ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY JINSI MUNGU ALIVYOWATUMIA WATU WENGI WAME OKOKA KATIKA HUDUMA HII WIKI HII NI FURAHA KUBWA SANA.
http://ikayayo.blogspot.com/2013/07/the-parapanda-outreach-ministry-jinsi.html
MAONO YANGU (MY VISION). Jumapili, 21 Julai 2013. THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY JINSI MUNGU ALIVYOWATUMIA WATU WENGI WAME OKOKA KATIKA HUDUMA HII WIKI HII NI FURAHA KUBWA SANA. Walookoka katika mkutano wa THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY niwengi mno na nisiku nne tubado ya leo jioni hakika kazi ambayo MUNGU amewapa hawa ni njema. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom). IJOKA INFORMATION TECHNOLOGY (IIT). DR REV MWAISABILA SASA NI ASKOFU MKUU WA EAGT. YALIYO TUKIA KATIKA VIWANJA ...
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: MDA WACHAKULA WANA PARAPANDA OUTREACH MINISTRY HAWAKUWA NYUMA WALIUTUMIA VIZURI MUDA HUO..
http://ikayayo.blogspot.com/2013/07/mda-wachakula-wana-parapanda-outreach.html
MAONO YANGU (MY VISION). Jumatatu, 22 Julai 2013. MDA WACHAKULA WANA PARAPANDA OUTREACH MINISTRY HAWAKUWA NYUMA WALIUTUMIA VIZURI MUDA HUO. Mh, ,kwakweli hii ilikuwa tofauti mana ulipofika wakati huuuu wengi walionekana wana furaha sana kwani watu walikula na kunywa, hakika huduma hii niyapekee sanaa. Hapa wana kwaya wa parapanda wakila chakula, , , , , ,. Mlo wakiroho tayali sasa mlo wa kimwiliiii wana parapanda, , , , , , ,. Haa wakina dada nao hawa kuwa nyuma wakati wa mloo , , , , , , ,wana parapanda.
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: MAONO YANGU (MY VISION)
http://ikayayo.blogspot.com/p/blog-page_3834.html
MAONO YANGU (MY VISION). MAONO YANGU (MY VISION). Nikiiwa mtumishi wa Mungu, namwomba Bwana siku zote anijalie kumtumika yeye katika nyanja zote lakini zaidi ya hayo, Mungu ameweka ndani yangu maono makubwa ambayo hasa dira yangu katika huma yangu ya kiroho na maono hayo ni kama ifuatavyo,. Kuipeleka injili sehemu nasmbalimbali mjini na vijijini hasa kwa wale ambao hawajafikiwa na injili. Kuwasaidia waimbaji wa nyimbo za injili hasa wachaga ili kufikia ndoto zao kihuduma. Tuma Hii kwa Barua pepe. TAASISI...
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: July 2013
http://ikayayo.blogspot.com/2013_07_01_archive.html
MAONO YANGU (MY VISION). Jumatatu, 22 Julai 2013. MDA WACHAKULA WANA PARAPANDA OUTREACH MINISTRY HAWAKUWA NYUMA WALIUTUMIA VIZURI MUDA HUO. Mh, ,kwakweli hii ilikuwa tofauti mana ulipofika wakati huuuu wengi walionekana wana furaha sana kwani watu walikula na kunywa, hakika huduma hii niyapekee sanaa. Hapa wana kwaya wa parapanda wakila chakula, , , , , ,. Mlo wakiroho tayali sasa mlo wa kimwiliiii wana parapanda, , , , , , ,. Haa wakina dada nao hawa kuwa nyuma wakati wa mloo , , , , , , ,wana parapanda.
