shaloomnice.blogspot.com
Welcome to "Shalom Nice" Blog: NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA
http://shaloomnice.blogspot.com/2015/03/nafasi-ya-mwanamke-kibiblia.html
SHALOOM NICE ANIMATION HEADER. HISTORIA ZA WANAMUZIKI WA INJILI. Monday, March 16, 2015. NAFASI YA MWANAMKE KIBIBLIA. Ni mwanadamu mwenye jinsia ya kike, ambaye pia Mungu amempa uwezo wa kubeba mimba na kuzaa, ndani yake analo tumbo la uzazi . Apataye Mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Mke sasa hili neno APATAYE. Linatosha sana kufahamisha ubora wa mke mwema kwasabu hii inamaanisha kwamba alitafuta kwasabu hakuna kupata pasipo kutafuta Yesu alisema TAFUTENI NANYI MTAONA. Harris Kapinga...
gospelnewsmedia.blogspot.com
Gospel News Media: Mwimbaji Namatayi Chipanga wa Zimbabwe achaguliwa Kushiriki Tuzo za "Women in Enterprise".
http://gospelnewsmedia.blogspot.com/2013/10/mwimbaji-namatayi-chipanga-wa-zimbabwe.html
Ratiba ya Vipindi Hhc Alive Fm. Thursday, October 31, 2013. Mwimbaji Namatayi Chipanga wa Zimbabwe achaguliwa Kushiriki Tuzo za "Women in Enterprise". Namatayi akiwa na Mumewe Charles Chipanga. Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Zimbabwe Namatayi Chipanga amechaguliwa kushiriki katika Tuzo za Heshima za “Women in Enterprise Awards" za Nchini Zimbabwe, Tuzo zitakazotolewa kesho huku Mgeni Rasmi katika Tuzo hizo akiwa ni Mwanamke Mfanyabiashara kutoka Afrika Mashariki Gloria. JUMANNE: Cheka na Mc Pilipili.
gospelnewsmedia.blogspot.com
Gospel News Media: Askofu Zygmunt Zimowski azindua mradi wa kupima na tiba kwa wagonjwa wa Ukimwi Mkoani Shinyanga.
http://gospelnewsmedia.blogspot.com/2014/03/askofu-zygmunt-zimowski-azindua-mradi.html
Ratiba ya Vipindi Hhc Alive Fm. Friday, March 7, 2014. Askofu Zygmunt Zimowski azindua mradi wa kupima na tiba kwa wagonjwa wa Ukimwi Mkoani Shinyanga. Askofu mkuu Zygmunt Zimowski, Rais wa Baraza la Kipapa la shughuli za kichungaji kwa ajili ya wafanyakazi katika sekta ya afya, hivi karibuni, alizindua mradi wa kupima na tiba kwa wagonjwa wa Ukimwi, Jimbo Katoliki Shinyanga, Tanzania. Hizi ni juhudi zilizofanywa kwa ushirikiano mkubwa kati ya Marehemu Askofu Aloysius Balina wa Jimbo Katoliki Shinyanga p...
gospelnewsmedia.blogspot.com
Gospel News Media: Kuna Kuinuka tena katika Jina la Yesu.
http://gospelnewsmedia.blogspot.com/2012/10/kuna-kuinuka-tena-katika-jina-la-yesu.html
Ratiba ya Vipindi Hhc Alive Fm. Saturday, January 12, 2013. Kuna Kuinuka tena katika Jina la Yesu. Kwa kuwa japo mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, lakini waovu huangushwa chini kwa maafa". Kwa ujumla, kuna mambo kama haya ambayo yanatukatisha tamaa ya kuendelea mbele katika mambo ya mafanikio yetu. Ni wazi kuwa, tukiendelea kuyatafakari mambo hayo tuliyoshindwa, na tukaendelea kukata tamaa, basi hiyo itachangia sana sisi kukosa morale ya kusonga mbele na kufanikiwa katika maisha yetu.
gospelnewsmedia.blogspot.com
Gospel News Media: Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Addo November akerwa na Wabunge wa Bunge la Katiba kutaka kuongezewa Posho.
http://gospelnewsmedia.blogspot.com/2014/02/rais-wa-shirikisho-la-muziki-tanzania.html
Ratiba ya Vipindi Hhc Alive Fm. Friday, February 21, 2014. Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Addo November akerwa na Wabunge wa Bunge la Katiba kutaka kuongezewa Posho. Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Addo November Mwasongwe, ameonyesha kuchukizwa na baadhi wa Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba kutaka kuongezewa Posho na kwamba Posho ya sasa Tshs. 300,000 haiwatoshi. Soma Status aliyoiandika Addo November kupitia Ukurasa wake wa Facebook. Ni Mc...
