promovertz.blogspot.com
HIVI NDIVYO KANISA LA TFE KWANEEMA LILIVYOUKARIBISHA MWAKA 2017 | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2017/01/hivi-ndivyo-kanisa-la-tfe-kwaneema.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. HIVI NDIVYO KANISA LA TFE KWANEEMA LILIVYOUKARIBISHA MWAKA 2017. HIVI NDIVYO KANISA LA TFE KWANEEMA LILIVYOUKARIBISHA MWAKA 2017. January 04, 2017. Jumamosi ya tar 31/12/2016 ndo ilikuwa siku ya mkesha kwaajili ya kuupokea mwaka mpya wa 2017 ambapo katika kanisa la TFE kwaneema mkesha huo ulfana sana kwani wakazi wengi wa jiji la Mwanza walijitokeza kupokea Baraka za Mwaka mpya. Pia Skofu Mpemba Alingeza Kuwa Katika Mwaka 2017 Ni Mwaka Wa Kukaza Mwendo Haijalishi Hata Kama Kuna ...
promovertz.blogspot.com
MZUNGU MBAGUZI WA RANGI NA MUUAJI WA WATU WEUSI,AHUKUMIWA KIFO | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2017/01/mzungu-mbaguzi-wa-rangi-na-muuaji-wa.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. MZUNGU MBAGUZI WA RANGI NA MUUAJI WA WATU WEUSI,AHUKUMIWA KIFO. MZUNGU MBAGUZI WA RANGI NA MUUAJI WA WATU WEUSI,AHUKUMIWA KIFO. January 11, 2017. Mahakama nchini Marekani imemuhukumu adhabu ya kifo mzungu mwenye msimamo mkali,ambaye aliwaua waumini tisa weusi katika kanisa moja, Carolina ya Kusini. Dylann Roof alikutwa na hatia mwezi uliopita kwa zaidi ya mashtaka 30,ikiwemo uhalifu wa chuki. Share on Google Plus. Subscribe to: Post Comments ( Atom ). LIKE PAGE,CHAT NA SISI HAPA.
promovertz.blogspot.com
SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE ANNOINT ESSAU AMANI | SWEET WA UONGO | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2017/01/sikilizadownload-audio-yake-annoint.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE ANNOINT ESSAU AMANI SWEET WA UONGO. SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE ANNOINT ESSAU AMANI SWEET WA UONGO. January 12, 2017. Kwa mara nyingine tena ikiwa zimepita siku chache tu tangu kuanza mwaka mpya ambapo pia katika mwaka huu mpya mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Dar es saalamu anayeitwa Annoint Essau Amani maarufu kama mtoto wa Rose Muhando amekuja na album mpya. Ambapo leo kupitia Promover.com. Share on Google Plus. 160;Askofu John Mahene(A...
promovertz.blogspot.com
TAZAMA VIDEO YAKE BETHAEL NSUMYI | SAFARI | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2016/12/tazama-video-yake-bethael-nsumyi-safari.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. TAZAMA VIDEO YAKE BETHAEL NSUMYI SAFARI. TAZAMA VIDEO YAKE BETHAEL NSUMYI SAFARI. December 28, 2016. Huyu ni mmoja kati ya waimbaji wa nyimbo za injili wanaopatikana mkoani Dodoma akifahamika kwa jina la Bethael Nsumyi ambaye leo anatukaribisha tuweze kutazama video yake kutoka kwenye ulbum aliyoizindua hivi karibuni. Wimbo huu unaitwa Safari. Upo kwenye ulbum yake mpya ya Rafiki Mwema. Yenye jumla ya nyimbo nane ambapo audio zote amezitengeneza mwenyewe. Share on Google Plus.
promovertz.blogspot.com
WIMBO WA GOSPO WAPIGWA MARUFUKU NCHINI KENYA,NI UNAOSEMA YESU NIPE NYONYO | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2017/01/wimbo-wa-gospo-wapigwa-marufuku-nchini.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. WIMBO WA GOSPO WAPIGWA MARUFUKU NCHINI KENYA,NI UNAOSEMA YESU NIPE NYONYO. WIMBO WA GOSPO WAPIGWA MARUFUKU NCHINI KENYA,NI UNAOSEMA YESU NIPE NYONYO. January 06, 2017. Mwimbaji Wa Muziki Wa Injili Nchini Kenya Anayefamika Kwa Jina La SBJ Amepigwa Marufuku Kuimba Wimbo Wake Wa Yesu Nipe Nyonyo. Kwa Mujibu Wa Bodi Ya Filamu Nchini Kenya Imesema Wimbo Wa Yesu Nipe Nyonyo Haukutumia Lugha Fasaha. Sehemu ya wimbo huo inasema "Eh baba nipe nyonyo, eh Yesu niko tayari,". Nashangaa sana...
