kuwataja watakaohusika katika kura hiyo ya maoni hapo march mosi ,kuwa ni Sioi Sumari pamoja na Wiliam Sarakikya. Kwa mujibu wa NAPE. Subscribe to: Posts (Atom). The only choice's house. WADAU WA RADIO 5. Pata mija...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: BARAZA LA MAWAZIRI KUVUNJA
http://www-radio5.blogspot.com/2012/04/baraza-la-mawaziri-kuvunja.html
Saturday, April 28, 2012. BARAZA LA MAWAZIRI KUVUNJA. KAMATI KUU CCM YABARIKI JK KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI. Boniface Meena na Aidan Mhando. Mawaziri ambao wizara zao zilibainika kuwa na vitendo vya ubadhirifu wa mali ya umma katika ripoti hiyo ya CAG na hivyo kushinikizwa kujiuzulu ni Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja; Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu; Waziri wa Fedha; Mustafa Mkulo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tamisemi, George Mkuchika. 8220;Kamati Kuu inatambua na kuheshimu haki na w...