umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: September 2010
http://umbeabongo.blogspot.com/2010_09_01_archive.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Wednesday, September 29, 2010. Muswada wa Obama wa kudhibitiwa Internet nchini Marekani. Rais Barack Obama wa Marekani anajiandaa kuwasilisha muswada wa kudhibitiwa matumizi ya Intaneti nchini humo. Muswada huo unatarajiwa kuwasilishwa mbele ya Baraza la Congress la Marekani mwaka ujao wa 2011. Haramia wa kisomali akamatwa Tanzania. Jeshi la Tanz...
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIVYOPIGA KURA KIJIJINI KWAKE KIBAONI!!
http://umbeabongo.blogspot.com/2010/11/waziri-mkuu-mizengo-pinda-alivyopiga.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Monday, November 1, 2010. WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIVYOPIGA KURA KIJIJINI KWAKE KIBAONI! Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga kura kwenye kituo cha uchaguzi kijijini kwake, Kibaoni, Katavi Oktoba 31, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Subscribe to: Post Comments (Atom). Petaling Jaya, Selangor, Malaysia. View my complete profile.
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: October 2010
http://umbeabongo.blogspot.com/2010_10_01_archive.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Wednesday, October 20, 2010. Zitto anadi gwanda, achangisha 800,000/- papo hapo! Kampeni za Naibu Katika Mkuu wa CHADEMA Taifa, Zitto kabwe, katika jimbo la Sumbawanga mjini zimeendelea kuiweka pabaya CCM kutokana na kampeni zake kuwachambua kinagaubaga. 8220;Nasema napongeza sana kwa mapokezi haya makubwa ambayo mmeonyesha kwangu na huu ni ushad...
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: MWANAFUNZI CHUO AVUTA MSHIKO WA SUPER
http://umbeabongo.blogspot.com/2010/10/mwanafunzi-chuo-avuta-mshiko-wa-super.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Wednesday, October 20, 2010. MWANAFUNZI CHUO AVUTA MSHIKO WA SUPER. Subscribe to: Post Comments (Atom). Petaling Jaya, Selangor, Malaysia. Kwa yeyote mwenye tukio lolote asisite kunitumia kwenye email yangu ambayo ni inno1212@hotmail.com. View my complete profile. Zitto anadi gwanda, achangisha 800,000/- papo hapo. Find more music like this on.
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: JK Akiwa Mbinga
http://umbeabongo.blogspot.com/2010/10/jk-akiwa-mbinga.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Tuesday, October 12, 2010. 1 Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM). DrJakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto mlemavu Maria Chiwinga muda. Mfupi baada ya kuwasili mjini Mbinga jana ambapo aliwahutubia wananchi. Katika mkutano mkubwa wa kampeni.Dr.Kikwete aliahidi kumpatia mlemavu. Huyo msaada ili aweze kuendelea vyema na masomo yake.
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: August 2010
http://umbeabongo.blogspot.com/2010_08_01_archive.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Saturday, August 28, 2010. HAPPY B,DAY KAKA MKUBWA ISSA MICHUZI. Friday, August 27, 2010. SAFARI YA MWISHO YA COSTA MOWO KWENDA KUPUMZIKA MILELE. Rest In Peace, binadamu wote ni kama maua yanaweza kunyauka pasipokutarajia. Thursday, August 26, 2010. Alisema, ni Mungu tu ndiye aliyemsaidia kupona katika jaribio hilo la kubakwa kwasababu mjomba wak...
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: May 2010
http://umbeabongo.blogspot.com/2010_05_01_archive.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Monday, May 31, 2010. AY kupiga Collabo na Sean Kingstone! Habari zilizopo ni kuwa yule mwakilishi wa muziki wa Bongo Flava nje ya nchi Ambwene Yessayah anatarajia kuangusha mzigo na msanii Mkali toka Jamaica ambaye siku za karibuni alidondoka kufanya show ya nguvu nchini, si mwingine ni Sean KingStone. Hii sio ya kuchezea! Hatimaye superstar ali...
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: June 2010
http://umbeabongo.blogspot.com/2010_06_01_archive.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Friday, June 18, 2010. IS THIS WHERE THE VUVUZELAS CAME FROM? TANZANIA KUWA MWENYEJI WA RIADHA VIJANA KANDA YA TANO AFRIKA! Timu ya taifa ya riadha ya vijana chini ya umri wa miaka 20 yafanyiwa mchujo. Mashindano ya riadha ya kanda ya tano kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 yampepangwa kufanyika kuanzia tarehe 22 hadi 25 kwenye uwanja wa Tai...
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: Vincent Nyerere ashinda Ubunge Musoma Mjini
http://umbeabongo.blogspot.com/2010/11/vincent-nyerere-ashinda-ubunge-musoma.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Monday, November 1, 2010. Vincent Nyerere ashinda Ubunge Musoma Mjini. Vincent NyerereTaarifa hii inatoka kwenye blogu ya Madaraka Nyerere akisema kuwa,. Matokeo rasmi ni haya:. Vincent Nyerere (CHADEMA) - - - - - - - - - - - - - 21,335 (56.71%). Vedasto Mathayo Manyinyi (CCM) - - - - - - - - - - 14,072 (39.38%). Subscribe to: Post Comments (Atom).
umbeabongo.blogspot.com
PATA HABARI NA UDAKU: February 2010
http://umbeabongo.blogspot.com/2010_02_01_archive.html
PATA HABARI NA UDAKU. Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia. Psquare Ft. J.Martins- E No Easy. Sunday, February 28, 2010. BERTHDEI YA MUGABE YATINGISHA DUNIA! RAIS Robert Mugabe amefanya hafla ya siku ya kuzaliwa kwake Ijumaa iliyopita kwa gharama ya dola za Marekani 500,000 (Sh milioni 670/-), ambayo ilirushwa moja kwa moja na televisheni ya Taifa akitimiza umri wa miaka 86. Tendai Biti, ambaye ni Waziri wa Fedha kutoka MDC chini ya Serik...