carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: May 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
Wednesday, May 20, 2015. Rais Kikwete afungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015. Sehemu ya wajumbe wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mik...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: November 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_11_01_archive.html
Friday, November 15, 2013. MBUNGE KAPUYA YAMKUTA YA UBAKAJI NA KUTISHIA KUUA. Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM). MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea kumkabili. Baadaye saa 1:07 asubuhi, alituma ujumbe mwingine kutoka simu hiyo hiyo kwenda kwa mto...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: April 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Sunday, April 19, 2015. WATANZANIA tusimame kupinga mauaji ya albino - Lowassa. WATANZANIA wametakiwa kulaani na kukemea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino kwa kuwa matukio hayo yanaitia aibu nchi ya Tanzania na kupoteza sifa yake, kuwa nchi yenye amani. Aidha Chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (TAS) kimetakiwa kushawishi majina ya watu 16 waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya watu wenye ualbino kumfikia mapema Rais Jakaya Kikwete ili kutoa hakumu. Links to this post. Kadhalika, ...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: August 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_08_01_archive.html
Friday, August 23, 2013. ANGELLAH KAIRUKI ALIPOTOA BAISKELI KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA VIUNGO. Angella Kairuki akiwa na watoto wake Kemy pamoja na Esta muda mfupi baada ya kukabidhi baiskeli hizo. Mama kairuki akiongea na mtoto Halima ambaye naye pia alipata baiskeli hiyo. Wazazi wakiwa na watoto wao baada ya kukabidhiwa baiskeli zao. Mtoto mmojawapo wa Mama Kairuki akimuendesha mtoto mmoja wapo aliyekabidhiwa baikeli. Mama Kairuki akiwa na familia yake pamoja na mtoto Halima. Links to this post. Nimeku...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: May 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_05_01_archive.html
Monday, May 20, 2013. NAY WA MITEGO NA DIAMOND PLATINUMZ WAFUNIKA KWENYE UZINDUZI WA VIDEO ' MUZIKI GANI' DAR LIVE! Nay wa Miego akiburudisha umati wa watu waliojitokeza kwa wingi Darlive! DAR Live usiku wa kuamkia leo ilitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia onyesho la pamoja kati ya wanamuziki wawili nyota wa kizazi kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na Ney wa Mitego ambao walikuwa wakizindua video ya wimbo wao wa 'Muziki Gani'. Diamond Platnumz akiwapa hi mashabiki. KATIKA si...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: June 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_06_01_archive.html
Monday, June 24, 2013. BAADA YA MAWE YA DODOMA HIKI NDICHO KILICHOANDIKWA NA MTU ANAYEDAIWA KUWA NI OMMY DIMPOZ. Links to this post. Friday, June 21, 2013. MWANAFUNZI APIGWA RISASI TUMBONI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM USIKU WA KUAMKIA LEO. Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa wanafunzi wanne wa chuo kikuu cha Dar es salaam wamevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo maeneo ya Yombo chuoni hapo. Links to this post. Miaka 13 ya kikosi cha mizinga leo.usikoseee. MWENYEKITI wa Chama cha CUF, Prof Ibrahim Li...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: August 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_08_01_archive.html
Monday, August 10, 2015. Lowassa: CCM hodari wa kuiba kura. Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na mgombea urais wa muungano wa Ukawa, Edward Lowassa wakiwapungia mkono wananchi waliofurika makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame. Ataka aeleze jinsi wizi unavyofanyika. Mwingine CCM, Mwenyekiti Arusha atimka. By Nuzulack Dausen na Suzan Mwillo, Mwananchi. 8220;Tukiwa na umoja, tukiwa na mshikamano tutawaondoa Jumapili asubuhi sana. Tutahitaji mshikamano,...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015/06/mafuriko-ya-lowassa-yahamia-jijini-dar.html
Sunday, June 28, 2015. MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150. Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) akizungumza jambo, wakati Mh. Lowassa alipofika ofisi ya CCM Mkoa huo, Mtaa wa Lumumba, leo Juni 27, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lo...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: June 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_06_01_archive.html
Sunday, June 28, 2015. FAIZA: NAJUTA KUVAA NGUO INAYOONESHA MAKALIO YANGU. Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta! 8220;Siwezi kurudia kosa, nitakuwa. 8220;Namshukuru Mungu nimeweza kuhimili hali hii kwa kiasi fulani, maana naamini mtu mwingine angeweza hata ku...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: March 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_03_01_archive.html
Thursday, March 28, 2013. TAMASHA LA WAANDISHI WA HABARI LAHAMIA TCC CLUB. Amesema Azam ni timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye michuano ya Afrika kwa ngazi ya klabu baada ya Simba na Jamhuri ya Pemba kutolewa katika raundi ya awali. 8220;Tunaamini kwa bonanza kufanyika Sigara itakuwa rahisi kwa wadau wetu kushiriki kwenye bonanza na wale wengine watakaohitaji kwenda uwanjani wafanye hivyo wakitokea Sigara kwa hakuna umbali mrefu na kisha warejee kujumuika na wenzao mpaka mwisho,”. Links to this post.