shaloomnice.blogspot.com
Welcome to "Shalom Nice" Blog: July 2013
http://shaloomnice.blogspot.com/2013_07_01_archive.html
SHALOOM NICE ANIMATION HEADER. HISTORIA ZA WANAMUZIKI WA INJILI. Sunday, July 7, 2013. PASTOR DR TAYO ADEYEMI AFARIKI DUNIA. Mwanzilishi wa huduma ya NEW WINE CHURCH Pastor Dr Tayo Adeyemi amefariki dunia jumapili iliyopita katika hospital moja binafsi huko England alikokuwa amelazwa na amefariki akiwa na umri wa miaka 49. TO GOD BE THE GLORY. Subscribe to: Posts (Atom). SIKILIZA WAPO RADIO/LISTEN WAPO RADIO LIVE. NENO LA SIKU/VERSE OF THE DAY. TOTAL NUMBER OF OUR VISITORS TODAY. Kama ulikuwa hujui kuwa ...
shaloomnice.blogspot.com
Welcome to "Shalom Nice" Blog: REBECCA MALOPE KUPAMBA TAMASHA LA PASAKA
http://shaloomnice.blogspot.com/2014/03/rebecca-malope-kupamba-tamasha-la-pasaka.html
SHALOOM NICE ANIMATION HEADER. HISTORIA ZA WANAMUZIKI WA INJILI. Friday, March 14, 2014. REBECCA MALOPE KUPAMBA TAMASHA LA PASAKA. Mwimbaji maarufu au malikia wa muziki wa injili nchini Africa ya Kusini Rebecca Malope kwa mara nyingine tena atalipamba tamasha la pasaka kwa mwaka huu. Tamasha hili pia litapambwa na waimbaji wengine kama Ephraim Sekeleti kutoka Zambia, Upendo Kilahiro, Upendo Nkone, Rose Muhando na wengine wengi. Labels: tamasha la pasaka. Subscribe to: Post Comments (Atom). Kama ulikuwa h...
shaloomnice.blogspot.com
Welcome to "Shalom Nice" Blog: June 2013
http://shaloomnice.blogspot.com/2013_06_01_archive.html
SHALOOM NICE ANIMATION HEADER. HISTORIA ZA WANAMUZIKI WA INJILI. Monday, June 17, 2013. Lile tamasha kubwa la kuchangia kituo cha watoto yatima cha HOCET ni jumapili hii pale katika kanisa la MAISHA YA USHINDI lililoko maeneo ya Ubungo External kuanzia saa nane mchana na kuendelea. Kwa mawasiliano unaweza kupiga simu zifuatazo 0716146990/ 0719008003/0767171680/0784396560. Saturday, June 8, 2013. JE WAJUA DINI ILIYO SAFI NI IPI? Hivyo basi kama hujafanya hivyo ni wakati wako sasa kujumuika na watoto yatim...
shaloomnice.blogspot.com
Welcome to "Shalom Nice" Blog: September 2013
http://shaloomnice.blogspot.com/2013_09_01_archive.html
SHALOOM NICE ANIMATION HEADER. HISTORIA ZA WANAMUZIKI WA INJILI. Monday, September 2, 2013. ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA NEEMA GASPA UBUNGO PLAZA. Angalia jinsi uzinduzi wa mwanadada Neema Gaspar ulivyokuwa Jumapili ya tr 1/9 Ubungo plaza . Subscribe to: Posts (Atom). SIKILIZA WAPO RADIO/LISTEN WAPO RADIO LIVE. NENO LA SIKU/VERSE OF THE DAY. TOTAL NUMBER OF OUR VISITORS TODAY. ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA NEEMA GASPA UBUNGO P. HARRIS KAPIGA AFUNGUKA LEO ASEMA NI KWELI. Mkombozi wako amekufikia sasa na ...
urejeshoradio.blogspot.com
MTUME PETER NYAGA WA UREJESHO: May 2013
http://urejeshoradio.blogspot.com/2013_05_01_archive.html
Alhamisi, 30 Mei 2013. KARIBUNI KATIKA KONGAMANO LA AKINA MAMA NA MABINTI RGC CHANG'OMBE TABATA DSM. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jumamosi, 25 Mei 2013. YALIYOTOKEA KATIKA MESHA WA KUOMBEA AMANI TANZANIA. Tangazo hili limetengezwa na Rumafrica. Mtume Peter Nyaga akielekea madhabahuni. Mtume Nyaga akisoma Neno la Mungu. Wa pili kutoka kushoto ni mke wa Mtume Peter Nyaga. Tuma Hii kwa Barua pepe. Jisajili kwenye: Machapisho (Atom). BLOGU ZA KIKRISTO [CHRISTIAN BLOGS]. 8220;Aliyeko Juu Mngoje Chini! Siku ya Jum...