sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: tunaendelea kujidai
http://sisterdoi.blogspot.com/2010/08/tunaendelea-kujidai.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Thursday, August 12, 2010. Baada ya kurudi home mwanangu huwa ananikimbilia kuni hugh kama hivi siku hiyo nilijisikia kumpiga picha. February 11, 2011 at 1:43 AM. Hamida hongera sana baby wako mzuri kama jina lake. December 2, 2011 at 6:53 AM. This blog very interesting but you can also try these .www.jigambeads.com and .www.tanzaniakwetu.com for popularity and more advert to advertise. Thanks. Subscribe to: Post Comments (Atom). Romantic Quote of the Day.
sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: August 2010
http://sisterdoi.blogspot.com/2010_08_01_archive.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Thursday, August 12, 2010. Baada ya kurudi home mwanangu huwa ananikimbilia kuni hugh kama hivi siku hiyo nilijisikia kumpiga picha. Nimerudi jamani nilikuwa kando kidogo. Kama kawa tunajidai na mwanangu, jamani msituchoke hatuna albamu hii ndio albamu yetu. My Baby Mzuri katika pozi. Mimi na Baby wangu nikitoka kazini huwa anakuja kudeka kidogo kama mnavyomuona. Hapa nilikuwa Club Bilicanasi kwenye ukumbi wa Much More nilipoalikwa MTVBASE. Subscribe to: Posts (Atom).
sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: Hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Dada Dotnatha na Ant Latifa na Sharom
http://sisterdoi.blogspot.com/2010/07/hii-ilikuwa-ni-siku-ya-kuzaliwa-ya-dada.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Friday, July 2, 2010. Hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Dada Dotnatha na Ant Latifa na Sharom. Sharom akijiimbia siku ya kuzaliwa kwake. Da Jen naye alikuwepo. Eva katika pozi naye alishiriki. Natasha akilishwa keki na Dotnatha. Hapa waliozaliwa siku hiyo wote wanakata keki. Na hii nayo ni ya kukata keki. Hapa wakilishana Keki aliyeshika Uma ni Anti Latifa na aliyemeza ni Dotnatha. Ant Latifa Katika pozi. Mama Sofia Bariagati katika pozi naye alikuwepo. There was an er...
sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: April 2010
http://sisterdoi.blogspot.com/2010_04_01_archive.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Thursday, April 29, 2010. Send off ya Jose Njunwa. Hapa amepiga picha na mheshimiwa waziri mkuu mstaafu. Akijiandaa kupeleka keki kwa wakwe zake. Jose akiwa na mume wake na matroni wake. Jose na ndugu zake kama tunavyowaona walikuwa katika furaha ,lakini pia walipata majonzi kwa kumbukumbu ya wazazi wao waliotangulia mbele ya haki mungu awalaze pema peponi, kwani ilikuwa ni siku ambayo hakika wangefurahi kuona sherehe ya mtoto wao. Saturday, April 17, 2010. Sister Doi n...
sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: March 2010
http://sisterdoi.blogspot.com/2010_03_01_archive.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Sunday, March 21, 2010. Mungu ailaze mahari pema peponi roho ya mpendwa baba yetu Hassan a.k.a Mnyonge. Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni. Maskini bamdogo.huyu anamfata marehemu mgongoni alikuwa na uzuni kama tunavyomuona. Dada wa marehemu baada ya kuzika anaitwa Hamida. Watoto wa marehemu Faraji na Kheri wakiwa na huzuni baada ya kutoka kuzika. Watoto wa marehemu Sister doi na Emily Hassan. Emil naye aliingia kuuweka sawa mwili wamarehemu baba yake. Ni mwandishi wa h...
sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: Dont mess with an Angle inavyoendelea
http://sisterdoi.blogspot.com/2010/06/dont-mess-with-angle-inavyoendelea.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Thursday, June 17, 2010. Dont mess with an Angle inavyoendelea. Mayita Juan anaendelea kumlalamikia Miguel kuwa alitaka kumuua mama yake. Mayita anamlalamikia Juan Miguel kuwa alitaka kumuua mama yake, maneno madogo ambayo Viviana alimjaza, Miguel anamwambia kuwa sio ukweli kwasababu mama yake kwa sasa yuko mbinguni, Mayita hakubariani na baba yake anasisitiza kuwa mama yake hivi karibuni atarudi nyumbani kwao. Juan Miguel anakiri kwa Vicente kwamb. Candelaria anawasili...
sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: February 2010
http://sisterdoi.blogspot.com/2010_02_01_archive.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Thursday, February 4, 2010. Mambo ya bich wikiend. Sister Doi alipojiachia ufukweni na Rafiki yake Jacline Patrick ufukwe wa South sun wikiend iliyopita. Subscribe to: Posts (Atom). Kwa wewe mgeni katika Blog hii karibu sana mpendwa msomaji wangu napenda utoe maoni na kunishauri nini nifanye ili mwisho wa siku niboreshe zaidi. Romantic Quote of the Day. There was an error in this gadget. Yo Mamma Joke of the Day. There was an error in this gadget. Beauty Tip of the Day.
sisterdoi.blogspot.com
Pata vituko\burudani na Tamthilia: LILY WA MAMBO HAYO ALIPOMFANYIA MWANAYE SHEREHE YA KUZALIWA
http://sisterdoi.blogspot.com/2010/06/lily-wa-mambo-hayo-alipomfanyia-mwanaye.html
Pata vituko burudani na Tamthilia. Saturday, June 19, 2010. LILY WA MAMBO HAYO ALIPOMFANYIA MWANAYE SHEREHE YA KUZALIWA. Rafiki yangu Shamim naye alikuwepo katika sherehe hiyo. Sister Doi nikilishwa keki ilikuwa tamu kinoma. Hapa Rahimu anamlisha mama yake keki. Mama anamshukuru kwa kumpa busu zito. Keki hii ilikuwa tamu kwani nami niliionja. Hapa wakiwa katika pozi la furaha. Subscribe to: Post Comments (Atom). Romantic Quote of the Day. There was an error in this gadget. Yo Mamma Joke of the Day.