uniqueentertz.blogspot.com
Unique Entertainment Blog: May 2015
http://uniqueentertz.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
Monday, May 18, 2015. NEW JOINT TO COME: METTY - NAJUA (REMIX). Remix ya wimbo najua unatarajiwa kutoka mwanzoni wa mwezi wa sita,kwa wale wapenzi wa muziki wa Hiphop Metty anakuja kihiphop zaidti safari hii. Najua ni wimbo unaozungumzia maisha ya kawaida ya kimuziki,hustle,tasnia muziki wa kibongo,majigambo na swagg za hapa na pale . Links to this post. Subscribe to: Posts (Atom). My name is Metty. New music: Listen and Download. Free music player widget at ReverbNation.com. The big top ten.
uniqueentertz.blogspot.com
Unique Entertainment Blog: WAKRISTO WA ITALIA WAWEZESHA ZAHANATI YA KISASA VIKAWE
http://uniqueentertz.blogspot.com/2015/08/wakristo-wa-italia-wawezesha-zahanati.html
Monday, August 3, 2015. WAKRISTO WA ITALIA WAWEZESHA ZAHANATI YA KISASA VIKAWE. Mkuu wa Masista Waabuduo Damu ya Kristo, Euprasia Julius akimtambulisha mgeni rasmi na meza kuu kwa wageni waalikwa na wanakijiji wa Vikawe (hawapo pichani) katika hafla ya ufunguzi wa Zahanati ya Da.Ma Africa Maria De Mathias (MDM) Vikawe, Kibaha. Na Mwandishi wetu, Kibaha. Aliwapongeza masista hao kwa kuonesha upendo na huruma kama Biblia inavyomsimulia msamaria mwema ambaye alikuta mtu aliyepigwa na majambazi na kumsaidia.
uniqueentertz.blogspot.com
Unique Entertainment Blog: YOLANDA SHAYO BALOZI WA MKOA WA KILIMANJARO ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA
http://uniqueentertz.blogspot.com/2015/08/yolanda-shayo-balozi-wa-mkoa-wa_3.html
Monday, August 3, 2015. YOLANDA SHAYO BALOZI WA MKOA WA KILIMANJARO ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA. Mrembo aliebuka kidedea kwenye shindano la kumsaka barozi wa mkoa wa Kilimanjaro 2015,Yolanda Shayo ametembelea vituo vya watoto yatima katika eneo la mamba Malangu moshi vijijini. Shughuli hiyo ilifanyika mapema jana ambapo mrembo huyo alitembelea vituo vinee ambavyo ni Msoroe,Mrieni,Kikoro na kotela kwa kugawa vifaa vya shule kwa watoto na kula nao chakula cha pamoja. Miss kilimanjaro ambassador 2015,...
uniqueentertz.blogspot.com
Unique Entertainment Blog: Smitten with Seal! Erica Packer shares a lingering kiss with her new British singer beau as they continue to sail their love boat around Europe
http://uniqueentertz.blogspot.com/2015/08/smitten-with-seal-erica-packer-shares.html
Wednesday, August 5, 2015. Erica Packer shares a lingering kiss with her new British singer beau as they continue to sail their love boat around Europe. Hey have barely left each other's side in the last two weeks as they sail around Europe on a luxury yacht. And Erica Packer and Seal continued their love fest on Wednesday. Scroll down for video. The mother-of-three only had eyes for Seal - real name Olusegun Olumide Adeola - as they idled on the deck of their luxury yacht. At one point Erica giggled int...
uniqueentertz.blogspot.com
Unique Entertainment Blog: January 2015
http://uniqueentertz.blogspot.com/2015_01_01_archive.html
Wednesday, January 28, 2015. New Music: Rihanna, Kanye West, and Paul McCartney – ‘FourFiveSeconds’. He wait is over. Rihanna surprised her fans on Saturday by debuting her new single “FourFiveSeconds” featuring. And Paul McCartney. The stripped-down track, which was released to iTunes. Via Roc Nation and Rihanna’s own company Westbury Road. Features the Beatles legend on guitar and RiRi’s raw vocals. Hear the power trio unite on the acoustic jam. Listen via RihannaNow.com. Links to this post. Who wore a...
