disminders.blogspot.com
Disminders: ZITTO AREJESHA PENZ LA WEMA NA DIAMOND
http://disminders.blogspot.com/2012/07/zitto-arejesha-penz-la-wema-na-diamond.html
Tuesday, 24 July 2012. ZITTO AREJESHA PENZ LA WEMA NA DIAMOND. MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ametajwa kuwa kichocheo cha kurejea kwa penzi la vijana wenye umaarufu mkubwa nchini kwa sasa, Nasibu Abdu Juma ‘Diamond’ na Wema Isaac Sepetu. Uwazi, lina mkanda wa video, unaowaonesha Diamond na Wema pamoja kwa mara ya kwanza, baada ya muda mrefu wa kutupiana maneno mengi ya kashfa, huku kila upande ukimshusha hadhi mwenzake. Baada ya kuwasili Kigoma, Wema na Diamond walielekea Hoteli ya Ta...
disminders.blogspot.com
Disminders: STARLISHA TILLYA MWENYE BLOG YA TANZANITE GLAMOUR
http://disminders.blogspot.com/2012/06/starlisha-tillya-mwenye-blog-ya.html
Wednesday, 27 June 2012. STARLISHA TILLYA MWENYE BLOG YA TANZANITE GLAMOUR. Labels: www.tanzaniteglamour.blogspot.com. 27 June 2012 at 10:45. Uko juu tot salute kwakomm. This is great fella.graçïá§. 1 July 2012 at 00:31. Thank u my love. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. My Music Play list. Find more music like this on. There was an error in this gadget. Harris teeter weekly ad in florence sc. HABARI ZA MASIKITIKO ZA MSIBA WA WAZIRI WA FEDHA MH DR WILLIAM MGIMWA. MTANGAZAJI wa...
disminders.blogspot.com
Disminders: LISSA JENSEN KUSHINDA MISS REDD'S WORLD TANZANIA
http://disminders.blogspot.com/2012/06/lissa-jensen-kushinda-miss-redds-world.html
Tuesday, 19 June 2012. LISSA JENSEN KUSHINDA MISS REDD'S WORLD TANZANIA. Mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Miss World 2012, Lisa Jensen akipunga mkono baada ya kushinda nafasi hiyo katika shindano dogo lililofanyika jana jijini Dar es Salaam na kushirikisha warembo 10 waliowahi kushiriki fainali za Miss Tanzania miaka ya nyuma. Lisa aliwashinda warembo wengine 9. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. My Music Play list. Find more music like this on. Keri Hilson in Nigeria.
disminders.blogspot.com
Disminders: Thanks to Jeremy Scott, Nicki Minaj’s Tour Fashion Rocks! (The Blonde Barb Pops and Locks in Pops of Color!)
http://disminders.blogspot.com/2012/05/thanks-to-jeremy-scott-nicki-minajs.html
Tuesday, 22 May 2012. Thanks to Jeremy Scott, Nicki Minaj’s Tour Fashion Rocks! The Blonde Barb Pops and Locks in Pops of Color! The go-to designer of the moment, Jeremy Scott. Lent his gifted designer hands to craft couture for Nicki Minaj’s Pink Friday tour. The dancers also wore graffiti’d bra tops with suspenders and neon biker shorts for an “I Heart the 90′s” moment. We kid…not really. Disminders, is Nicki flying high and blazin’ in this ’90s inspired number? Subscribe to: Post Comments (Atom).
disminders.blogspot.com
Disminders: Bongo Movies news: MADAI YA POLISI: MUME WA JACK PATRICK NI MUUZA UNGA
http://disminders.blogspot.com/2012/05/bongo-movies-news-madai-ya-polisi-mume.html
Tuesday, 22 May 2012. Bongo Movies news: MADAI YA POLISI: MUME WA JACK PATRICK NI MUUZA UNGA. MUME wa msanii maarufu wa filamu nchini, Jack Patrick, Abdulhatif Fundikira anasakwa na polisi kwa madai kuwa anauza dawa za kulevya ‘unga’. Uchunguzi wetu umebaini kuwa polisi walifika nyumbani kwa Fundikira saa 10 usiku wiki iliyopita lakini wakaambiwa kuwa hakuwepo, alikwenda kwenye msiba wa ndugu yake mikoani. Akizungumza na mwandishi wetu wiki iliyopita ofisini kwake, Nzowa alisema kwamba orodha yao ni ndef...
disminders.blogspot.com
Disminders: JACQULINE WOLPER AMENYANG'ANYWA GARI
http://disminders.blogspot.com/2012/06/jacquline-wolper-amenyanganywa-gari.html
Tuesday, 19 June 2012. JACQULINE WOLPER AMENYANG'ANYWA GARI. Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa mbalimbali ya jiji la Bongo. Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni. Alipotakiwa kueleza kuwa imekuwaje gari mpya kama ile aipeleke garage ...
disminders.blogspot.com
Disminders: STUDY ABROAD IN MALAYSIA
http://disminders.blogspot.com/2012/05/study-abroad-in-malaysia.html
Wednesday, 23 May 2012. STUDY ABROAD IN MALAYSIA. Http:/ www.facebook.com/UCTISpotlight. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. My Music Play list. Find more music like this on. There was an error in this gadget. Harris teeter weekly ad in florence sc. Harris teeter weekly ad in florence sc. As an example, I seen in my online offer that among the shops in my own place is providing "maybe not significantly. HABARI ZA MASIKITIKO ZA MSIBA WA WAZIRI WA FEDHA MH DR WILLIAM MGIMWA. MBUNG...
disminders.blogspot.com
Disminders: DIDA AWAUZIA WAKE ZA WATU NYETI BANDIA
http://disminders.blogspot.com/2012/05/dida-awauzia-wake-za-watu-nyeti-bandia.html
Wednesday, 23 May 2012. DIDA AWAUZIA WAKE ZA WATU NYETI BANDIA. MTANGAZAJI wa Radio Times FM ambaye pia ni mjasiriamali, Hadija Shaibu ‘Dida’ anatajwa kuwauzia wake za watu nyeti bandia za kiume ambazo huzitumia kukata kiu zao. Chanzo chetu ambacho ni mmoja wa wateja wa Dida kilichojitambulisha kwa jina la Mama Asuu wa Magomeni kimeliambia Ijumaa juzikati kuwa, yeye aliwahi kununua kifaa hicho kwenye duka la Dida lililopo Kinondoni jijini Dar. 23 May 2012 at 13:39. GUD JOB MDOGO WANGU. My Music Play list.