habarimoto.blogspot.com
RATIBA NZIMA LIGI KUU BARA 2014/2015 | MOTOMOTO
http://habarimoto.blogspot.com/2014/08/ratiba-nzima-ligi-kuu-bara-20142015.html
RATIBA NZIMA LIGI KUU BARA 2014/2015. RATIBA NZIMA LIGI KUU BARA 2014/2015. BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE. Karume Memorial Stadium, Uhuru/ShauriMoyo Road-Ilala, P. O. BoX 1576 DAR ES SALAAM. TeleFax: (255) 22 286 18 15, Email: tanfoot@tff.or.tz. VODACOM PREMIER LEAGUE (VPL) 2014/15. 20th September 2014 - 18th April 2015. CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP 2014. U20 UHAI CUP 2014. 13,14,15Feb.2015 - PRELIMINARY CL and CC 1ST LEG. 27,28Feb. and 1ST March 2015 - PRELIMINARY CL and CC 2nd LEG. Share on Google Plus.
habarimoto.blogspot.com
AL SHABAB WAKIRI KUTEKA BASI NA KUUA WATU 28 KENYA | MOTOMOTO
http://habarimoto.blogspot.com/2014/11/al-shabab-wakiri-kuteka-basi-na-kuua.html
AL SHABAB WAKIRI KUTEKA BASI NA KUUA WATU 28 KENYA. AL SHABAB WAKIRI KUTEKA BASI NA KUUA WATU 28 KENYA. BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE. Al Shabaab lakiri kutekelza shambulizi nchini kenya. Kundi la Al Shabaab nchini Somali linasema kuwa limefanya mashambulizi ya abiria 28 katika basi moja kazkazini mashariki mwa kenya. Basi hilo ambalo lilikuwa likiwabeba abiria 60 lilitekwa katika jimbo la mandera lilipokuwa likelekea mjini Nairobi. Miongoni mwa wahanga walikuwa watoto kadhaa ambao walipigwa risasi kichwani.
habarimoto.blogspot.com
RAIS KIKWETE ATEUA MANAIBU BALOZI | MOTOMOTO
http://habarimoto.blogspot.com/2014/06/rais-kikwete-ateua-manaibu-balozi.html
RAIS KIKWETE ATEUA MANAIBU BALOZI. RAIS KIKWETE ATEUA MANAIBU BALOZI. BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Naibu Mabalozi wawili. Walioteuliwa ni Bw. Robert Kahendaguza (pichani kushoto) anayekuwa Naibu Balozi, Ubalozi wa Kudumu kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa, Geneva, Uswisi, na Bw. Msafiri Marwa (pichani chini) anayekuwa Naibu Balozi wa Tanzania London, Uingereza. Uteuzi huu unaanza tarehe 25 Mei, 2014. JUNI 11, 2014.
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: May 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
Wednesday, May 20, 2015. Rais Kikwete afungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015. Sehemu ya wajumbe wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mik...
dinaismail.blogspot.com
MASHALI AMCHARAZA KASEBA | Sports Lady
http://dinaismail.blogspot.com/2014/03/mashali-amcharaza-kaseba.html
Interview Meet your artists. Videos Watch Music TV. Gallery Browse the albums. Actualities All the fresh news. Sign in Members zone. Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam. BONDIA Thomas Mashali amefanikiwa kutwaa taji la WBO uzito wa Light Heavy baada ya kumshinda kwa pointi Japhet Kaseba usiku wa jana kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba, Temeke mjini Dar es Salaam. Mshindi juu; Thomas Mashali akiwa amebebwa juu na mashabiki wake baada ya kutangazwa mshindi dhidi ya Japhet Kaseba. Japokuwa hata matokeo yangetanga...
habarimoto.blogspot.com
BRAZIL YATOLEWA KWA MATUTA NA PARAGUAY COPA AMERICA | MOTOMOTO
http://habarimoto.blogspot.com/2015/06/brazil-yatolewa-kwa-matuta-na-paraguay.html
BRAZIL YATOLEWA KWA MATUTA NA PARAGUAY COPA AMERICA. BRAZIL YATOLEWA KWA MATUTA NA PARAGUAY COPA AMERICA. BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE. BRAZIL imetupwa nje ya michuano ya Copa America baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 na Paraguay kufuatia sare ya 1-1. Usiku huu Uwanja wa Ester Roa Rebolledo nchini Chile. Mkongwe Robinho alianza kuifungia Brazil dakika ya 15, kabla ya Derlis Gonzalez kuisawazishia Paraguay kwa penalti dakika ya 70. PICHA ZAIDI GONGA HAPA. Share on Google Plus. Wanawake wasisubiri nafasi za...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: November 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_11_01_archive.html
Friday, November 15, 2013. MBUNGE KAPUYA YAMKUTA YA UBAKAJI NA KUTISHIA KUUA. Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM). MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea kumkabili. Baadaye saa 1:07 asubuhi, alituma ujumbe mwingine kutoka simu hiyo hiyo kwenda kwa mto...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: April 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Sunday, April 19, 2015. WATANZANIA tusimame kupinga mauaji ya albino - Lowassa. WATANZANIA wametakiwa kulaani na kukemea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino kwa kuwa matukio hayo yanaitia aibu nchi ya Tanzania na kupoteza sifa yake, kuwa nchi yenye amani. Aidha Chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (TAS) kimetakiwa kushawishi majina ya watu 16 waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya watu wenye ualbino kumfikia mapema Rais Jakaya Kikwete ili kutoa hakumu. Links to this post. Kadhalika, ...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: August 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_08_01_archive.html
Friday, August 23, 2013. ANGELLAH KAIRUKI ALIPOTOA BAISKELI KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA VIUNGO. Angella Kairuki akiwa na watoto wake Kemy pamoja na Esta muda mfupi baada ya kukabidhi baiskeli hizo. Mama kairuki akiongea na mtoto Halima ambaye naye pia alipata baiskeli hiyo. Wazazi wakiwa na watoto wao baada ya kukabidhiwa baiskeli zao. Mtoto mmojawapo wa Mama Kairuki akimuendesha mtoto mmoja wapo aliyekabidhiwa baikeli. Mama Kairuki akiwa na familia yake pamoja na mtoto Halima. Links to this post. Nimeku...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: May 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_05_01_archive.html
Monday, May 20, 2013. NAY WA MITEGO NA DIAMOND PLATINUMZ WAFUNIKA KWENYE UZINDUZI WA VIDEO ' MUZIKI GANI' DAR LIVE! Nay wa Miego akiburudisha umati wa watu waliojitokeza kwa wingi Darlive! DAR Live usiku wa kuamkia leo ilitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia onyesho la pamoja kati ya wanamuziki wawili nyota wa kizazi kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na Ney wa Mitego ambao walikuwa wakizindua video ya wimbo wao wa 'Muziki Gani'. Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki. KATIKA si...