ccmtexas.blogspot.com
CHAMA CHA MAPINDUZI -- TEXAS: JK azindua Libeneke jipya la CCM mjini Dodoma
http://ccmtexas.blogspot.com/2012/05/jk-azindua-libeneke-jipya-la-ccm-mjini.html
Monday, May 14, 2012. JK azindua Libeneke jipya la CCM mjini Dodoma. Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua tovuti pamoja na Blogu ya CCM katika viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Mkoani Dodoma jana jioni.Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye, Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine waandamizi wa Chama. Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
williammalecela.com
MAJINA YA WAGOMBEA YANASWA MAKABURINI JIJINI DAR! JERRY MURO AFUNGUKA! ~ Blogu ya Wananchi
http://www.williammalecela.com/2015/08/majina-ya-wagombea-yanaswa-makaburini.html
View the slide show. Saturday, August 8, 2015. MAJINA YA WAGOMBEA YANASWA MAKABURINI JIJINI DAR! Posted by Williammalecela.com on Saturday, August 08, 2015. Baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, sasa makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ imeingia kazini ambapo wiki hii imeweza kuinasa nazi ikiwa na karatasi lenye majina ya waliojitokeza kugombea urais, ubunge na udiwani kwenye uchaguzi mkuu ujao. OFM ilitia timu kwenye makaburi hayo na kushuhudia uchawi hu...
liwazozito.blogspot.com
LIWAZO ZITO BLOG: YANGA HIYOOO ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME
http://liwazozito.blogspot.com/2015/07/yanga-hiyooo-robo-fainali-kombe-la.html
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com. Sunday, July 26, 2015. YANGA HIYOOO ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME. WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya soka ya Kombe la Kagame, Yanga jana walifuzu kucheza robo fainali baada ya kuichapa Khartoum ya Sudan bao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya Azam kuicharaza Adama City ya Ethiopia mabao 5-0, Hall alisema kikosi chake kimefanya ...
mjengwablog.com
Uchumi
http://www.mjengwablog.com/chambuzi/uchumi.html
We have 267 guests and no members online. Uchambuzi wa L Mkami. Uchambuzi wa Daniel Mbega. Hekaya za mtega ndege. Libeneke jipya la biashara mtandaoni Mavazi Store. Wednesday, 09 September 2015. Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana Steve Seducter mfumo huu wa kisasa umelenga Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja kwa kuunganisha maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya. This email address is being...
mjengwablog.com
MCHAWI WA BARCELONA LEO ATAFANYA NINI?
http://mjengwablog.com/michezo/item/21600-mchawi-wa-barcelona-leo-atafanya-nini.html
We have 271 guests and no members online. Uchambuzi wa L Mkami. Uchambuzi wa Daniel Mbega. Hekaya za mtega ndege. MCHAWI WA BARCELONA LEO ATAFANYA NINI? Tuesday, 11 August 2015. Written by Mjengwa Blog. Mchawi wa Barcelona, Lionel Messi ameonekana mtulivu kwenye mazoezi ya jana akijiandaa na mechi ya UEFA Super Cup. Siku chache zilizopita, Messi alicheza dhidi ya AS Roma katika mechi ya kirafiki dhidi ya AS Roma ya Italia, lakini ndani ya uwanja kulikuwa na cheche za aina yake. Nitaarifu kukiwa na majibu.
kamerayangu.blogspot.com
KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO TZ,AUG,6 - Kamera Yangu
http://kamerayangu.blogspot.com/2015/08/kurasa-za-mbele-na-nyuma-za-magazeti-ya.html
8801; Click Here. Thursday, August 6, 2015. KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO TZ,AUG,6. Posted by sheila simba. On 5:49 AM in KITAIFA. Subscribe to: Post Comments ( Atom ). MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE,Aug 22. MAGAZETI YA TZ LEO NA NJE,Aug 23. MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE,Aug 25. TANZANIA KENYA UK . MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE,Aug 26. MAGAZETINI LEO,Aug 27. August ( 219 ). July ( 189 ). June ( 162 ). May ( 153 ). April ( 216 ). March ( 290 ). February ( 215 ). January ( 139 ). December ( 91 ). May ( 6 ).