swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Mwimbaji Banza Stone Afariki Dunia
http://swahilitime.blogspot.com/2015/07/mwimbaji-banza-stone-afariki-dunia.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Saturday, July 18, 2015. Mwimbaji Banza Stone Afariki Dunia. The Late Ramadhani Masanja aka Banza Stone. Mwimbaji maarufu Banza, Stone (42). amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Sinza, mjini Dar es Salaam. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema poponi. Amen. Veteran dance musician Ramadhan Masanja aka Banza Stone, 42 (pictured) was yesterday afternoon pronounced dead at his family home in Sinza Dar es Salaam after a long illness. The si...
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Shopping while black? Ubaguzi Boston
http://swahilitime.blogspot.com/2015/08/shopping-while-black-ubaguzi-boston.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Saturday, August 08, 2015. Jamani, hata wasomi weusi wanaonewa Boston! Subscribe to: Post Comments (Atom). Chemi in American Hustle. Chemi in American Hustle. Cast of Boston Vagina Monologues 2011. Cast of the Harlem Renaissance Revisited (2010). Hollywood Walk of Fame. Blogu Mbalimbali za WaBongo. Bona Fide Films Company Ltd. Freddy Macha - Then and Now. Haki za Wasanii Tanzania. TMTV (Tanzania Music Television). Wanaosoma Blogu Hivi Sasa.
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Dr. Ben Carson Mgombea Rais Upande wa Republican ni Mnafiki
http://swahilitime.blogspot.com/2015/08/dr-ben-carson-mgombea-rais-upande-wa.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Saturday, August 08, 2015. Dr Ben Carson Mgombea Rais Upande wa Republican ni Mnafiki. Wadau, Dr. Ben Carson ni mweusi pekee mgombea urais wa Marekani upande wa Republican safari hii. Ni daktari wa Ubongo (Neurosurgeon), Kazi yake kuponda weusi, huko akisahau kuwa yeye ni mweusi, mwam ayake alimlea bila baba na alikuwa kwa foods stamp na kutibiwa na serikali bure kwenye Medicaid! Kazi kulamba mikundu ya wazungu! Labels: Dr. Ben Carson. I worke...
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Ubaguzi Marekani - Kifo cha Sandra Bland
http://swahilitime.blogspot.com/2015/07/ubaguzi-marekani-kifo-cha-sandra-bland.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Friday, July 24, 2015. Ubaguzi Marekani - Kifo cha Sandra Bland. Wadau, marehemu Sandra Bland (28) alikamatwa na polisi mbaguzi huko Texas na kufungwa jela. Dhamana yake ilikuwa dola $5,000. Kosa lake eti ilikuwa kutokutumia indicator akiwa anaendesha yake. Alikuwa anampisha polisi apite. Polisi anadai kuwa alimpiga teke. Polisi wamekata hiyo video waliopiga la tukio na hakuna aliyona polisi akipigwa teke. Waongo! Alikamatwa kwa adhabu kabisa!
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Star wa Bongoland 'Mukama Morandi' Afunga Pingu za Maisha!
http://swahilitime.blogspot.com/2015/08/star-wa-bongoland-mukama-afunga-pingu.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Sunday, August 09, 2015. Star wa Bongoland 'Mukama Morandi' Afunga Pingu za Maisha! Stelingi (Star) wa sinema Bongoland,. Mukama 'Jimmy' Morandi, amefunga ndoa mjini Minneapolis, Minnesota, jana na mpenzi wake Priscilla. Mukama ni mcheza sinema na mwanamuziki pia. Tunawatakia maisha mema ya ndoa! Director wa sinema Bongoland, Bongolan II na Tusamehe, Josiah Kibira, (katikati) na Mukama na Priscilla. Mukama na mke wake nje ya Kanisa, Minneapolis.
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Mtoto wa Whitney Houston Afariiki Dunia! Alikuwa na mialka 22 tu!
http://swahilitime.blogspot.com/2015/07/mtoto-wa-whitney-houston-afariiki-dunia.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Sunday, July 26, 2015. Mtoto wa Whitney Houston Afariiki Dunia! Alikuwa na mialka 22 tu! Mwenyezi mungu ailaze roho ya Bobbi Kristina ahala pema mbinguni. Amen. Pole sana Bobby Brown. The Late Bobbi Kristina Brown (1993-2015). Bobbi Kristina Brown, the daughter of late music legend Whitney Houston and R&B singer Bobby Brown, died on July 26, surrounded by her family, at Peachtree Christian Hospice in Duluth, Georgia. She was 22. Nearly two mon...
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Tuombe Wenye Ugonjwa wa Saratani Wapone!
http://swahilitime.blogspot.com/2015/08/tuombe-wenye-ugonjwa-wa-saratani-wapone.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Sunday, August 09, 2015. Tuombe Wenye Ugonjwa wa Saratani Wapone! Wadau, tuombe wenye ugonjwa wa saratani wapone. Baba yangu mzazi, Dr. Aleck Che-Mponda alifariki mwezi Machi kwa ugonjwa wa Prostate Cancer (saratani). Mfanyakazi mwenzangu hapa USA alikufa kwa kansa ya tumbo, mwingine kwa kansa ya mapafu mwaka huu. Tiba ingeshapatikana lakini wanazuia kwa vile wanaogopa watashindwa kuuzwa madawa yao! Subscribe to: Post Comments (Atom). I worked...
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Sherehe za Arobaini ya marehemu Baba Yangu Dr. Aleck Che-Mponda Yafanyika Dar Leo!
http://swahilitime.blogspot.com/2015/07/wadau-leo-sherehe-za-arobaini-ya.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Saturday, July 25, 2015. Sherehe za Arobaini ya marehemu Baba Yangu Dr. Aleck Che-Mponda Yafanyika Dar Leo! Wadau, leo sherehe za Arobaini ya marehemu baba yangu mzazi, Dr. Aleck. H. Che-Mponda, zilifanyika mjini Dar es Salaam, pale nyumbani Tenki Bovu, Mbezi Beach Juu. Nafurahi mwanangu, Camara aliweza kuhdhuria pamoja na mdogo wangu Jessica. REST IN ETERNAL PEACE DR. ALECK H. CHE-MPONDA (1935-2015). Mapadre wa Anglikana waliosimamia Misa.
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: Nabii Fidel Castro
http://swahilitime.blogspot.com/2015/07/nabii-fidel-castro.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Saturday, July 25, 2015. Wadau, Kumbe Rais Fidel Castro wa Cuba ni Nabii. Mwaka 1973 alitabiri kuwa Marekani itazungumza na serikali ya komunisti Cuba wakipata Rais mweusi na Papa anatoka nchi za Marekani ya kusini. Ona Raisi wa Marekani ni mweusi, Papa anatoka Argentina! Sasa kuna Ubalozi wa Cuba Washington D.C. na US wanatuma Balozi Cuba! Vita Baridi imekweisha sasa. Subscribe to: Post Comments (Atom). Chemi in American Hustle.
swahilitime.blogspot.com
Swahili Time: April 2015
http://swahilitime.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA. Friday, April 24, 2015. Memorial Service for Dr. Aleck H. Che-Mponda - Sunday April 26, 2015 in Chelsea, MA. There will be a Memorial Service for my father, this Sunday at our Church in Chelsea. Please see below:. This is a friendly reminder about a memorial service for Dr. Aleck Che-Mponda . Service will be held at 3:00 pm Sunday, April 26 at the International Gospel Church located at 85 Crescent Avenue Chelsea, MA 02150. The link is below.