sw.enble.co.tz
EnBLe Consulting - Sisi ni nani
http://www.sw.enble.co.tz/about.html
Ushauri wa Biashara za Kijasiriamali(EBA);. Mazungumzo ya kibiashara na mikataba. EnBLe Consulting Limited ni kampuni yenye asili ya Kitanzania inayoshauri biashara (makampuni au watu binafsi) ndogo na za kati, serikali na mawakala wake na asasi zisozoza kiserikali (NGO) katika maswala ya utawala na usimamizi, lengo likiwa ni kuwajengea watendaji na wenye biashara au asasi uwezo wa kukuza na kufanikisha zaidi malengo yao binafsi na yale ya kampuni au asasi zao. 255 614 109 697.
sw.enble.co.tz
EnBLe Consulting - Huduma zihusianazo
http://www.sw.enble.co.tz/rese.html
Ushauri wa Biashara za Kijasiriamali(EBA);. Mazungumzo ya kibiashara na mikataba. Utendaji wa kazi kwa niaba (BPO):. Kwa makubaliano, tunafanya shughuli maalum kwa niaba ya wateja wetu ili wapate muda kutekeleza majukumu yao mengine au kuleta ufanisi zaidi. Baadhi ya shughuli ambazo tumekuwa tunafanya kwa niaba ya wateja ni pamoja na, kuendesha mifumo ya taarifa, kutunza mahesabu, Kusimamia mali, kufaili ritani za kisheria, kuandaa bajeti, na kutengeneza report za usimamizi. 255 614 109 697.
sw.enble.co.tz
EnBLe Consulting - Ushauri wa Biashara
http://www.sw.enble.co.tz/eba.html
Ushauri wa Biashara za Kijasiriamali(EBA);. Mazungumzo ya kibiashara na mikataba. Ushauri wa Kijasiriamali (EBA). Kufanya utafiti wa biashara ndogo ndogo za kijasiriamali na kutumia taarifa zinazopatikana katika kuendeleza biashara ya aina hiyo kwenye ukanda huu wa africa. Kutoa misaada ya kitaalam kuhusu kuanzisha na kuendesha biashara ndogo ndogo na za kijasiriamali, kama:. Uandaaji wa mipango ya kifedha na mchanganuo wa masoko. Uandaaji wa mipango ya biashara. Mafunzo ya maswala ya usimamizi.
sw.enble.co.tz
EnBLe Consulting - Ajira
http://www.sw.enble.co.tz/career.html
Ushauri wa Biashara za Kijasiriamali(EBA);. Mazungumzo ya kibiashara na mikataba. Timiza Ndoto ya kazi yako. Ahsante kwa kuonyesha kuwa unapenda kufanya kazi katika kampuni hii. Kwa sasa hatuna nafasi zilizo wazi. Hata hivo, kama utapenda tukufikirie kwa nafasi yoyote itakayojitokeza, tafadhanli tutumie nakala ya wasifu (CV) wako nasi tutawasiliana nawe. SLP 78406, Kitalu 34A Winding Avenue, Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania. 255 614 109 697. Http:/ www.enble.co.tz. Imebuniwa na Neosparks Technologies.
sw.enble.co.tz
EnBLe Consulting - Mazungumzo ya Kibiashara
http://www.sw.enble.co.tz/nego.html
Ushauri wa Biashara za Kijasiriamali(EBA);. Mazungumzo ya kibiashara na mikataba. Utaalam wa Mazungumzo ya kibiahara na mikataba. Kujiandaa kwa ajili ya mazungumzo. Uchambuzi yakinifu wa majadiliano;. Kutambua na kuelewa maswala muhumiu ya mazungumzo husika;. Madai na mapendeleo ya pande husika na;. Uchambuzi wa mazingira na mwelekeo wa mazungumzo. Kujipanga kwa ajili ya Mazungumzo. Kupima umuhimu na malengo ya mazungumzo, mamlaka ya kila upande na chaguzi walizokuwa nazo. 255 614 109 697. 2010 EnBLe Con...
sw.enble.co.tz
EnBLe Consulting - Mwanzo
http://www.sw.enble.co.tz/index.html
Ushauri wa Biashara za Kijasiriamali(EBA);. Mazungumzo ya kibiashara na mikataba. Mnamo tarehe 1 septemba 2010, EnBLe tulihamia katika ofisi yetu mpya iliyopo Kitalu 34A Winding Avenue, Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania. Nia yetu hasa ni kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wetu. Karibuni wote katika ofisi zetu mpya ambapo huduma zetu zimeboreshwa zaidi. SLP 78406, Kitalu 34A Winding Avenue, Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania. 255 614 109 697. Http:/ www.enble.co.tz. Imebuniwa na: Neosparks Technologies.