tanzanianbloglist.blogspot.com
Tanzanian Blog Awards™ Directory List: 3rd Runners Up of the 2011 Tanzanian Blog Awards Badges
http://tanzanianbloglist.blogspot.com/2011/08/3rd-runners-up-of-2011-tanzanian-blog.html
Thursday, August 4, 2011. 3rd Runners Up of the 2011 Tanzanian Blog Awards Badges. Jinsi ya kuweka hizi badges. Kama unatumia blogger platform. Kwenye dashboard yako Design add gadget html/javascript .Unacopy na kupaste hii code hapa chini. Dashboard add widget fuata maelekezo. Kama ni website kila host wananjia zao tofauti . Natumaini maelekezo yatapatikana kiurahisi jinsi ya kuweka hii code. Http:/ infotanzania.blogspot.com. A border="0" href=" http:/ www. Http:/ kilinyepesi.blogspot.com/. Best Informa...
michakatoblog.blogspot.com
WAYNE ROONEY AHAMIA KWENYE MIELEKA YA" WWW" ~ MICHAKATO Blog
http://michakatoblog.blogspot.com/2015/11/wayne-rooney-ahamia-kwenye-mieleka-ya.html
Monday, November 9, 2015. WAYNE ROONEY AHAMIA KWENYE MIELEKA YA" WWW". Wayne Rooney alionekana akiapanda ulingoni huko Manchester katika pambano ya miyeleka,baada ya Barret kumtolea lugha ambayo sio nzuri kwa kumwambia alijurusha ili apate penati katika kombe la FA kuhususiana na timu yake.Wayne Rooney alijibu pigo kwa mpiga kibao Barret.Katika usiku huo Rooney alikuwapo na washikaji wake Ryan Giggs,D Flecher pamoja na mtoto wake Kai. Rooney akimpiga kibao Barret. Subscribe to: Post Comments (Atom).
michakatoblog.blogspot.com
December 2015 ~ MICHAKATO Blog
http://michakatoblog.blogspot.com/2015_12_01_archive.html
Wednesday, December 30, 2015. MKALI WA WIMBO WA DURO TOKA NIGERIA TENKOMILES YUPO DAR KWA MKESHA WA MWAKA. Mkali wa Tenkomiles toka Nigeria yupo jijini Dar tayari kuwasha moto katika tamasha la mkesha wa mwaka litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Kingsolomoni.Jamaaa akiwa anatamba na wimbo wake wa DURO. Hakika si pakukosa ili uwezw kufunga mwaka 2015 vizuri kwa burudani kutoka kwa mkali huyo huku tiketi ni 40,000/= kabla ya saa tisa na baada ya hapo ni 70000/=. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. 6 Ofisi ya Waz...
michakatoblog.blogspot.com
UKATA WAWALIZA DADA POA(MACHANGUDOA)WASEMA KASI YA RAISI MAGUFULI NOMA ~ MICHAKATO Blog
http://michakatoblog.blogspot.com/2016/01/ukata-wawaliza-dada-poamachangudoawasem.html
Monday, January 4, 2016. UKATA WAWALIZA DADA POA(MACHANGUDOA)WASEMA KASI YA RAISI MAGUFULI NOMA. Subscribe to: Post Comments (Atom). Mugabe's Speech on UN equality. POPULAR POST THIS WEEK. Utambue ugonjwa wa kipindupindu (cholera)dalili zake,maambukizi,kinga na tiba. Kipindupindu Ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria aina Vibrio cholera. Ugonjwa huu ni moja ya magonjwa ya nayoiathiri jamii hasa pale un. VIJANA NIA,UVUMILIVU NI DIRA YA MAFANIKIO SOMA HII KWA MBUNGE MDOGO KULIKO WOTE TANZANIA. HABARI NJEMA...
michakatoblog.blogspot.com
September 2015 ~ MICHAKATO Blog
http://michakatoblog.blogspot.com/2015_09_01_archive.html
Wednesday, September 30, 2015. Azam,Simba na Yanga mbele kwa mbele VPL. Kwa hakika ligi ya VPL msimu wa 2015/2016 ni raha tu,imekuwa na msisimko wa juu huku timu nne Yanga,Azam,Simba na Mtibwa zikiwa katika viwango vya juu.Azam,Simba,Yanga jana zilitoa dozi na kujiongezea point kuelekea katika kunyakuwa ubingwa wa VPL 2015/2016.Matokea ya jana yalikuwa YANGA 2 MTIBWA 0 -UWANJA JAMUHURI MOROGORO SIMBA 1 STANDA UNITED 0 -UWANJA WA TAIFA AZAM 2 COASTAL UNION 0 -UWANJA CHAMAZI COMPLEX. Diamond kama kawa 2015.
tanzanianbloglist.blogspot.com
Tanzanian Blog Awards™ Directory List: Finalists of the 2011 Tanzanian Blog Awards Badges
http://tanzanianbloglist.blogspot.com/2011/08/finalists-of-2011-tanzanian-blog-awards.html
Thursday, August 4, 2011. Finalists of the 2011 Tanzanian Blog Awards Badges. Jinsi ya kuweka hizi badges. Kama unatumia blogger platform. Kwenye dashboard yako Design add gadget html/javascript .Unacopy na kupaste hii code hapa chini. Dashboard add widget fuata maelekezo. Kama ni website kila host wananjia zao tofauti . Natumaini maelekezo yatapatikana kiurahisi jinsi ya kuweka hii code. Http:/ kingkapita.blogspot.com/. Http:/ ahmed-kidume.blogspot.com/. Http:/ florasalon.blogspot.com/. Target=" blank" ...
michakatoblog.blogspot.com
SIKIA HII YA RAISI WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI ~ MICHAKATO Blog
http://michakatoblog.blogspot.com/2016/09/sikia-hii-ya-raisi-wa-tanzania-john.html
Friday, September 2, 2016. SIKIA HII YA RAISI WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI. Katika hali ambayo haikutarajiwa Raisi amewesahii wale wote ambao wameficha mapesa wakiogopa wanaweza kugundulika baada ya kuzipata kwa njia ambazo sio halali hasa kwa msemo wa mjini KUPIGA DILI. Wameaswa wazitoe ziingie kwenye mzuko.Kwani kwa mamlaka aliyonayo anaweza amuru kuchapisha fedha mpya mara moja ili aweze kuwazibiti wenye fedha hizo haramu. Subscribe to: Post Comments (Atom). Mugabe's Speech on UN equality. WAZIRI W...
michakatoblog.blogspot.com
November 2015 ~ MICHAKATO Blog
http://michakatoblog.blogspot.com/2015_11_01_archive.html
Monday, November 30, 2015. KOBE BRYANT KAMA MICHAEL JORDAN BAADA YA MSIMU HUU 2015-2015,. Kobe Bryant amefanya uamuzi mgumu baada ya kutangaza kuwa wakati umefika wa kuacha kucheza mchezo wa kikapu kwa misimu ishirini(20) inatosha.Baada miongo miwili ya mafanikio,medali mbili za dhahabu Olimpiki,alichaguliwa mara 17katika all stars mechi,pointi 81 kwa mechi na zaidi ya akishika nafasi ya pili kama mchezaji bora wa NBA tangu ligi ianzishwe huku akifunga zaidi ya pointi 32,000. Katika ubora wake mwaka 2000.
SOCIAL ENGAGEMENT