issamichuzi.blogspot.com
MICHUZI BLOG: ALHAJ MWINYI: FUNDISHENI SAYANSI KWA KISWAHILI
https://issamichuzi.blogspot.com/2015/08/alhaj-mwinyi-fundisheni-sayansi-kwa.html
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM. TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). '. This content isn't available over encrypted connections yet. Monday, August 10, 2015. ALHAJ MWINYI: FUNDISHENI SAYANSI KWA KISWAHILI. Na Daniel Mbega wa brotherdanny.com. RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, amewataka walimu katika shule za m...
pembezonikabisa.blogspot.com
PEMBEZONIKABISA BLOG: AESHI: WAPUUZENI WANAOSEMA SITOGOMBEA TENA UBUNGE, ATANGAZA RASMI KUGOMBEA TENA!
http://pembezonikabisa.blogspot.com/2015/05/aeshi-wapuuzeni-wanaosema-sitogombea.html
Utajiri wa nchi hii upo mikoa ya pembezoni kabisa. Tafakari kisha chukua hatua, chochea maendeleo ya mikoa ya pembezoni na taifa kwa ujumla. Tuesday, May 12, 2015. AESHI: WAPUUZENI WANAOSEMA SITOGOMBEA TENA UBUNGE, ATANGAZA RASMI KUGOMBEA TENA! Akiongea leo katika mikutano ya hadhara kwenye vijiji vya Kankwale na Wipanga, Hilaly. Miundombinu ya barabara imeboreshwa sasa sijui hizi kauli kwamba nisigombee sijafanya lolote zinatoka wapi? Hata hivyo, wananchi wa vijiji vya Mlanda, Kankwale na Wipanga wamepa...
pembezonikabisa.blogspot.com
PEMBEZONIKABISA BLOG: MWALIMU MSTAAFU JELA MAISHA KWA HATIA YA KUMBAKA MJIKUU WAKE
http://pembezonikabisa.blogspot.com/2015/06/mwalimu-mstaafu-jela-maisha-kwa-hatia.html
Utajiri wa nchi hii upo mikoa ya pembezoni kabisa. Tafakari kisha chukua hatua, chochea maendeleo ya mikoa ya pembezoni na taifa kwa ujumla. Tuesday, June 30, 2015. MWALIMU MSTAAFU JELA MAISHA KWA HATIA YA KUMBAKA MJIKUU WAKE. Mahakama ya Wilaya ya Mpanda. Mwalimu mstaafu wa Shule ya Msingi Mpanda Ndogo Wilayaya ya Mpanda. Kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana. Na hatia ya kumbaka mjukuu. Wake (5) na kumuharibu vibaya sehemu zake za siri. Hiyo ilisomwa hapo jana. Alidai mahakamani kuwa mshitakiwa.
pembezonikabisa.blogspot.com
PEMBEZONIKABISA BLOG: RCC RUKWA YARIDHIA KUBEBWA MALOCHA NA KANDEGE, UCHAGUZI MKUU UJAO
http://pembezonikabisa.blogspot.com/2015/05/rcc-rukwa-yaridhia-kubebwa-malocha-na.html
Utajiri wa nchi hii upo mikoa ya pembezoni kabisa. Tafakari kisha chukua hatua, chochea maendeleo ya mikoa ya pembezoni na taifa kwa ujumla. Monday, May 25, 2015. RCC RUKWA YARIDHIA KUBEBWA MALOCHA NA KANDEGE, UCHAGUZI MKUU UJAO. Wadau hao wametoa kauli ya kuridhia kugawanywa kwa majimbo hayo jana kwenye kikao cha Kamati ya ushauri wa mkoa (RCC) kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa mkoa (RDC) ambacho kiliongozwa na Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya. Alisema kuwa katika vikao vya kamati ya ush...
pembezonikabisa.blogspot.com
PEMBEZONIKABISA BLOG: WASWIDENI WAWATUNUKU TUZO WAANDISHI RUKWA.
http://pembezonikabisa.blogspot.com/2015/06/waswideni-wawatunuku-tuzo-waandishi.html
Utajiri wa nchi hii upo mikoa ya pembezoni kabisa. Tafakari kisha chukua hatua, chochea maendeleo ya mikoa ya pembezoni na taifa kwa ujumla. Tuesday, June 30, 2015. WASWIDENI WAWATUNUKU TUZO WAANDISHI RUKWA. Na Mwandishi wetu,. WAANDISHI wa habari watano wa mkoa wa Rukwa, wakiongozwa na Mhariri wa blog ya Pembezonikabisa. Wametunukiwa tuzo kwa kuwa na mchango mkubwa katika kuandika na kutangaza habari za afya na ujinsia. Mhariri wa blog ya Pembezonikabisa. Mussa Mwangoka akipokea tuzo yake. Alisema kuwa ...
pembezonikabisa.blogspot.com
PEMBEZONIKABISA BLOG: KILUSWA ATANGAZA KUMVAA AESHI UBUNGE S'WANGA MJINI
http://pembezonikabisa.blogspot.com/2015/05/kiluswa-atangaza-kumvaa-aeshi-ubunge.html
Utajiri wa nchi hii upo mikoa ya pembezoni kabisa. Tafakari kisha chukua hatua, chochea maendeleo ya mikoa ya pembezoni na taifa kwa ujumla. Sunday, May 10, 2015. KILUSWA ATANGAZA KUMVAA AESHI UBUNGE S'WANGA MJINI. Na Gurian Adolf,. Hatimaye mbunge wa jimbo la Sumbawanga mjini Aesh Hilary amepata mpinzani baada ya kada wa siku nyingi mwenye nguvu na ushawishi mkubwa Anyosisye Thomas Kiluswa kutangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo hilo. 8216;’kwa muda mrefu nimekuwa nikijitolea katika kutatua c...
pembezonikabisa.blogspot.com
PEMBEZONIKABISA BLOG: SHEHENA YA MAGOGO YA MAMILIONI YANASWA RUKWA
http://pembezonikabisa.blogspot.com/2015/06/shehena-ya-magogo-ya-mamilioni-yanaswa.html
Utajiri wa nchi hii upo mikoa ya pembezoni kabisa. Tafakari kisha chukua hatua, chochea maendeleo ya mikoa ya pembezoni na taifa kwa ujumla. Monday, June 29, 2015. SHEHENA YA MAGOGO YA MAMILIONI YANASWA RUKWA. SHEHENA kubwa ya magogo yenye thamani ya zaidi Sh milioni 80 imekamatwa ikiwa imevunwa kinyume na utaratibu katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa. Afisa maliasili mkoa wa Rukwa, Nicholaus Mchome alisema jana wakati akizungumza na mwandishi wa blog ya Pembezonikabisa. Aidha, uch...