bukobawadaumedia.com
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA KATIKA KANISA KUU JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA MKOANI KAGERA | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA KATIKA KANISA KUU JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA MKOANI KAGERA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibusu mkono wa Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya Ibada. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma mara ba...
bukobawadaumedia.com
YALE YA MARUKU BEACH PARTY DEC 26,2016 | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2016/12/yale-ya-maruku-beach-party-dec-262016.html
YALE YA MARUKU BEACH PARTY DEC 26,2016. Matukio ya picha ya Bonge la Beach Party iliyowakutanisha wakazi wa Mji waBukoba na maeneo ya jirani iliyofanyika Kabuhara Maruku Bukoba Siku ya Boxing Day Dec 25,2016. Msanii Lady Mariam wa Uganda aliyetamba na kibao cha Tindatine akishambulia jukwaa. M wanamziki Lady Mariam wa Uganda mwenye nyota ya aina yake akifanya yake jukwaani, ni Kabuara Beach Party Maruku Bukoba Dec 26,2016. Baadhi ya wadau waliohudhuria Usiku wa Shangwe hizo #MarukuBeachParty. Sura zenye ...
bukobawadaumedia.com
BUKOBA | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/p/blog-page.html
July 24, 2014 at 6:02 PM. Iyo ni mtwishe isio ndizi harisi ya bukoba. April 2, 2015 at 10:32 PM. April 20, 2016 at 8:01 AM. Subscribe to: Posts (Atom). Contact us: Email:bukobawadau@gmail.com Phone :Mc baraka:O784 505045,0754 505043,0715 505043 Sir.loom inc:0713 397241. View my complete profile. Bukobawadau Blog. Powered by Blogger. SIMULIZI ;UNFORTUNATE LOVE SEHEMU YA 1. HII NDIYO NYUMBA YA KISASA ILIYOPO KIJIJINI BUGANGUZI YENYE SIFA NA VIGEZO STAHILI. AJALI YAUA WATU WANNE MJINI BUKOBA. MAMA WA MAREHE...
bukobawadaumedia.com
WATANZANIA WATANO WACHAGULIWA KUWA MABALOZI WA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI DUNIANI | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/watanzania-watano-wachaguliwa-kuwa.html
WATANZANIA WATANO WACHAGULIWA KUWA MABALOZI WA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI DUNIANI. 8220;BINGWA WA MABADILIKO” au “CHAMPION FOR CHANGE” ni kauli mbio iliyoanzishwa kwenye shindano lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia maswala ya wanawake (UN-WOMEN) lenye lengo wa kuwapata vijana watakaoweza kushirikiana na serikali za nchi zao kuwainua wanawake kiuchumi. Https:/ www.empowerwomen.org/en/join-the-movement. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. SIMULIZI ;UNFO...
bukobawadaumedia.com
SHEREHE YA JUBILEI YA KUMPONGEZA MZEE BARUTI KWA KUTIMIZA MIAKA 80 YA KUZALIWA | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2016/12/sherehe-ya-jubilei-ya-kumpongeza-mzee.html
SHEREHE YA JUBILEI YA KUMPONGEZA MZEE BARUTI KWA KUTIMIZA MIAKA 80 YA KUZALIWA. Familia ya Mzee Wilson Baruti waungana katika Sherehe ya Kumpongeza mzazi wao kwa kutimiza Miaka 80 ya kuzaliwa kwake na Kuadhimisha Jubilei ya miaka 49 ya ndoa yake na Mama yao mpendwa,Mama Astedia Baruti,sherehe iliyofanyika Nyumbani kwao kijijini Burugo Dec 24,2016. Bwana Ruga Baruti katika picha ya pamoja na Wazazi wake Mzee Wilson Baruti na Mke wake Mastidia Baruti ambao wametiza Miaka 49 ya Jubilei ya dhahabu ya ndoa yao.
bukobawadaumedia.com
WADAU MJINI BUKOBA WALIVYO UPOKEA MWAKA 2017 KIVINGINE KABISA...@ ''THE UMURA ROCKS'' | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/wadau-mjini-bukoba-walivyo-upokea-mwaka.html
WADAU MJINI BUKOBA WALIVYO UPOKEA MWAKA 2017 KIVINGINE KABISA.@ ' THE UMURA ROCKS'. Baadhi ya wakazi wa Mji wa Bukoba wakishangilia kwa furaha kuupokea mwaka mpya 2017 saa 6:1 za usiku wa Mkesha watu waliojitokeza. Katika Kiota cha 'Umura Rocks ' sehemu tulivu kabisa iliyopo kilimani kando kando ya Ziwa Victoria ,Watu hao. Walionekana kifamilia zaidi na kwa utaratibu uliopendeza na kuufanya Usiku huo kuwa wa aina yake. Mr& Mrs Badru Kichwabuta pichani. Omwana Adde 'Mrs Chichi' wakati akiongoza Sala ya Ch...
bukobawadaumedia.com
KUCHANGIA UJENZI WA MSIKITI WA JAMIA BUKOBA ULIOATHIRIWA NA TETEMEKO LA ARTHI | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/kuchangia-ujenzi-wa-msikiti-wa-jamia.html
KUCHANGIA UJENZI WA MSIKITI WA JAMIA BUKOBA ULIOATHIRIWA NA TETEMEKO LA ARTHI. Uongozi wa Msikiti wa Jamia Bukoba unatumia fursa hii kukuomba wewe Msomaji na Muumini kuchangia Mradi wa Msikiti Jamia,ambao ni Msikiti Mkuu wa Manispaa ya Bukoba uliobomolewa baada ya kuathiriwa Vibaya na tetemeko la Ardhi lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10,2016. Hivyo basi kama muumini uliyeguswa na suala hili unaombwa kuchangia katika manunuzi ya Vifaa vya Ujenzi au. Waumini wakiendelea kusaidia shughuli mbalimbali zina...
bukobawadaumedia.com
KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA FAMILIA YA ALFRED RWIHULA WA ILAMBIKA BUGANGUZI | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/katika-misa-ya-kumbukumbu-ya-familia-ya.html
KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA FAMILIA YA ALFRED RWIHULA WA ILAMBIKA BUGANGUZI. Kamishna Mstaafu Alfred Tibaigana (kushoto)ambaye ndiye mlezi wa Familia ya Marehemu Alfred Rwihula akiteta jambo na Bi Graye Rwihula Mtoto Mkubwa wa kuzaliwa katika familia ya Marehemu Alfred Rwihula wa Buganguzi Ilambika Wilayani Muleba. Fr Modest Mutasingwa wa Parokia ya Rukindo Buganguzi akinyunyuzia maji ya baraka katika Makaburi. Muonekano wa Kaburi la Mama Mzazi na ndugu wa familia waliokwisha tangulia Mbele yake. Eng Da...
bukobawadaumedia.com
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWIGUMBI-MASWA (50.3) MKOANI SIMIYU | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/rais-dkt-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi_12.html
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWIGUMBI-MASWA (50.3) MKOANI SIMIYU. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka watatu kutoka kulia Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa wakwanza kulia pamoja na viongozi wengine. Mhandisi Cristianus Ako kabla ya kuweka jiwe la msingi.
SOCIAL ENGAGEMENT