jamcobk.blogspot.com
JAMCO BLOG BUKOBA: 2015-08-02
http://jamcobk.blogspot.com/2015_08_02_archive.html
Saturday, 8 August 2015. ILIKUWA NI SHANGWE BW HUSEIN THALHA NA BI HAMIDA,BW SHARIFU KACHWAMBA NA BI FATMA TWALHA KUFUNGA NDOA. Kushoto ni Bw Husein Twalha na mkewe Hamida Munisi wakiwa na katika picha ya pamoja na maharusi wenzao Bw Sharif Kachwamba na Bi Fatma Twalha. Kulia ni Shekhe wa Mkoa wa Kagera Haruna kichwabuta. Mc Saad Katoma akiwajibika. Bw Husein Twalha akiwa na mkewe. Bw Harusi nae akaonyesha ujuzi wake katika kupiga lika. Kushoto shekhe Mustaph akisalimiana na shekhe Kichwabuta. The family...
fredalfred.blogspot.com
MAARIFA BLOG: March 2015
http://fredalfred.blogspot.com/2015_03_01_archive.html
THE SPRING OF KNOWLEDGE". It is Possible to Give Without Loving But It Is Impossible To Love Without Giving". NA KWELI ULINIPA HAZINA AMBAYO SITAISAHAU. MPENDWA MDAU WA MAARIFA BLOG UBARIKIWE SANA! UNAKARIBISHWA KATIKA BLOG HII ILI UCHANGIE KATIKA KUTOA MAARIFA, TAARIFA, HABARI NA BURUDANI! Online mba programs guide. You Are Invited Follow this Blog. No posts. Show all posts. No posts. Show all posts. Subscribe to: Posts (Atom). About me at a glance. Morogoro, Tanzania farwechungura@gmail.com. Kocha Mkuu...
jamcobk.blogspot.com
JAMCO BLOG BUKOBA: 2015-06-28
http://jamcobk.blogspot.com/2015_06_28_archive.html
Saturday, 4 July 2015. NMB BUKOBA YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA(NMB BUSINESS CLUB)VIONGOZI WAANDAMIZI WA NMB WATOA SOMO. Wakifurahia mafanikio na NMB. Unaweza kuangalia salio katika account yako kwa kutumia simu yako ya mkononi, kama wanavyofanya hawa. Sura za furaha na muonekano wa bashasha na NMB. Kulia ni Meneja wa tawi la NMB Bukoba Victorine Kimario akiwa na afisa wa huduma kwa wateja NMB Bukoba Bw Sadick Mkakile wakiteta jambo kabla ya mkutano kuanza. Bw Mugisha akitoa maoni yake. Kushoto ni Bi Shida...
jamcobk.blogspot.com
JAMCO BLOG BUKOBA: BERNADETA MUSHASHU AIBUKA KIDEDEA KURA ZA UWT CCM MKOA WA KAGERA,ELIZABETH BATENGA AAGA RASMI BAADA YA KURA KUTOTOSHA.
http://jamcobk.blogspot.com/2015/07/bernadeta-mushashu-aibuka-kidedea-kura.html
Sunday, 26 July 2015. BERNADETA MUSHASHU AIBUKA KIDEDEA KURA ZA UWT CCM MKOA WA KAGERA,ELIZABETH BATENGA AAGA RASMI BAADA YA KURA KUTOTOSHA. Muonekano wa wajumbe ukumbi wa jengo la ccm Mkoa wa Kagera ambalo halijamalizwa kujengwa kwa muda mrefu sasa. Kulia Bi Janath Musa. Mwenyekiti wa ccm Mkoa Kagera Mama Buhiye akifungua Mkutano. Katibu wa ccm Mkoa Bw Amie akitoa maelekezo. Mkuu wa Mkoa Kagera akiingia ukumbini. Mkuu wa Mkoa Kagera John Mongella,ambae alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi . Waziri Mkuu wa...
hartmanpro.blogspot.com
Hartmann Online: June 2010
http://hartmanpro.blogspot.com/2010_06_01_archive.html
Skip to main (ir a principal). Skip to sidebar (ir al sidebar). Wakongo wa Uingereza wasaidia watoto! Jamii ya watu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaoishi nchini Uingereza wamezindua kampeni maalum mjini London, iitwayo Congo Unite. Lengo ni kuchangisha fedha ili kuwasaidia watu wenye maradhi ya selimundu (sickle cell) na watoto walioachwa yatima kutokana na maafa ya vita nchini Congo. Video hizo zitauzwa duniani kote kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mpango huo. Naye mratibu wa kampeni ...
jamcobk.blogspot.com
JAMCO BLOG BUKOBA: KIKWETE AWAAGA RASMI WANANCHI WA MTWARA
http://jamcobk.blogspot.com/2015/08/kikwete-awaaga-rasmi-wananchi-wa-mtwara.html
Sunday, 9 August 2015. KIKWETE AWAAGA RASMI WANANCHI WA MTWARA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutbia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda ambapo aliwaaga wakazi hao huku akiwaambia kuwa Mtwara ndio utakuwa mji wenye uwezo wa kiuchumi Tanzania. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa Mtwara kama ishara ya kuwaaga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona. Kikundi cha ngoma ki...
jamcobk.blogspot.com
JAMCO BLOG BUKOBA: 2015-08-09
http://jamcobk.blogspot.com/2015_08_09_archive.html
Wednesday, 12 August 2015. BALOZI KAGASHEKI APITISHWA KUGOMBEA UBUNGE CCM JIMBO LA BUKOBA MJINI, MKUTANO MKUBWA KUFANYIKA JUMAMOSI 15-8-2015 KUMTAMBULISHA MGOMBEA UBUNGE NA WAGOMBEA UDIWANI KATA ZOTE ZA JIMBO LA BUKOBA MJINI. Katibu wa ccm wilaya ya Bukoba mjini Bw Gerrald Mwadallu anawakaribisha sana kwenye mkutano wa kihistoria katika jimbo la Bukoba mjini. 15-8-2015. Bw Anatory Aman miongoni mwa wagombaea 8 wa ccm ubunge kura hazikutosha. Sunday, 9 August 2015. KIKWETE AWAAGA RASMI WANANCHI WA MTWARA.
fckili.blogspot.com
FC KILIMANJARO STOCKHOLM: March 2013
http://fckili.blogspot.com/2013_03_01_archive.html
MICHEZO,BURUDANI,MATUKIO NA MATANGO. Kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kupitia kilimanjarofc@gmail.com. Sunday, 24 March 2013. WACHEZAJI WOTE WA FC KILIMANJARO JUMATATU YA TAREHE 25-03-2013 TUNAANZA MAZOENZI TESTA WACHEZAJI WOTE MNAOMBWA KUFIKA SAA 10 JIONI. TANZANIA (TAIFA STARS) YAIKANDAMIZA WAMOROCCO 3 - 1. Picha kwa hisani ya http:/ salehjembe.blogspot.com. With nine minutes to fulltime Morocco were reduced to 10-men when Abderrahim Chakir was sent off for a bad tackle. Saturday, 23 March 2013.