fadhilimshairi.blogspot.com
diwani ya fadhili: mwananchi mimi!
http://fadhilimshairi.blogspot.com/p/mwananchi-mimi.html
Riwaya za Fadhy Mtanga. KARIBU katika blog ya mwananchi mimi. Hii ni blog mahsusi kukuletea habari na picha. Katika blog hii utaweza kupata habari, uchambuzi, porojo, visa na mikasa na kujionea picha kadha wa kadha zinazoonesha maeneo mbalimbali. Kuitembelea blog ya mwananchi mimi. Subscribe to: Posts (Atom). Mimi nimeamua kujitoa mhanga kwa ajili ya kuwaokoa vijana wenzangu. Siogopi hata kufa kwa kusema ukweli. Ni vema kuwashirikisha wenzako juu ya fikra zako. View my complete profile. Ukiwaambia wao, w...
fadhilimshairi.blogspot.com
diwani ya fadhili: Wewe ndo furaha yangu
http://fadhilimshairi.blogspot.com/2013/09/wewe-ndo-furaha-yangu.html
Riwaya za Fadhy Mtanga. Thursday, September 12, 2013. Wewe ndo furaha yangu. Wangu moyo laazizi, wewe nimekupatia,. Juu yako sijiwezi, moyo umekuchagua,. Kukupenda s’oni kazi, mwenyewe nimeridhia,. Wewe ndo furaha yangu, wanipa kutabasamu. Sipigi tena miluzi, nukta nishaitia,. Kutangatanga siwazi, vyote we’ wanipatia,. Kwingine kwenda siwezi, hakuna ‘lokufikia,. Wewe ndo furaha yangu, mapenzi yako matamu. We ndo wangu usingizi, daima nakuwazia,. Wanijia kwenye njozi, hakuna wa kunambia,. Wewe ndo furaha ...