promovertz.blogspot.com
WASILIANA NASI
http://promovertz.blogspot.com/p/wasiliana-nasi.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. P,O Box 1301 Mwanza, (Head Quarter). Emaill: promover100@gmail.com or promover160@gmail.com. Mobile: 255 764 004 602. 255 784 074 462. 255 712 164 636. 255 658 581 011. Subscribe to: Posts ( Atom ). LIKE PAGE,CHAT NA SISI HAPA. USIKOSE MKUTANO HUU MKUBWA WA NJILI WA KUPINGA MANABII WA UONGO,NI JIJINI MWANZA. 160; Kanisa La T F E Kwaneema Wakishirikiana Na Kwaneema Fm Redio Wanakuletea Mkutano Mkubwa Wa Injili Ikiwa Ni Katika Kuendeleza Kampeini. 160;  ...NI AFRIKA KUSINI ...
promovertz.blogspot.com
WATANO WAMPOKEA YESU KWA UBATIZO UARABUNI,NI BAADA YA KUSIKIA MAHUBIRI YA KUFUNGA MWAKA | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2017/01/watano-wampokea-yesu-kwa-ubatizo.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. WATANO WAMPOKEA YESU KWA UBATIZO UARABUNI,NI BAADA YA KUSIKIA MAHUBIRI YA KUFUNGA MWAKA. WATANO WAMPOKEA YESU KWA UBATIZO UARABUNI,NI BAADA YA KUSIKIA MAHUBIRI YA KUFUNGA MWAKA. January 03, 2017. Baada ya kuupokea mwaka mpya wa 2017 yako matukio mengi yaliyotokea duniani,ila hili pia linakuwa tukio na taarifa nzuri kwa wakristo wote ulimwenguni. Historia ya kanisa hili kwa ufupi:. Share on Google Plus. Subscribe to: Post Comments ( Atom ). LIKE PAGE,CHAT NA SISI HAPA. SIKILIZA N...
promovertz.blogspot.com
HIZI NDIZO NYIMBO 10 BORA KABISA ZILIZOFANYA VIZURI MWAKA 2016 KATIKA MTANDAO HUU | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2017/01/hizi-ndizo-nyimbo-10-bora-kabisa.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. HIZI NDIZO NYIMBO 10 BORA KABISA ZILIZOFANYA VIZURI MWAKA 2016 KATIKA MTANDAO HUU. HIZI NDIZO NYIMBO 10 BORA KABISA ZILIZOFANYA VIZURI MWAKA 2016 KATIKA MTANDAO HUU. January 04, 2017. Mwaka 2016 ndo umeshaisha na sasa ni Mwaka mpya wa 2017,lakini mwaka jana wapo waimbaji waliofanya vizuri katika kazi walizoachia ambazo ziliweza kuchapishwa kwenye mtandao huu. Edward Kisusu ft.Christopher Mwahangila.Umesikilizwa mara 65 na kupakuliwa mara 403. 4: Wewe ni Mungu. Pia ifahamike kwam...
promovertz.blogspot.com
SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE PAUL NGUSSA FT. JOLLY | WE ARE ONE BODY | PROMOVER.COM
http://promovertz.blogspot.com/2017/01/sikilizadownload-audio-yake-paul-ngussa.html
SIKILIZA BIBLIA YA SAUTI. SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE PAUL NGUSSA FT. JOLLY WE ARE ONE BODY. SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO YAKE PAUL NGUSSA FT. JOLLY WE ARE ONE BODY. January 12, 2017. Kupitia burudani za Promover.com. Leo tunakuletea hii kali mpya kabisa kutoka kwa mtanzania anayeishi nchini Uganda wimbo unaitwa 'We Are One Body'. Mtanzania huyo anayetokea jijini Mwanza anafahamika kwa jina la Paul Ngussa na amekuwa Nchini uganda kwa miaka kadhaa sasa huku akifanya shughuli zake za muziki. 160; Shalom.Bi...
SOCIAL ENGAGEMENT