bongotz.com
BongoTz.com
http://www.bongotz.com/bongoyetu21.html
8220;The best and the brightest students shouldn't be denied access to higher education simply because they can't afford it.”. Linux web hosting - Get rock solid web hosting at Webquarry! UHUSIANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI ULIANZA KWA NDOA AU TALAKA? Na , Magabe Kibiti. Kwa miaka zaidi ya kumi sasa nimekuwa natatizwa na jambo hili kubwa na lenye uzito wa maana sana katika maisha ya kila siku ya Mtanzania. Mara nyingi hujikuta nikicheka nisikiapo wanasiasa na wasomi wakijaribu kulielezea. Wengine wanadai...
bongotz.com
BongoTz.com
http://www.bongotz.com/aboutus.html
The best and the brightest students shouldn't be denied access to higher education simply because they can't afford it. Chair, Board of Trustees. Founded in 2004 by its CEO-Edward Chacha, and his Fellow Tanzanians-Stephen Mndalila and Kalebi Mgomi. BongoTz is committed to :-. Alleviating unnecessary human suffering and building hope to less fortunate people. Advacing human rights and strengthening democracy in our home country-Tanzania. BONGOTZ BOARD OF TRUSTEES. 8226; EDWARD CHACHA:. 8226; KALEBI MGOMI:.
bongotz.com
BongoTz.com
http://www.bongotz.com/bongoyetu03_%2014_06.htm
The best and the brightest students shouldn't be denied access to higher education simply because they can't afford it. NISHATI YETU, MUSTAKABALI WETU. Na, G [Posted: 03/14/06]. Serikali pia inaweza kufikiria njia za kuelimisha watu wenye uwezo kuwekeza katika umeme unaotokana na miale ya jua. Nayo yanaweza kutusaidia kupata umeme. Sina hakika sana uwezo wa uzalishaji wa migodi yetu ya makaa kama Kiwira, na kwamba makaa hayo yanapopatikana yanatumiwaje. Lakini kama uzalishaji wa umeme si mojawapo...Tekno...
bongotz.com
BongoTz.com
http://www.bongotz.com/bongoyetu01_06_07.htm
The best and the brightest students shouldn't be denied access to higher education simply because they can't afford it. TUSIJIDANGANYE, HAKUNA FREE LUNCH DUNIANI. Na,Magabe Kibiti (Posted first on: 01/06/07). Kama huamini hebu jiulize maswali yafuatayo. Karne nyingi zilizopita wakati wa mapinduzi ya viwanda (industrial revolution), ni misaada gani ya nje ambayo wazungu wa Ulaya walipokea ili kufanikisha mapinduzi hayo? Je, wamisri walipokea mikopo kiasi gani ili kujenga mapiramidi? TUMA MAONI YAKO [HAPA].
bongotz.com
bongotz.com
http://www.bongotz.com/makalazetu.html
April 23, 2010. Ziara ya Kikwete U.S. Sekta ya afya nchini. Je,ni talaka au ndoa? Hii ndio kasi mpya! MWAFRIKA, NANI DADDY YAKO? Kila siku utasikia watu Afrika wakipayuka, oh vijana wa siku hizi wamepotoka, wanaiga Tamaduni za kigeni, wanavaa nguo za ajabu, blaaa, blaaa. Kitu kimoja najiuliza, hivi Tamaduni asili ya mwafrika ni ipi? Ni nini mavazi asilia ya mwafrika? Ni nini muziki asilia wa mwafrika? Ni nini lugha asilia ya mwafrika? Ni nini dini asilia ya mwafrika? Rais kufa na mtu. Ni ukweli usiopingi...
bongotz.com
bongotz.com
http://www.bongotz.com/bongomchicha.html
Kona ya Bongo Mchicha:. Hoja ya kazi mkuu. KARIBUNI, KONA YA BONGO MCHICHA! Kunitumia barua pepe za maoni mbalimbali na kunitanabahisha kupitia antabo2@hotmail.com. Au antarsangali@yahoo.co.uk. BONGO NA ULAYA SAWA TU! Kama ni 'Skyscrapers' - bongo zipo., 'Subway' hazihesabiki.,' Shopping Mall' (walahi bilai) ziko kila kona. kwanini sasa hutaki kurudi nyumbani? MFUMO WA UCHAGUZI ZANZIBAR UBADILISHWE.
bongotz.com
BongoTz.com
http://www.bongotz.com/bongoyetu01_%2021_2010.htm
8220;The best and the brightest students shouldn't be denied access to higher education simply because they can't afford it.”. Linux web hosting - Get rock solid web hosting at Webquarry! Dual Citizenship at Last! Courtesy: By Mkinga Mkinga, The Citizen [2010-01-20 09:22:00]. Membe says research carried out on the proposal has established that the new law will not harm the country. Many have complained that lack of such a law disadvantages them, as it denies them opportunities they could access if they w...
bongotz.com
bongotz.com
http://www.bongotz.com/barua_za_wazi.html
Kwa Waziri wa Utalii. Isiwe nguvu ya soda. Kwa Prof. Mwakyusa. KAMA NINGEKUWA RAIS WA TANZANIA. Ni kwa kiwango gani viongozi wengine wa serikali wanautambua ukweli kuwa wameajiriwa na wapiga kura na walipa kodi? Nikiwa bado natafuta maswali ya majibu haya, nimeamua kuanzisha mjadala mwingine kichwani mwangu. Ninaisumbua akili yangu ijibu swali kuwa; kama mimi ningekuwa Raisi wa Tanzania, je ningeifanyia nini nchi yangu na wapiga kura walioniajiri kuwaongoza? USHAURI KWA VIONGOZI WA SERIKALI- AWAMU YA NNE.
bongotz.com
BongoTz.com
http://www.bongotz.com/bongoyetu09_%2024_06.htm
The best and the brightest students shouldn't be denied access to higher education simply because they can't afford it. WATOTO WA MAMA TUNAIANGAMIZA TANZANIA. Na, Magabe Kibiti posted: 09/24/06. Ninaongelea maisha ya mtoto wa mama hapa. Maisha ya mtoto ambaye kila kitu anategemea mzazi wake amfanyie bila ya yeye mwenyewe kujishughulisha hata kidogo tu kubadili mwelekeo na mwafaka wa hali ya mambo yake muhimu. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania! TUMA MAONI YAKO [HAPA]. BACK TO MAIN PAGE.
bongotz.com
BongoTz.com
http://www.bongotz.com/burudani.html
People must realize that even with all these comforts, all this money and a GNP that increases every year, they are still not happy. They need to understand that the real culprits are our unceasing desires. Our wants have no end. Dalai Lama. True love is like ghosts, which everybody talks about and few have seen. La Rochefoucauld. TEN TIPS FOR BETTER SEX. Make it unexpected. Nothing takes away the monotony in a relationship like the unexpected! Think about what your partner would like. To add a new l...