dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: HOT NEWSS::HAYA NDIO MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KWA CCM KWENYE MAJIMBO 28
                                        http://dj-sek.blogspot.com/2015/08/hot-newsshaya-ndio-majina-ya.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. Sunday, August 2, 2015. HOT NEWSS: HAYA NDIO MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KWA CCM KWENYE MAJIMBO 28. KURA ZA MAONI CCM. 1 Mwigulu - Iramba. 2 Nape - Mtama. 3 Mwakasaka - Tabora Mjini. 4 Mama Sitta - Urambo. 5 Kadutu - Ulyankulu. 6 Bashe - Nzega. 7 Ngeleja - Sengerema. 8 Seif - Igunga ktk jimbo jipya. 9 Masaburi - Ubungo. 10 Patel - Ukonga. 11 Prof Kamala - Nkenge, Misenyi. 13 Lukuvi - Isimani. 14 January - Bumbuli. 15 Muhongo - Musoma vijijini. 
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: TAZAMA PICHA 15 SHEREHE YA WASANII WALIPOMUAGA RAIS KIKWETE JANA MLIMANI CITY
                                        http://dj-sek.blogspot.com/2015/08/tazama-picha-15-sherehe-ya-wasanii.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. Friday, August 7, 2015. TAZAMA PICHA 15 SHEREHE YA WASANII WALIPOMUAGA RAIS KIKWETE JANA MLIMANI CITY. Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto, Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli na Mwigizaji Jacob Steven JB wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond. Mwanamuziki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akiwasili na Meneja wake wa Shughuli za kimataifa Bw.Salam. Rais D...
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: Sports news
                                        http://dj-sek.blogspot.com/p/sports-news.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. NSA JOB AITOSA VILLA - AENDA SWEDEN KUJARIBU ZALI. MSHAMBULIAJI wa Villa Squad, Nsa Job, amepata ulaji wa kwenda kufanya majaribio Sweden kutokana na kiwango chake kuwa juu kwa sasa. Mwenyekiti wa Villa, Uledi Ramadhani, alisema Nsa alimwambia kuwa anatarajia kuondoka nchini mara baada ya ligi kumalizika kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa. Nsa aliyejiunga na Villa Julai, mwaka jana akitokea Yanga, amefanikiwa kuonyesha uwezo mkubwa katika...
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: WANAMUZIKI 5 MATAJIRI TANZANIA .WATOKANAO na MUZIKI wa BONGO FLEVA
                                        http://dj-sek.blogspot.com/2012/10/wanamuziki-5-matajiri-tanzania.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. Tuesday, October 16, 2012. WANAMUZIKI 5 MATAJIRI TANZANIA .WATOKANAO na MUZIKI wa BONGO FLEVA. 1 LADY JAY DEE. NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI NA KUWEZA KUWA MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE.KWANI UCHAPA KAZI WAKE NDO SABABU YA MAFANIKIO YAKE KIMAISHA. MALI ANAZOMILIKI NI PAMOJA NA -GARI AINA YA MURANO THAMANI YA. NYUMBANI LONGE KWA NDANI. NYUMBANI LONGE KWA NDANI. 
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: Advertisement
                                        http://dj-sek.blogspot.com/p/advertisement.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. SAMSUNG WAZINDUA SIMU MPYA (SAMSUNG GALAXY S3). Samsung has unveiled its latest flagship smartphone - the Galaxy S3. The handset has a 4.8 inch (12.2cm) screen, an increase on the 4.3 inch screen of its predecessor. The device is perceived to be critical to how people view both Samsung's brand and the Android system it runs. Subscribe to: Posts (Atom). FOLLOW US ON INSTAGRAM. Please Share this Blog. 160;Mwanamke anapokuwa mjamzito huwa na wasi wasi na kus...
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: HUYU NDIO MTOTO MKUBWA WA LOWASSA, MTAZAME AKIWA NA GWANDA ZA CHADEMA
