whitleypump.wordpress.com
What’s On | The Whitley Pump
https://whitleypump.wordpress.com/whats-on
The view from Katesgrove Hill. Please confirm dates, times and prices with whoever is organising the event. Although we take care to get event details correct, we can take no responsibility for errors, omissions or cancellations whether caused by us or by other parties. If you would like your event included in the calendar, please contact us at whitleypump.uk@gmail.com. It would be wise to provide at least a week’s notice, and there is no guarantee that your event will be included. Christ the King (RC).
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: MKUTANO WA DIASPORA 2014
http://hungaz.blogspot.com/2014/08/mkutano-wa-diaspora-2014.html
MKUTANO WA DIASPORA 2014. Kwa mujibu wa taarifa toka kwa Ndugu Francia ambaye alikuwa mmoja wa washiriki wetu pale Serena Hotel Tanzania kwa ajili ya mkutano huo tunawakilisha taarifa fupi ya matukio ya mkutano huo uliofanyika tarehe 14 na 15 august 2014:. Naomba kushare Baadhi ya Mada, najua kuna wawakilishi watakaowaambia kila kitu but nimeona kama mshiriki ningependa kuwarushia some few dondoos. Mada kutoka makampuni ni pamoja na Watanzania mlio nje ya nchi (whatever the nationality) mnahimizwa na kuh...
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: Gospel News
http://hungaz.blogspot.com/p/gos.html
Join the church of God and find the way to worship and praise our lord Jesus Christ by simply click in this link you will get to know about services offered and contacts of (Christ Abundant Life Ministries-CALM) time is running out my friend be transformed. Subscribe to: Posts (Atom). BUY THIS BOOK HERE. She saw the lord delivers her and her parents and brothers and sisters from death.Death came to their door to threaten their lives in the form of 'REBELS' during the civil war in SIERRA LEONE:. The gener...
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume
http://hungaz.blogspot.com/2014/06/uingereza-inakabiliwa-na-upungufu-wa.html
Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume. Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume hali ambayo huenda ikalazimu kiliniki za matibabu ya uzazi nchini humo kuchukua mbegu duni. Onyo hili limetolewa na shirika la kijamii la matibabu ya uzazi nchini humo BFS. Inadaiwa kuwa baadhi ya kliniki hizo hutegemea shahawa kutoka nchi za kigeni kutokana na mahitaji yake nchini humo. Amesema kuwa wanawake watakabiliwa na mbinu zitakazogharimu kiasi kikubwa cha fedha iwapo mbegu duni zitatumiwa.
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: JE SWALA HILI LA HUYU JAMAA UNALIONAJE?
http://hungaz.blogspot.com/2014/08/je-swala-hili-la-huyu-jamaa-unalionaje.html
JE SWALA HILI LA HUYU JAMAA UNALIONAJE? UTATA WAGUBIKA MMILIKI WA MBWA WALIVYO MTAFUNA MTOTO, KUNUNUA BAADHI YA MAJENGO YA IKULU. Na Nickson Mahundi,Ludewa. Utata umeendelea kugubika kwa wananchi wa wilaya ya Ludewa kuhusiana na mmiliki wa Mbwa ambao walimuua mtoto Ibrahim Faraja Chipungahelo Bw.Bosco Thobias Lingalangala uhalali wa kuyanunua baadhi ya majengo ya Ikulu ndogo ya wilaya ya Ludewa na kugeuza sehemu ya kufuigia mbwa ambao ni hatari kwa maisha ya Binadamu. 8220;tunashangazwa na hali hii inayo...
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: BARAKA NYAMA: Atoa shukrani baada ya mazishi ya Bi AMINA ZAHARA MTENGETI
http://hungaz.blogspot.com/2014/06/baraka-nyama-atoa-shukrani-baada-ya.html
BARAKA NYAMA: Atoa shukrani baada ya mazishi ya Bi AMINA ZAHARA MTENGETI. Kwa niaba ya Familia yangu, napenda kutoa shukurani za dhati kwa Ndugu,Jamaa, Marafiki wote na Viongozi wa Vyama na Serikali waliojitokeza kushirikiana nasi katika shughuli za mazishi ya Mama yetu Mpendwa Bi AMINA ZAHARA MTENGETI. Hatuna la kuwalipa ila tunamuomba Mola awaongeze. Bi AMINA ZAHARA MTENGETI(Coloured). Subscribe to: Post Comments (Atom). BUY THIS BOOK HERE. Or at www.authorhouse.com. See Post in Labels. UFISADI and pol...
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: WEDDING TEST
http://hungaz.blogspot.com/2014/09/wedding-test.html
WEDDING TEST –Adults Only! With tears in his eyes, my father-in-law hugged me and said “We are very happy that you have passed our little. Test We couldn’t have ask for a better man for our daughter "Welcome to the family, son! I smiled and heaved a sigh of relief because I was actually heading to my. Car to get my condoms …NA GOD SAVE. Subscribe to: Post Comments (Atom). BUY THIS BOOK HERE. Or at www.authorhouse.com. See Post in Labels. MENGI YASIYO TATULIWA/Unsolved matters. Shows in Reading uk. The ge...
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: 2015
http://hungaz.blogspot.com/2015/01/2015.html
Happy new year to all of you, It's a year to watch out for. Great things are set to happen. Your life will take an upward shift. Get ready to shift and soar. God's grace and power will cause you to fulfil destiny. You will succeed. Enjoy a glorious 2015. Blessings, -hungaz. Subscribe to: Post Comments (Atom). BUY THIS BOOK HERE. Wife and Mother of two daughters,and born again Christian, inspired by her faith in God, wrote this book to inspire everyone whom will be touched. See Post in Labels. The general...
hungaz.blogspot.com
HUNGAZ: Al-Shabab killed 48 in Kenya during World cup viewing session
http://hungaz.blogspot.com/2014/06/al-shabab-48-killed-in-kenya-during.html
Al-Shabab killed 48 in Kenya during World cup viewing session. WATU 48 wameripotiwa kuuawa, hoteli mbili, kituo cha polisi na kituo cha mafuta kuchomwa moto baada ya shambulio lililotokea eneo la Mpeketoni, Lamu nchini Kenya jana usiku. Kituo cha Polisi cha Mpeketoni, hoteli ya Breeze View na Taweel ndivyo vilivyochomwa moto na moshi ulikuwa bado unafuka leo asubuhi . Imeelezwa kuwa washambuliaji walitokomea na silaha na magari ya polisi kutoka kutuo hicho cha polisi baaya kushabulia. BUY THIS BOOK HERE.
SOCIAL ENGAGEMENT