kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: AFRIKA YETU...
http://kirukaafrika.blogspot.com/2012/04/afrika-yetu.html
Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar Es Salaam Time. SERIKALI YAWATAKA WATENDAJI NA WAMILIKI WA BLOGGERS KUZINGATIA NSHERIA ZA NCHI. Na Beatrice Lyimo-MAELEZO,* Dar es Salaam* *SERIKALI imetoa wito kwa wamiliki na watendaji wa mitandao ya kijamii (Blogs) nchini kufuata Misingi, Sheria n. Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc. Photo Of The Day💕. I Wanna Thank The Almighyt God For This Beautiful Gift. My World. My Sylvia. DONT PANIC,RELAX AND ENJOY THE LIFE. Sights you may not see twice in a lifetime.
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: AJALI ZINA KINGA TUKIWA MAKINI.
http://kirukaafrika.blogspot.com/2012/05/tunapopanda-boda-boda-inabidi-tuwe.html
AJALI ZINA KINGA TUKIWA MAKINI. Tunapopanda Boda boda inabidi tuwe makini sana hasa tnapokua hatuna kofia ngumu (helement). Tazama ajali kama hii iliyotokana na uzembe wa muendesha Boda boda na abiria wake. Wewqe kama abiria una haki kuuliza kofia ngumu kwa usalama wa maisha yako. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar Es Salaam Time. SERIKALI YAWATAKA WATENDAJI NA WAMILIKI WA BLOGGERS KUZINGATIA NSHERIA ZA NCHI. Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc. Photo Of The Day💕. Blesses of your life. Elibarik...
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: DARUBINI KUBWA KUFUNGWA AFRIKA.
http://kirukaafrika.blogspot.com/2012/05/darubini-kubwa-kufungwa-afrika.html
DARUBINI KUBWA KUFUNGWA AFRIKA. Afrika Kusini, Australia na New Zealand zimeafikiana kujenga darubini kubwa zaidi duniani. Haya yametangazwa katika mkutano kati ya nchi tatu mjini Capetown.Darubini zote zitatumika katika kuimarisha teknolojia ya fanaki. Ni darubini ambazo zitasaidia kufahamu maisha katika sayari nyingine. Mradi huu unanuia kujenga darubini zitakazochukua upana wa viwanja vya mpira. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar Es Salaam Time. Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc. Blesses of...
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: AFGOYE YATEKWA NA AMISON.
http://kirukaafrika.blogspot.com/2012/05/afgoye-yatekwa-na-amison.html
AFGOYE YATEKWA NA AMISON. Wanajeshi wa Muungano wa Afrika nchini Somalia wameuteka mji mihumu karibu na jiji kuu Mogadishu baada ya wapiganaji wa Kiisilamu kuondoka eneo hilo. Mji wa Afgoye umekua ngome kuu ya kundi la Al-Shabaab ambapo wapiganaji hao wanatumia eneo hilo kuulenga mji wa Mogadishu. Wadadisi wamesema kwa kundi la Al- Shabaab kupoteza mji huo ni pigo kubwa, japo wapiganaji hao wanaaminika kujificha katika maeneo ya vichaka na mashamba ya karibu. Subscribe to: Post Comments (Atom). Galacha w...
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: LULU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO HII.
http://kirukaafrika.blogspot.com/2012/04/lulu-afikishwa-mahakamani-leo-hii.html
LULU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO HII. Msanii wa kike wa filamu Tanzania Elizabeth Michael Kimemeta maarufu kama Lulu,amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya mauaji ya msanii mwingine wa filamu Marehemu Steven Kanumba. Amefikishwa mahakamani ikiwa ni siku nne, tangu alipokamatwa mara baada ya kifo cha msanii huyo ambaye inaaminika kuwa walikuwa na uhusiano wa Kimapenzi. Msanii huyo alikanusha kuwa na umri wa miaka 18 baada ya kuulizwa ,ambapo yeye amesisitiza kuwa ana umri wa miaka 17, hii ikiwa ni...
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: LEO MAMA YAKO ANGEKUFANYA HIVI UNGEKUA WAPI?
http://kirukaafrika.blogspot.com/2012/05/leo-mama-yako-angekufanya-hivi-ungekua.html
LEO MAMA YAKO ANGEKUFANYA HIVI UNGEKUA WAPI? Naomba leo nisiongee chochote zaidi ya kulaani wale wote waliosababisha haya yatokee. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar Es Salaam Time. SERIKALI YAWATAKA WATENDAJI NA WAMILIKI WA BLOGGERS KUZINGATIA NSHERIA ZA NCHI. Na Beatrice Lyimo-MAELEZO,* Dar es Salaam* *SERIKALI imetoa wito kwa wamiliki na watendaji wa mitandao ya kijamii (Blogs) nchini kufuata Misingi, Sheria n. Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc. Photo Of The Day💕. Blesses of your life.
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: VICHEKESHO
http://kirukaafrika.blogspot.com/p/vichekesho.html
Nyonya ngugu yangu mama kakutelekeza kaenda kutafuta mabwa wenngine". Subscribe to: Posts (Atom). Dar Es Salaam Time. SERIKALI YAWATAKA WATENDAJI NA WAMILIKI WA BLOGGERS KUZINGATIA NSHERIA ZA NCHI. Na Beatrice Lyimo-MAELEZO,* Dar es Salaam* *SERIKALI imetoa wito kwa wamiliki na watendaji wa mitandao ya kijamii (Blogs) nchini kufuata Misingi, Sheria n. Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc. Photo Of The Day💕. I Wanna Thank The Almighyt God For This Beautiful Gift. My World. My Sylvia. 05/27 - 06/03 (1).
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: UWANJA WA MARAFIKI
http://kirukaafrika.blogspot.com/p/uwanja-wa-marafiki.html
HUU NI UWANJA WENU VIJANA WA UMRI WOTE KWAAJILI YA KUTAFUTA MARAFIKI, NDUGU NA JAMAA ULIOPOTEZANA NAO. CHJA KUFANYA TUMA PICHA NA MAELEZO YAKO KUPITIA E-MAIL IFUATAYO;. NA SISI TUTAYAWEKA HEWANIBILA MALIPO YOYTE. KUMBUKA BLOGSPOT HII INATEMBELEWA KOTE DUNIANI. Subscribe to: Posts (Atom). Dar Es Salaam Time. SERIKALI YAWATAKA WATENDAJI NA WAMILIKI WA BLOGGERS KUZINGATIA NSHERIA ZA NCHI. Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc. Photo Of The Day💕. DONT PANIC,RELAX AND ENJOY THE LIFE. Blesses of your life.
kirukaafrika.blogspot.com
AFRIKA YETU: HESHIMA INAPOKOSEKANA BUNGENI MABO KAMA HAYA NI LAZIMA YATOKEE.
http://kirukaafrika.blogspot.com/2012/05/heshima-inapokosekana-bungeni-mabo-kama.html
HESHIMA INAPOKOSEKANA BUNGENI MABO KAMA HAYA NI LAZIMA YATOKEE. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar Es Salaam Time. Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 14 kuanza kambi. Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14, leo Desemba 4, 2016 inaanza kambi rasmi katika Hosteli za Shirikis. Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc. Photo Of The Day💕. I Wanna Thank The Almighyt God For This Beautiful Gift. My World. My Sylvia. 05/20 - ...