jambotanzania.com
Sekta ya Uvuvi Kigoma ipo mashakani | Jambo Tanzania!
http://www.jambotanzania.com/sekta-ya-uvuvi-kigoma-ipo-mashakani.html
Sekta ya Uvuvi Kigoma ipo mashakani. Sekta ya Uvuvi Kigoma ipo mashakani. June 6, 2014. Sekta ya Uvuvi ni kati ya sekta muhimu ndogo ya uchumi Tanzania. Sekta inatoa ajira nyingi, kipato, uchumaji riziki, fedha na mapato ya kigeni kwa nchi. Tasnia ya uvuvi inaajiri zaidi ya watu 4,000,000 wanaojishughulisha na uvuvi na shughuli zinazohusiana ambapo zaidi ya watu 400,000 wameajiriwa kwenye sekta hiyo. Katika kipindi cha kuanzia mwaka 1993 hadi mwezi April mwaka huu 2014, zana za uvuvi zenye thamani ya zai...
jambotanzania.com
‘Zaeni mkaijaze Dunia’ yakwamisha uzazi wa mpango Kigoma | Jambo Tanzania!
http://www.jambotanzania.com/zaeni-mkaijaze-dunia-yakwamisha-uzazi-wa-mpango-kigoma.html
8216;Zaeni mkaijaze Dunia’ yakwamisha uzazi wa mpango Kigoma. 8216;Zaeni mkaijaze Dunia’ yakwamisha uzazi wa mpango Kigoma. April 29, 2014. BAADHI ya wanawake waliohojiwa mkoani Kigoma wamelalamikia waume zao kuwa kikwazo kwao kujiunga na uzazi wa mpango kwa kuwa wao wanawachukulia kama chombo cha kuongeza familia kwa kuzaa watoto wengi kadiri inavyowezekana. Je Ni kweli maandiko haya yanamaanisha binadamu kuzaana kwa wingi. Na je hivi ndivyo viongozi wa kidini wanavyohubiria waumini wao? Ldquo;Hata kati...