malkiasun.blogspot.com
Be brave....: What good are CABBAGE for...?
http://malkiasun.blogspot.com/2011/09/what-good-are-cabbage-for.html
Inspire and let yourself be inspired! This blog is about inspiring each other from all aspects of life, learning from one another, taking what we lack within ourselves (courage, strength,power, discipline, joy, understanding etc.) and give what we have. Be blessed and stay blessed! Thursday, September 1, 2011. What good are CABBAGE for? Chakula cha leo ni cabbage. 2Inasaidia kuzuia saratani (cancer) hasa saratani ya tumbo. 4Majani ya nje ni chanzo kizuri cha vitamin E hivyo husaidia kupendezesha ngozi.
malkiasun.blogspot.com
Be brave....: I'm back...
http://malkiasun.blogspot.com/2011/10/im-back.html
Inspire and let yourself be inspired! This blog is about inspiring each other from all aspects of life, learning from one another, taking what we lack within ourselves (courage, strength,power, discipline, joy, understanding etc.) and give what we have. Be blessed and stay blessed! Wednesday, October 19, 2011. Sorry for abandoning you AGAIN. Anyway I finally got inspired today so let me put it to use before y'all lose interest on my blog! Ohhh and by the way.I LOVE PHOTOGRAPHY. Be blessed and stay blessed.
malkiasun.blogspot.com
Be brave....: Poleni na asanteni!
http://malkiasun.blogspot.com/2011/10/gosh-im-so-glad-over.html
Inspire and let yourself be inspired! This blog is about inspiring each other from all aspects of life, learning from one another, taking what we lack within ourselves (courage, strength,power, discipline, joy, understanding etc.) and give what we have. Be blessed and stay blessed! Sunday, October 2, 2011. Gosh i'm so glad September is over.it was not a good month at all. Be blessed and stay blessed. Posted by L.I.S. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. Add To My Blog. Sehemu ya ...
malkiasun.blogspot.com
Be brave....: Utegemezi. . . .
http://malkiasun.blogspot.com/2011/11/utegemezi.html
Inspire and let yourself be inspired! This blog is about inspiring each other from all aspects of life, learning from one another, taking what we lack within ourselves (courage, strength,power, discipline, joy, understanding etc.) and give what we have. Be blessed and stay blessed! Sunday, November 27, 2011. Utegemezi. . . . 1Kwa kukosa maarifa na msukumo wa kujituma. . . 2Malezi na mazoea. . . 3Kutokujiamini. . . 4And then there is the Dependent Personality Disorder. . . Binafsi naamini kwamba utegemezi...
malkiasun.blogspot.com
Be brave....: Dondoo za mapenzi...
http://malkiasun.blogspot.com/2011/08/dondoo-za-mapenzi.html
Inspire and let yourself be inspired! This blog is about inspiring each other from all aspects of life, learning from one another, taking what we lack within ourselves (courage, strength,power, discipline, joy, understanding etc.) and give what we have. Be blessed and stay blessed! Thursday, August 25, 2011. Mahsusi kwa watu wanaotarajia kuanzisha mahusiano thabiti na yenye malengo pamoja na wale ambao tayari wamo ndani ya mahusiano ya aina hiyo. Kila mtu hua mstaarabu siku za mwanzo hata wale ambao sio.
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: PINDA APIGA CHENGA YA MWILI(NI SAKATA LA MAWAZIRI KUJIUZULU)
http://www-radio5.blogspot.com/2012/04/pinda-apiga-chenga-ya-mwilini-sakata-la.html
Tuesday, April 24, 2012. PINDA APIGA CHENGA YA MWILI(NI SAKATA LA MAWAZIRI KUJIUZULU). ALIPOULIZWA AKACHEKA, MKONO NAE AWEKA SAINI AONDOLEWE, UFISADI MALIASILI UNATISHA. WAKATI wabunge wakiendelea kusaini fomu ya majina ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiongozi huyo wa shughuli za Serikali bungeni jana alikwepa kuzungumzia hatua za kinidhamu dhidi ya mawaziri wanaokabiliwa na tuhuma mbalimbali. 8220;Aliahirisha shughuli za Bunge kama hakuna kitu kikubwa kilichohitaji majibu ya Serikali,...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: Michezo
http://www-radio5.blogspot.com/p/sports.html
FA KURUDI MSIMU UJAO. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limerejesha tena mashindano ya Kombe la FA (TFF) kuanzia msimu ujao 2012/2013 ambapo bingwa wa michuano hiyo ataiwakilisha Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho. Timu zinazotakiwa kushiriki michuano hiyo itakayochezwa kwa mtindo wa mtoano ni zilizosajiliwa ambapo katika maombi yao ni lazima ziambatanishe nakala ya hati ya usajili wa klabu ambayo itatakiwa kuidhinishwa na chama cha mpira wa miguu cha wilaya. Katika mchezo wa kwanz...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA
http://www-radio5.blogspot.com/2012/03/wawatangaza-mponda-nkya-kuwa-maadui.html
Sunday, March 11, 2012. WAWATANGAZA MPONDA NKYA KUWA MAADUI NAMBA MOJA WA SEKTA YA AFYA. CHAMA cha Madaktari Tanzania (Mat) kimetangaza kusitisha mgomo wa nchi nzima kuanzia jana mchana, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kumheshimu Rais Jakaya Kikwete, huku kikiwatangaza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Haji Mponda na naibu wake, Dk Lucy Nkya kuwa maadui namba moja wa sekta ya afya nchini. Uamuzi kusitisha mgomo ulikuja baada ya viongozi wa Mat hicho na wale wa Jumuiya ya Madaktari kukutana na Rais Jak...
www-radio5.blogspot.com
ARUSHA: Matukio
http://www-radio5.blogspot.com/p/matukio-mbalimbali.html
Dj Mudy akifungishwa ndoa maeneo ya Sakina kibanda maziwa siku ya ijumaa,Dj Mudy ambaye jina lake kamili ni Mohamedi Hamis amemuoa Mwanaisha Suleiman ambaye hufanya kipindi cha mishemishe hapa radio 5. Dj Muddy akiwa na wapambe wake Semio Sonyo na Shaban. BiMwanaisha Suleiman na Mohamed Hamis wakati wa kufungishwa ndoa yao ijumaa ya tarehe 10/02/2012. Mudy na Mwanaisha wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa ijumaa sakina kibanda maziwa. GM wa radio5 akibadilishana mawazo na Barnaba. Wafanyakazi wa Radio ...