prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: SUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI
http://prhabari.blogspot.com/2015/05/super-d-boxing-club-yateuwa-mabondia.html
Tuesday, May 19, 2015. SUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI. Kocha Mohamed Chipota kulia akimfundisha bondia Ramadhani Maonya jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika mei 23 katika ukumbi wa Panandipanandi Ilala bungoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS. Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tpbc kwa kushirikiana na Kinyogoli foundation i...
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: BONDIA LULU KAYAGE AIBUKA KIDEDEA AFRIKA YA KUSINI
http://prhabari.blogspot.com/2015/08/bondia-lulu-kayage-aibuka-kidedea.html
Monday, August 10, 2015. BONDIA LULU KAYAGE AIBUKA KIDEDEA AFRIKA YA KUSINI. BONDIA wa Kike Lulu Kayage mwishoni mwa wiki iliyopita alibuka kidedea nchini Afrika ya kusini baada ya kumdunda. Vibada Lizbeth Sivhaga wa nchini humu. Huu ni mpambano wake wa kwanza Lulu kucheza nje ya nchi na kufanikiwa kushinda kwa T.K.O ya raundi ya pili mchezo uho ulioanza kwa kasi ya mashambulizi ya uku na kule kila mmoja kutaka kumpiga mwenzie raundi za awali. Lizbeth Sivhaga wa Afrika ya Kusini mwishoni mwa wiki iliyopi...
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: KUTANA NA KIBIBI JAPHARY NA DAWA YA ZAO LA UBUYU INAYOTIBU MAGONJWA SUGU
http://prhabari.blogspot.com/2011/09/kutana-na-kibibi-japhary-na-dawa-ya-zao.html
Wednesday, September 28, 2011. KUTANA NA KIBIBI JAPHARY NA DAWA YA ZAO LA UBUYU INAYOTIBU MAGONJWA SUGU. Managing Director of K'best General supply, Kibibi Japhary. They Specialized in Baobab tree. wameonesha maajabu ya uguyu yanavyoweza kutibu magonjwa mengi kwa wakati mmoja. Kibibi Japhary anabainisha product mbili tu zinazotengenezwa na K'best General suply ambazo ni Baobab Oil na Baobab Powder(unga na mafuta ya ubuyu) zaidi ya magonjwa 20 huponywa na products hizotu. Zao hili la ubuyu limekuwa Tiba k...
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: MITINDO YA MAGAUNI HEBU CHEKI HII INAVUTIA!!
http://prhabari.blogspot.com/2010/04/mitindo-ya-magauni-hebu-cheki-hii.html
Tuesday, April 20, 2010. MITINDO YA MAGAUNI HEBU CHEKI HII INAVUTIA! ZAIDI TEMBELEA NURU the light BLOG. Subscribe to: Post Comments (Atom). Pr promotion ni taasisi/kampuni ya wajasiliamali inayoongozwa na(Photojournalist)Spear Patrik na waandishi wa habari waandamizi hapa nchini. View my complete profile. Kwa ubora wa hali ya juu, gharama nafuu. kwa huduma wasiliana na 0713/0787- 881852. MAZNAT VOCATION TRAINING CENTRE. KWA MAFUNZO YA MA-SALOON;. Konyagi inakimbiza mwanzo mwisho. Savanna dry and light.
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: NJAMA ZA MAKABURU KUMG'OA MKURUGENZI WA KONYAGI MGWASSA ZAGUNDULIKA
http://prhabari.blogspot.com/2015/07/njama-za-makaburu-kumgoa-mkurugenzi-wa.html
Thursday, July 23, 2015. NJAMA ZA MAKABURU KUMG'OA MKURUGENZI WA KONYAGI MGWASSA ZAGUNDULIKA. Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), maarufu kwa jina la Konyagi . David Mgwassa Kombe la ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) Jijini Dar es Salaam.Mwandishi Wetu. Kutokana na taarifa hizo baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha TDL wameazimia kugoma ili kushinikiza mkurugenzi huyo k...
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: LULU KAYAGE KUZIPIGA AFRIKA KUSINI
http://prhabari.blogspot.com/2015/08/lulu-kayage-kuzipiga-afrika-kusini.html
Wednesday, August 5, 2015. LULU KAYAGE KUZIPIGA AFRIKA KUSINI. Bondia Lulu Kayage (kushoto) akimrushia konde bondia Hamisi Berege wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwene Uwanja wa Msimbazi Rovers Ilala jijini. MABONDIA wawili wa ngumi za kulipwa wanatarajia kuondoka nchini kesho kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mapambano yatakayofanyika Agosti 9, mwaka huu. Akizungumza jijini kocha wa ngumi za kulipwa, Rajabu Mhamila 'Super D' aliwataja mabondia hao kuwa ni Lulu Kayage na Ramadhan Shauri. Kwa ubora...
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: JACKLINE WOLPER .Mambo ya beach(Pwani,Ufukweni)
http://prhabari.blogspot.com/2013/03/jackline-wolper-mambo-ya.html
Tuesday, March 12, 2013. JACKLINE WOLPER .Mambo ya beach(Pwani,Ufukweni). Ks to this post. Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha. Chafu inayoonesha sehemu kubwa ya nyeti zake. Kunaswa kwa picha hiyo, kumevunja heshima ya staa huyo aliyekuwa pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya mastaa wa kike wanaotamba katika tasnia ya filamu hapa Bongo. Wolper aliapa kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake yote.
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: SELCOM YAONGEZA MAPATO YA TAZARA COMPUTER TRAIN KASI
http://prhabari.blogspot.com/2015/07/selcom-yaongeza-mapato-ya-tazara.html
Wednesday, July 29, 2015. SELCOM YAONGEZA MAPATO YA TAZARA COMPUTER TRAIN KASI. KAMPUNI ya Selcom Tanzania imesema kwa kushirikiana na Tazara imefanikiwa kuongeza mapato ya fedha kwa mfumo wa ukatisha tiketi ulioanza kutumiwa na shirika la reli la Tazara. Alisema kuwa, kutokana na mpango huo, TAZARA imefanikiwa kuongeza mapato kwa abiria kukatiwa tiketi kwa mfumo wa mashibe hizo. Kadi hizo zinaweza kuwa njia sahihi kwenye njia za usafiri kama treni, mabasi ya mikoani na hata daladala. Pr promotion ni taa...
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: NHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA
http://prhabari.blogspot.com/2015/07/nhif-yaipiga-tafu-timberland-jogging-ya.html
Tuesday, July 14, 2015. NHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA. NHIF YAIPIGA TAFU TIMBERLAND JOGGING YA YOMBO KILAKALA. Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja akiwazungumza na maofisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu. Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya. Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. PR PROMOTION ni wataalamu wa kupiga pic...
prhabari.blogspot.com
Karibu PR Promotion Blog: SUPER D AHAMASISHA UWANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA
http://prhabari.blogspot.com/2015/07/super-d-ahamasisha-uwandikishaji-wa.html
Wednesday, July 29, 2015. SUPER D AHAMASISHA UWANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA. Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiweka alama za vidole wakati wa uhandikishwaji wa vitambulisho vya kupigia kura iliyokuwa ikifanyika katika kitongoji cha Buguru Dar es alaam kulia ni muhandikishaji wa kituo hicho Karim Ibrahimu. Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiweka akionesha kitambulisho chake. Rajabu Mhamila akiwa ametulia.
SOCIAL ENGAGEMENT