tabora-yetu.blogspot.com
MWILI WA MAREHEMU NYAWANA FUNDIKIRA WASAFIRISHWA KULEKEA TABORA KWA MAZISHI. - Tabora Yetu
https://tabora-yetu.blogspot.com/2013/11/mwili-wa-marehemu-nyawana-fundikira.html
MWILI WA MAREHEMU NYAWANA FUNDIKIRA WASAFIRISHWA KULEKEA TABORA KWA MAZISHI. MWILI WA MAREHEMU NYAWANA FUNDIKIRA WASAFIRISHWA KULEKEA TABORA KWA MAZISHI. Msanii wa kundi la taarabu la mashauzi classic Thabit Abdul akiwa amebeba jeneza la mwili wa marehemu msanii Nyawana Fundikira pamoja na wahusika wengine kwa ajili ya kupeleka kwenye gari iliyomsafirisha kwenda Tabora kwa ajili ya maziko. Mume wa marehemu Nyawana Fundikira Kais Mussa Kais akihojiwa na Mwanne Athumani waEATV. Please Share this Blog.
marayetu.blogspot.com
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MBIO ZA MWENGE NYUMBANI KWA MWALIMU NYERERE WILAYA YA BUTIAMA - Mara Yetu
https://marayetu.blogspot.com/2012/08/picha-za-matukio-mbalimbali-ya-mbio-za.html
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MBIO ZA MWENGE NYUMBANI KWA MWALIMU NYERERE WILAYA YA BUTIAMA. PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA MBIO ZA MWENGE NYUMBANI KWA MWALIMU NYERERE WILAYA YA BUTIAMA. Baadhi ya askari wa jeshi la polisi mkoa wa Mara wakiwa nje ya lango la Nyumba ya Baba wa taifa hayati Mwl Julius Nyerere wakingojea Mwenge wa uhuru ukiwa umechukuliwa kwenda kuwasha Mwenge wa Mwingo hivi karibuni. Wakimbiza mwenge wa uhuru kitaifa,wakiongozwa na mkimbiza mwenge kitaifa mwaka 2012 Kapt Honest Ernest Mwa...
marayetu.blogspot.com
MWANAMKE TARIME AWANYANG'ANYA MAJAMBAZI SMG. - Mara Yetu
https://marayetu.blogspot.com/2016/02/mwanamke-tarime-awanyanganya-majambazi.html
MWANAMKE TARIME AWANYANG'ANYA MAJAMBAZI SMG. MWANAMKE TARIME AWANYANG'ANYA MAJAMBAZI SMG. Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba 255765056399. Mwanamke wa kitongoji cha Buriba, kata ya Sirari, wilayani Tarime, anayejishughulisha na biashara ya kuuza kibanda cha duka, Sophia Manguye (46), amefanikiwa kuwanyang'anya majambazi watatu bunduki moja aina ya SMG yenye risasi 27, baada ya kupambana nao ndani ya kibanda chake cha biashara. 8220;Aw...
marayetu.blogspot.com
Tumieni fursa zilizopo kuifanya sekta ya filamu kuwa chachu ya maendeleo nchini – Bibi. Millao - Mara Yetu
https://marayetu.blogspot.com/2016/12/tumieni-fursa-zilizopo-kuifanya-sekta.html
Tumieni fursa zilizopo kuifanya sekta ya filamu kuwa chachu ya maendeleo nchini – Bibi. Millao. Tumieni fursa zilizopo kuifanya sekta ya filamu kuwa chachu ya maendeleo nchini – Bibi. Millao. Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba 255765056399. Na: Genofeva Matemu – WHUSM. Ubobezi na hatimaye kuingia katika soko la ushindani. Kwa upande wake Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo amesema kuwa Lengo la warsha hiyo ni kuhakik...
marayetu.blogspot.com
UNAJUA?: HOTEL NAMBA MOJA KWA UBORA DUNIANI IPO TANZANIA. SOMA HAPA - Mara Yetu
https://marayetu.blogspot.com/2012/09/unajua-hotel-namba-moja-kwa-ubora.html
HOTEL NAMBA MOJA KWA UBORA DUNIANI IPO TANZANIA. SOMA HAPA. HOTEL NAMBA MOJA KWA UBORA DUNIANI IPO TANZANIA. SOMA HAPA. Hoteli ya Singita Grumeti Reserves. HOTELI ya Singita Grumeti Reserves, iliyopo Serengeti, Mara, Tanzania, inathibitisha kufuru ya utajiri uliopo Tanzania. Hoteli hiyo, inathibitisha kwamba thamani ya Tanzania ipo juu mno, ndiyo maana mwekezaji kutoka Afrika Kusini, Luke Bailes, aliamua kufanya uwekezaji wa hali ya juu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Inaelezwa kwamba Singita Gru...
