mafanikiocentre.blogspot.com
mafanikio centre: BURIANI NATE DOGG
http://mafanikiocentre.blogspot.com/2011/03/buriani-nate-dogg.html
Hii ni blog inayokupa habari mbalimbali katika jamii yetu na mbinu mbalimbali za kujikomboa katika umaskini karibuni sana we cannot succeed alone we need God we need good people wasiliana nasi:dmtwale@gmail.com. Thursday, March 17, 2011. Mwanamuziki Nate Dogg amefariki akiwa na umri wa miaka 41 sio siri jamaa alikuwa mkali sana tutammisi ile mbaya kunako game la muziki espicially hip pop amewahi kushirikiana na marehemu 2pac na washikaji kibao walio kunako game la muziki bwana alitowa bwana ametwaa .
mafanikiocentre.blogspot.com
mafanikio centre: HAYA NDIO MAAJABU YA LOLIONDO KWA BABU
http://mafanikiocentre.blogspot.com/2011/03/haya-ndio-maajabu-ya-loliondo-kwa-babu.html
Hii ni blog inayokupa habari mbalimbali katika jamii yetu na mbinu mbalimbali za kujikomboa katika umaskini karibuni sana we cannot succeed alone we need God we need good people wasiliana nasi:dmtwale@gmail.com. Thursday, March 17, 2011. HAYA NDIO MAAJABU YA LOLIONDO KWA BABU. Magari yakiwa kwenye foleni kuelekea kwa babu liliondo kupata dawa utalii Arusha sasa ni loliondo. Mchungaji mwaisapile (babu) akikagawa dawa kwa kikombe sh 500 tu simple! Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.
mafanikiocentre.blogspot.com
mafanikio centre: NDANI YA SYNAGOUGUE CHURCH OF ALL NATION NIGERIA
http://mafanikiocentre.blogspot.com/2011/03/ndani-ya-synagougue-church-of-all.html
Hii ni blog inayokupa habari mbalimbali katika jamii yetu na mbinu mbalimbali za kujikomboa katika umaskini karibuni sana we cannot succeed alone we need God we need good people wasiliana nasi:dmtwale@gmail.com. Thursday, March 17, 2011. NDANI YA SYNAGOUGUE CHURCH OF ALL NATION NIGERIA. Nabii TB Joshua akiombea wagonjwa katika prayer line maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya nigeria hufurika scoan kila jumapili na katikati za wiki kupata maombezi na kufunguliwa kwa jina la yesu. View my complete profile.
mafanikiocentre.blogspot.com
mafanikio centre: KAMA NIKIPATA NAFASI YA KUMSHAURI RAISI JK
http://mafanikiocentre.blogspot.com/2011/03/kama-nikipata-nafasi-ya-kumshauri-raisi.html
Hii ni blog inayokupa habari mbalimbali katika jamii yetu na mbinu mbalimbali za kujikomboa katika umaskini karibuni sana we cannot succeed alone we need God we need good people wasiliana nasi:dmtwale@gmail.com. Thursday, March 3, 2011. KAMA NIKIPATA NAFASI YA KUMSHAURI RAISI JK. Kama nikipata nafasi ya kumshauri raisi wetu kuhusu maendeleo ya nchi yetu ningemshauri hivi. Ili nchi yetu iendelee kiuchumi ni lazima tuachekubadilisha maliasili zetu kwa paund au dola badala yake. View my complete profile.
mafanikiocentre.blogspot.com
mafanikio centre: HALI SI SHWARI LIBYA GADDAFI NJIA PANDA
http://mafanikiocentre.blogspot.com/2011/03/hali-si-shwari-libya-gaddafi-njia-panda.html
Hii ni blog inayokupa habari mbalimbali katika jamii yetu na mbinu mbalimbali za kujikomboa katika umaskini karibuni sana we cannot succeed alone we need God we need good people wasiliana nasi:dmtwale@gmail.com. Thursday, March 3, 2011. HALI SI SHWARI LIBYA GADDAFI NJIA PANDA. Licha ya hali nzuri ya kiuchumi ya nchi ya libya wananchi wa libya wameonesha kuchoshwa na utawala wa kanali gaddafi wananchi wa libya wameendelea na mandamano ya kupinga utawala wake. Subscribe to: Post Comments (Atom).
mafanikiocentre.blogspot.com
mafanikio centre: MAJERUHI WA MABOMU GONGO LA MBOTO
http://mafanikiocentre.blogspot.com/2011/02/majeruhi-wa-mabomu-gongo-la-mboto.html
Hii ni blog inayokupa habari mbalimbali katika jamii yetu na mbinu mbalimbali za kujikomboa katika umaskini karibuni sana we cannot succeed alone we need God we need good people wasiliana nasi:dmtwale@gmail.com. Sunday, February 27, 2011. MAJERUHI WA MABOMU GONGO LA MBOTO. Baadhi ya majeruhi wa milipuko ya mabomu gongo la mboto wakiwa hospital kupata huduma. Askari na wananchi wakitoa msaada kwa majeruhi wa mabomu gongo la mboto. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.
mafanikiocentre.blogspot.com
mafanikio centre: AJALI MBAYA ILIYOWAONDOA FIVE STAR MORDERN TAARABU
http://mafanikiocentre.blogspot.com/2011/03/ajali-mbaya-iliyowaondoa-five-star.html
Hii ni blog inayokupa habari mbalimbali katika jamii yetu na mbinu mbalimbali za kujikomboa katika umaskini karibuni sana we cannot succeed alone we need God we need good people wasiliana nasi:dmtwale@gmail.com. Wednesday, March 23, 2011. AJALI MBAYA ILIYOWAONDOA FIVE STAR MORDERN TAARABU. Gari iliyowabeba wanamuzikiwa five star morden taarabu ikiwa imepata ajali baada ya kugongana na lori maeneo ya mikumi morogoro. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.