                                        http://dj-sek.blogspot.com/2015/08/huyu-ndio-mtoto-mkubwa-wa-lowassa.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. Wednesday, August 5, 2015. HUYU NDIO MTOTO MKUBWA WA LOWASSA, MTAZAME AKIWA NA GWANDA ZA CHADEMA. Walio wengi hatujawahi kumuona mtoto wa Mh. Edward Lowassa, au kama tulishawahi kumuona hatujawahi kumuona akiwa amevaa gwanda . Nimekuwekea hapa picha yake akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi sugu. Posted by dj sek. Subscribe to: Post Comments (Atom). FOLLOW US ON INSTAGRAM. Please Share this Blog. ANGALIA PICHA ZA NDEGE ZENYE MAUMBO YA AJABU DUNIANI. 160; RENEWABL...
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: JICHO LA CAMERA YANGU
                                        http://dj-sek.blogspot.com/p/jicho-la-camera-yangu.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. JICHO LA CAMERA YANGU. Subscribe to: Posts (Atom). FOLLOW US ON INSTAGRAM. Please Share this Blog. WANAMUZIKI 5 MATAJIRI TANZANIA .WATOKANAO na MUZIKI wa BONGO FLEVA. 1 LADY JAY DEE NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI . UTAFITI: ZITAMBUE NJIA RAHISI ZA KUTAMBUA JINSIA YA MTOTO ALIYEKO TUMBONI MWA MAMA MJAMZITO. ANGALIA PICHA ZA NDEGE ZENYE MAUMBO YA AJABU DUNIANI. Serikali imeuomba uongozi...
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10
                                        http://dj-sek.blogspot.com/2015/08/rais-kikwete-aaga-rasmi-idara-ya.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. Friday, August 7, 2015. RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO KWA MAKUBWA ALIYOFANYA KATIKA MIAKA 10. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu kutokana na mambo makubwa liyoifanyia idara hiyo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman katika ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es salaam lAgosti 6, 2015 katika sherehe fupi iliyoandaliwa na Mahakama na wadau wa Sheria kumuaga rasmi Mhe Kikwete kama Rais wa nchi. 1 LADY ...
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: Familia moja huko Lindi mjini imewapoteza ndugu 7 waliofariki ndani ya siku 3 kwa matukio tofauti.
                                        http://dj-sek.blogspot.com/2015/08/familia-moja-huko-lindi-mjini.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. Friday, August 7, 2015. Familia moja huko Lindi mjini imewapoteza ndugu 7 waliofariki ndani ya siku 3 kwa matukio tofauti. Familia ya Jacky Magongo ambayo ni maarufu sana hapa Lindi mjini ilitikiswa na majaribu mazito ya misiba ya ndugu 7 wa familia hiyo ndani ya siku 3 tu. Mnamo tarehe 2/8/2015 bwana Shiraz ambaye ni Mtoto mkubwa wa mzee Jack anayeishi Nachingwea alikuwa Lindi mjni na gari yake binafsi ili kumpokea binti mkubwa wa dada ake aliyetokea Dar . 
                                     
                                    
                                        
                                            
                                            dj-sek.blogspot.com
                                        
                                        dj sek: Contanct and where we are
                                        http://dj-sek.blogspot.com/p/contanct-and-where-we-are.html
                                        Contanct and where we are. JICHO LA CAMERA YANGU. Contanct and where we are. June 19, 2013 at 2:07 PM. Mimi naitwa Dhabihueli Richard nimemaliza kidato cha sita shule ya sekondary ya Umbwe na nilichukua masomo ya sanyansi nimepata divisheni III ya 15 sijachaguliwa kwenda jeshini. Naomba kama inawezekana niingizwe muhula huu unaoanza tarehe 24.06.2013. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Tumia barua pepe ya shangazi yangu: rubelinameena@gmail.com. June 9, 2014 at 7:28 AM. April 7, 2014 at 11:26 AM. MATOK...