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: YALIYO TUKIA KATIKA VIWANJA VYA UYOLE SIKU YA LEO NA HUDUMA YA THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY
http://ikayayo.blogspot.com/2013/07/yaliyo-tukia-katika-viwanja-vya-uyole.html
MAONO YANGU (MY VISION). Jumapili, 21 Julai 2013. YALIYO TUKIA KATIKA VIWANJA VYA UYOLE SIKU YA LEO NA HUDUMA YA THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY. Mwinjilisti MWAKITABU akihubiri katika viwanja vya uyole siku ya leo wengi wame funguliwa na kuheshimishwa na Mungu wao hakika, nisiku ya pekee kwa watu wa uyole/. Mpiga drum wa parapanda kwaya akiwajibika. Maombezi siku ya leo watu wamefunguliwa kwa jina la YESU. Wengi walikuwapo kwani bwana hakika aliwagusa. Tuma Hii kwa Barua pepe. Kampuni ya PHT ni kampuni ...
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: NILIKOTOKA
http://ikayayo.blogspot.com/p/nilikotoka.html
MAONO YANGU (MY VISION). Nimezaliwa mkoani Mbeya wilaya ya mbeya mjini mtaa wa kabwe,. Mimi ni mtoto wa tatu wafamilia ya mchungaji na askofu na mama askofu A; Mwaisabila wa kanisa la EAG TANZANIA. Mama yangu Esther Mwaisabila. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Machapisho (Atom). BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AKESHA KATIKA MAADALIZI YA SHILOH TANZANIA 2016 KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B". IJOKA INFORMATION TECHNOLOGY (IIT). DR REV MWAISABILA SASA NI ASKOFU MKUU WA EAGT. Kampuni ya PH...
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: MAWASILIANO(CONTACT)
http://ikayayo.blogspot.com/p/mawasiliano.html
MAONO YANGU (MY VISION). E-MAIL ikayayoo@gmail.com,. BLOG, www.ikayayo.blogspot.com. P O BOX 3394-MBEYA TANZANIA. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Machapisho (Atom). BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AKESHA KATIKA MAADALIZI YA SHILOH TANZANIA 2016 KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B". Video ikionyesha maandalizi ya SHiloh Tanzania 2016 ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare aliweza kukesha madhabahuni kuhak. IJOKA INFORMATION TECHNOLOGY (IIT).
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: PARAPANDA KWAYA WAKIIMBA WAKATI WA IBADA YA LEO ASUBUHI
http://ikayayo.blogspot.com/2013/07/parapanda-kwaya-wakiimba-wakati-wa.html
MAONO YANGU (MY VISION). Jumapili, 21 Julai 2013. PARAPANDA KWAYA WAKIIMBA WAKATI WA IBADA YA LEO ASUBUHI. Kwaya ya parapanda jijini Mbeya wakiimba wimbo JINA LA YESU leo asubuhi katika ibada. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom). BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE AKESHA KATIKA MAADALIZI YA SHILOH TANZANIA 2016 KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B". IJOKA INFORMATION TECHNOLOGY (IIT). DR REV MWAISABILA SASA NI ASKOFU MKUU WA EAGT. ISAYA MSANGI-SHETANI IMEKULA KWAKO. PARAPAND...
ikayayo.blogspot.com
IZACK KAYAYOO MWAISABILA: IBADA YENYE NGUVU YA KIMUNGU IKIENDELEA KANISALA EAGT GILIGALI MWANJELWA MBEYA
http://ikayayo.blogspot.com/2014/02/ibada-yenye-nguvu-ya-kimungu-ikiendelea.html
MAONO YANGU (MY VISION). Jumapili, 9 Februari 2014. IBADA YENYE NGUVU YA KIMUNGU IKIENDELEA KANISALA EAGT GILIGALI MWANJELWA MBEYA. Katikati ya ibada watu wakimsifu mungu kwa mioyo yao na miili yao hakika kuna mkono wa Bwana Yesu mahali hapa. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom). UPENDO JBRIDE ASHUSHA UWEPO WA MUNGU KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B". IJOKA INFORMATION TECHNOLOGY (IIT). DR REV MWAISABILA SASA NI ASKOFU MKUU WA EAGT. ISAYA MSANGI-SHETANI IMEKULA KWAKO.