pwani-yetu.blogspot.com
BREAKING NEWS: PICHA ZAIDI AJALI YA LORI YAUA WATU WAWILI CHALINZE - Pwani Yetu
http://pwani-yetu.blogspot.com/2012/08/breaking-news-ajali-ya-lori-yaua-watu.html
BREAKING NEWS: PICHA ZAIDI AJALI YA LORI YAUA WATU WAWILI CHALINZE. BREAKING NEWS: PICHA ZAIDI AJALI YA LORI YAUA WATU WAWILI CHALINZE. Please Share the Blog. Listen to Tone Radio-Tz. Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com. PICHA ZA JK, MAMA SALMA NA MJUKUU WAO SHAMBANI KWAO MSOGA. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kweny. RAIS KIKWETE AKARIBISHA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA. Jihadhari kutoa namba za s...
pwani-yetu.blogspot.com
BREAKING NUUUUUUZ!! WANANCHI WAVAMIA NYUMBA ZA POLISI KIBITI WAZICHOMA MOTO MKOANI PWANI. SOMA HAPA - Pwani Yetu
http://pwani-yetu.blogspot.com/2013/01/breaking-nuuuuuuz-wananchi-wavamia.html
WANANCHI WAVAMIA NYUMBA ZA POLISI KIBITI WAZICHOMA MOTO MKOANI PWANI. SOMA HAPA. WANANCHI WAVAMIA NYUMBA ZA POLISI KIBITI WAZICHOMA MOTO MKOANI PWANI. SOMA HAPA. KUNDI la wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira, wamevamia kituo cha Polisi cha Kibiti Wilayani Rufiji na kufanya vurugu kubwa baada ya raia mmoja kufa kwa kile kilichodaiwa kipigo cha Polisi. Please Share the Blog. Listen to Tone Radio-Tz. Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com. PICHA ZA JK, MAMA SALMA NA MJUKUU WAO SHAMBANI KWAO MSOGA. Rais Jak...
pwani-yetu.blogspot.com
BODA BODA NA ABIRIA WAKE WAGONGWA NA GARI BARABARA YA CHALINZE SEGERA - Pwani Yetu
http://pwani-yetu.blogspot.com/2014/06/boda-boda-na-abiria-wake-wagongwa-na.html
BODA BODA NA ABIRIA WAKE WAGONGWA NA GARI BARABARA YA CHALINZE SEGERA. BODA BODA NA ABIRIA WAKE WAGONGWA NA GARI BARABARA YA CHALINZE SEGERA. Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba 255765056399. Please Share the Blog. Listen to Tone Radio-Tz. Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com. PICHA ZA JK, MAMA SALMA NA MJUKUU WAO SHAMBANI KWAO MSOGA. RAIS KIKWETE AKARIBISHA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA. Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mr...
pwani-yetu.blogspot.com
ASKARI AUAWA KINYAMA KWA KUKATWA NA MAPANGA MKOANI PWANI USIKU WA KUAMKIA LEO. - Pwani Yetu
http://pwani-yetu.blogspot.com/2014/06/askari-auawa-kinyama-kwa-kukatwa-na.html
ASKARI AUAWA KINYAMA KWA KUKATWA NA MAPANGA MKOANI PWANI USIKU WA KUAMKIA LEO. ASKARI AUAWA KINYAMA KWA KUKATWA NA MAPANGA MKOANI PWANI USIKU WA KUAMKIA LEO. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi (SACP) Ulrich Mtei. Pia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Please Share the Blog. Listen to Tone Radio-Tz. Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com. PICHA ZA JK, MAMA SALMA NA MJUKUU WAO SHAMBANI KWAO MSOGA. MASHUGA MAMI, NGOMA ZA USIKU VYANZO VIKUU MAAMBUKIZI YA V...
pwani-yetu.blogspot.com
Jihadhari kutoa namba za simu ovyo: Binti apigiwa simu na wanaume wakitaka ku-sex nae, ni baada ya namba yake kuwekwa kwenye mtandao wa ngono - Pwani Yetu
http://pwani-yetu.blogspot.com/2013/07/jihadhari-kutoa-namba-za-simu-ovyo.html
Jihadhari kutoa namba za simu ovyo: Binti apigiwa simu na wanaume wakitaka ku-sex nae, ni baada ya namba yake kuwekwa kwenye mtandao wa ngono. Jihadhari kutoa namba za simu ovyo: Binti apigiwa simu na wanaume wakitaka ku-sex nae, ni baada ya namba yake kuwekwa kwenye mtandao wa ngono. Matumizi ya mtandao yamekuja na changamoto zake ambazo zimesababisha kasi mpya ya mmonyoko wa maadili katika jamii, kutokana na baadhi ya watu kutumia mitandao hiyo kinyume na taratibu zinazongatia ustaarabu na maadili.