allstreetsonline.blogspot.com
allstreetsonline: BOFYA HAPA ILI KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012
http://allstreetsonline.blogspot.com/2013/02/bofya-hapa-ili-kuangalia-matokeo-ya.html
The Home Of Infotainment. BOFYA HAPA ILI KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012. Http:/ www.necta.go.tz/matokeo2012/csee2012/olevel.htm. Posted by Godfrey N. Bethuel. Note: Only a member of this blog may post a comment. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA CLOUDS FM LIVE. View my complete profile. Nyumba ya Habari, Matukio na Ushauri. Sometimes, without doing any activity we end up feeling tired and exhausted. One of the main reasons for this is under-charged body, due to lack of a healt. Msoma...
allstreetsonline.blogspot.com
allstreetsonline: MITANDAO YACHANGIA ONGEZEKO LA KASI YA UKAHABA VYUONI (UDSM) (UDOM) (CBE) (IFM)(SAUTI)
http://allstreetsonline.blogspot.com/2013/03/mitandao-yachangia-ongezeko-la-kasi-ya.html
The Home Of Infotainment. MITANDAO YACHANGIA ONGEZEKO LA KASI YA UKAHABA VYUONI (UDSM) (UDOM) (CBE) (IFM)(SAUTI). Mitandao ya kijamii ipo inayowasaidia wanafunzi katika masomo yao na kazi, lakini wengine wanatumia mitandao hiyo visivyo. Imefahamika kuwa Baadhi ya wanafunzi wanatumia mitandao ya kijamii katika kufanikisha biashara ya ngono. PENGINE haya tunaweza kuyaweka kwenye kundi la madhara yatokanayo na utandawazi. Mbali na hayo ndani ya mtandao wa ‘Facebook na ‘BBM’ yapo makundi ya...Baadhi ya wanaf...
allstreetsonline.blogspot.com
allstreetsonline: ALICHOSEMA HASA PROF. LIPUMBA MSIKITINI JUZI NA KUJIKANYAGA KANYAGA!!
http://allstreetsonline.blogspot.com/2013/05/alichosema-hasa-prof-lipumba-msikitini.html
The Home Of Infotainment. ALICHOSEMA HASA PROF. LIPUMBA MSIKITINI JUZI NA KUJIKANYAGA KANYAGA! Posted by Godfrey N. Bethuel. Note: Only a member of this blog may post a comment. Subscribe to: Post Comments (Atom). SIKILIZA CLOUDS FM LIVE. View my complete profile. Nyumba ya Habari, Matukio na Ushauri. Sometimes, without doing any activity we end up feeling tired and exhausted. One of the main reasons for this is under-charged body, due to lack of a healt. 2 N 2 BLOG. Beauty Touch In Dar. Msomaji mwingine...
allstreetsonline.blogspot.com
allstreetsonline: PICHA ZA UCHI ZA MSANII SAPNA WA STEVE R & B ZANASWA
http://allstreetsonline.blogspot.com/2013/03/picha-za-uchi-za-msanii-sapna-wa-steve.html
The Home Of Infotainment. PICHA ZA UCHI ZA MSANII SAPNA WA STEVE R and B ZANASWA. WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambojambo wa msanii Steve R&B,Aisha Firozi ‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe. Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni; Sapna alipopigiwa simu na kuelezwa kuhusu kunaswa kwa picha hizo, kwanza alishangaa lakini akakiri kuzitambua. 8220;K...
allstreetsonline.blogspot.com
allstreetsonline: PAPA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI
http://allstreetsonline.blogspot.com/2013/03/papa-akutana-na-waandishi-wa-habari.html
The Home Of Infotainment. PAPA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI. Papa Francis aliyechaguliwa hivi karibuni, amekutana na waandishi wa habari mjini Rome akisema kuwa atapenda kanisa maskini lenye lengo la kuwasaidia maskini. Katika hatua ambayo Vatikani imesema inaonesha uwazi zaidi, Papa mpya alizungumza na mamia ya waandishi wa habari na alisema alichagua jina la Mtakatifu Francis wa Assisi kwa sababu alikuwa mtakatifu wa amani, matumizi haba na kutumikia maskini. Ukweli ulipokuwa unakaraibia alinipoza.