kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: Jamani hatupungi mashetani hapa, tunasoma
http://kyelacommunity.blogspot.com/2009/11/jamani-hatupungi-mashetani-hapa.html
Thursday, November 26, 2009. Jamani hatupungi mashetani hapa, tunasoma. Na Brandy Nelson, Chunya. Wanafunzi wakiwa darasani wakiendelea na masomo. HADI kufikia mwaka 2000 kijiji cha Udinde kilikuwa na shule moja ya msingi iitwayo Udinde iliyochukua watoto kutoka vitongoji vya jirani pia, lakini ulipoanzishwa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (Mmem) mwaka 2002 ilionekana haja ya kufanya maboresho. Shule hiyo ilipachuliwa ikazaa shule nyingine ya msingi katika kitongoji cha Iboma mwaka 2003. Uamuzi wa...
kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: Dk Salim: Ukiona nchi ina matatizo, wa kulaumiwa ni viongozi
http://kyelacommunity.blogspot.com/2009/11/dk-salim-ukiona-nchi-ina-matatizo-wa.html
Thursday, November 26, 2009. Dk Salim: Ukiona nchi ina matatizo, wa kulaumiwa ni viongozi. Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) Dk Salim Ahmed Salim ambaye ameeleza kuwa nchi inapokuwa na migogoro mingi wanaostahili kulaumiwa ni viongozi. JITIHADA mbalimbali zinafanyika kuhakikisha kuwa nchi za Kiafrika zinafuata utawala wa sheria na pia kuzingatia haki za binadamu. Swali: Bara la Afrika linakabiliwa na matatizo mengi ya kivita, ya kiuchumi, ya kisiasa na ya kijamii. Mwasisi wa taasisi ...
kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: SALAMU ZA MWAKA MPYA WA 2010
http://kyelacommunity.blogspot.com/2010/01/salamu-za-mwaka-mpya-wa-2010.html
Friday, January 1, 2010. SALAMU ZA MWAKA MPYA WA 2010. Tovuti ya Kyela Community Initiatives inawatakia heri ya mwaka mpya wasomaji na wapenzi wa tovuti hii. Mungu awape nguvu na furaha katika maisha yenu na familia zenu. Mwaka huu wa 2010 uwe ni wenye mafanikio kwako na familia yako. Tovuti hii inaomba radhi kwa kutoweza kutoa maada kwa mwezi wa Decemba, 2009 kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wake. Mungu wabariki Watu wako hapa Duniani ili wakujue kuwa wewe ndiye muweza. View my complete profile.
kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: Mtikisiko wazuka Baraza la Mawaziri
http://kyelacommunity.blogspot.com/2009/11/mtikisiko-wazuka-baraza-la-mawaziri.html
Thursday, November 26, 2009. Mtikisiko wazuka Baraza la Mawaziri. Novemba 25, 2009. Sasa hata Dk. Shein azoza. SIKU chache tu baada ya kutuma ujumbe kwamba akipita mwakani hatabeba mawaziri wazee, Rais Jakaya Kikwete ameanza kutekeleza azma hiyo kwa kuwatangazia mawaziri wake kwamba amechoshwa nao kwa kuwa hawamsaidii, imefahamika. Hakikua kikao cha baraza, lakini alizungumza kwa ukali akiwaambia kwamba alipowateua alikuwa na matumaini makubwa nao kwamba atakuwa amepunguza kwa kiasi kikubwa uzito wa kazi.
kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: November 2009
http://kyelacommunity.blogspot.com/2009_11_01_archive.html
Monday, November 30, 2009. USALAMA WA TAIFA NI LAZIMA UBADILIKE, KAMA TUNATAKA TUSALIMIKE! 8211; Sehemu ya 1. Na M M. Mwanakijiji. Uhuru wa nchi yoyote duniani unaenda sambamba kabisa na uwezo wake katika mambo ya kijasusi. Nimeshaandika mara kadhaa huko nyuma nikiwa mtu wa kwanza kuvunja mwiko wa kuzungumzia usalama wa taifa hadharani na kwa kina, mwiko ambao ninaendelea nao katika sehemu hii ya kwanza ya mabadiliko ya lazima ya “Idara” kama Watanzania tunataka tusalimike. Ningekuwa na u...Umuhimu wa ku...
kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: Vivutio vya Mbeya vina nafasi kubwa kukuza uchumi
http://kyelacommunity.blogspot.com/2009/11/vivutio-vya-mbeya-vina-nafasi-kubwa_27.html
Friday, November 27, 2009. Vivutio vya Mbeya vina nafasi kubwa kukuza uchumi. Mh Profesa Mark Mwandosya akitembelea maporomoko ya Malamba wilayani Rungwe ambayo ni mojawapo ya vivutio kibao vya utalii mkoani Mbeya. Pia, Ziwa Ngozi na Daraja la Mungu ni baadhi ya vivutio vinavyotengeneza historia ya pekee ya Mbeya na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. Ziwa Nyasa ni kivutio kingine, ambapo watu kutoka mataifa mbalimbali hufika kujionea ziwa hilo lenye hadhi kubwa katika bara la Afrika. Wageni mbalimbali hufika...
kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: USALAMA WA TAIFA NI LAZIMA UBADILIKE, KAMA TUNATAKA TUSALIMIKE! – Sehemu ya 1
http://kyelacommunity.blogspot.com/2009/11/usalama-wa-taifa-ni-lazima-ubadilike.html
Monday, November 30, 2009. USALAMA WA TAIFA NI LAZIMA UBADILIKE, KAMA TUNATAKA TUSALIMIKE! 8211; Sehemu ya 1. Na M M. Mwanakijiji. Uhuru wa nchi yoyote duniani unaenda sambamba kabisa na uwezo wake katika mambo ya kijasusi. Nimeshaandika mara kadhaa huko nyuma nikiwa mtu wa kwanza kuvunja mwiko wa kuzungumzia usalama wa taifa hadharani na kwa kina, mwiko ambao ninaendelea nao katika sehemu hii ya kwanza ya mabadiliko ya lazima ya “Idara” kama Watanzania tunataka tusalimike. Ningekuwa na u...Umuhimu wa ku...
kyelacommunity.blogspot.com
Kyela Community Initiatives: Vivutio vya Mbeya vina nafasi kubwa kukuza uchumi
http://kyelacommunity.blogspot.com/2009/11/vivutio-vya-mbeya-vina-nafasi-kubwa.html
Thursday, November 26, 2009. Vivutio vya Mbeya vina nafasi kubwa kukuza uchumi. Daraja la Mungu lililopo Wilayani Rungwe. JIJI la Mbeya lina vitongoji vingi vyenye utajiri. Lina vivutio vingi kwa wageni waliopata fursa ya kulitembelea. Mbeya ina safu za milima iliyosheheni rasilimali za urithi tangu zama za kale. Rasilimali hizo ni pamoja na misitu mikubwa iliyo hifadhi wanyama na ndege wazuri wa kuvutia. Wageni mbalimbali hufika wilayani Kyela kujionea mandhari ya ziwa hilo, ambalo ni la tatu kwa ukubwa...
infojep.com
Tanzanian Web Sites
http://www.infojep.com/tanzania/index.htm
To add your Tanzania site here please send any contributions to Webmaster. The sites are listed in Alphabetical order regardless their category). A&A Computers Ltd. provides a full range. Of computer products and services in Arusha and Moshi, Tanzania. Specializing in treks up Mt. Kilimanjaro, safaris in northern Tanzania, and beach trips on Zanzibar/Pemba. African Cichlid Safaris: Tanzania. American Express Southern Africa Classic Selection. Arusha Node Marie E-mail and Internet Society homepage. Design...