manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: President Obama,Gates, Zuckerberg are saddened to learn Stephen Jobs's death
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/10/president-obamagates-zuckerberg-are.html
In God We Trust. Thursday, October 6, 2011. President Obama,Gates, Zuckerberg are saddened to learn Stephen Jobs's death. Apple Inc co-founder and former CEO Steve Jobs. Counted among the greatest American CEOs of his generation, died on Wednesday 5th October, 2011 at the age of 56, after a years-long and highly public battle with cancer and other health issues. By building one of the planet's most successful companies from his garage, he exemplified the spirit of American ingenuity. By making comput...
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: J sisters wazindua album ya CHUKUA USHINDI jana jumapili
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/08/j-sisters-wazindua-album-ya-chukua.html
In God We Trust. Monday, August 1, 2011. J sisters wazindua album ya CHUKUA USHINDI jana jumapili. Kundi la Muziki wa Injili la J SISTERS linaloundwa na wanamuziki ndugu JENNIFER. Kulia pichani), JESSICAR. Katikati) , JAQUILLINE. Kushoto Pichani) na JULIET. Limezindua albamu yao ya tatu inayojulikana kama CHUKUA USHINDI jana Jumapili hii ndani ya ukumbi wa DIAMOND JUBILEE. Posted by Manase Kavishe. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar es salaam, Tanzania. View my complete profile. MAKAMU WA RAIS WA JA...
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: GLOBAL MODAL UNITED NATION 2011 IN KOREA
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/08/global-modal-united-nation-2011-in.html
In God We Trust. Thursday, August 11, 2011. GLOBAL MODAL UNITED NATION 2011 IN KOREA. A Welcome Address to the 2011 GMUN Delegates by His Excellency, Ban Ki-moon, the Secretary-General of the United Nations at a Dinner in His honour hosted by Mr. Song Young-Gil, the Mayor of Incheon Metropolitan City while attending the 2011 Global Model United Nations (GMUN) Conference in Incheon, South Korea on Thursday 11th August, 2011. Delegate from congo, france and spain. I was among the delegate from tanzania.
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: UN chief Ban Ki-moon says deposed leader's death "marks a historic transition for Libya".
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/10/un-chief-ban-ki-moon-says-deposed.html
In God We Trust. Thursday, October 20, 2011. UN chief Ban Ki-moon says deposed leader's death "marks a historic transition for Libya". UN chief Ban Ki-moon. Colonel Gaddafi's whereabouts had been largely unknown until his death in his hometown of Sirte on Thursday [Reuters. Libya's ousted leader had been on the run since National Transitional Council (NTC) forces captured the capital Tripoli and forced him to flee in August. UN secretary-general Ban Ki-moon. US Vice-president Joe Biden. The disappearance...
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: JK ATEUA MABALOZI WAPYA
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/12/jk-ateua-mabalozi-wapya.html
In God We Trust. Saturday, December 17, 2011. JK ATEUA MABALOZI WAPYA. Muheshimiwa Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao kuwa Mabalozi:-. Mhe Phillip MARMO,. Ameteuliwa kuwa Balozi nchini CHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge. Dkt Deodorus B. KAMALA. Ameteuliwa kuwa Balozi nchini BELGIUM. Dkt Batilda S. BURIAN,. Dkt Ladislaus C. KOMBA.
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: Muammar Gaddafi killed: Aljazeera's video shows Gaddafi's bloodied body
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/10/muammar-gaddafi-killed-footage-shows.html
In God We Trust. Thursday, October 20, 2011. Muammar Gaddafi killed: Aljazeera's video shows Gaddafi's bloodied body. Al Jazeera has acquired exclusive footage of the body of Muammar Gaddafi after he was killed in his hometown, Sirte. Abdul Hafiz Ghoga, vice chairman of Libya's National Transitional Council, confirmed that the ousted leader had been killed on October 20, 2011 near Sirte. The news came shortly after the NTC captured Sirte after weeks of fighting. Posted by Manase Kavishe. Makamu wa Rais w...
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: Ban expresses sadness after hundreds die in Tanzanian ferry disaster
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/09/ban-expresses-sadness-after-hundreds.html
In God We Trust. Tuesday, September 13, 2011. Ban expresses sadness after hundreds die in Tanzanian ferry disaster. On 11 September 2011, Secretary-General Ban Ki-moon has voiced his profound sadness after a ferry sank on Saturday 10 September off the coast off Zanzibar, Tanzania, killing almost 200 people. Media reports indicate that the ferry capsized between the Indian Ocean islands of Pemba and Unguja. Posted by Manase Kavishe. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar es salaam, Tanzania. MAKAMU WA RA...
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: Posho za wabunge zapanda kimyakimya:ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150
http://manaskavishe.blogspot.com/2011/11/posho-za-wabunge-zapanda.html
In God We Trust. Monday, November 28, 2011. Posho za wabunge zapanda kimyakimya:ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150. Wabunge wakiwa katika moja ya vikao vya bunge mjini Dodoma. HUKU mjadala wa kufutwa au kwa posho za wabunge na watumishi wengine wa Serikali ukiwa umefifia, posho za vikao (sitting allowance) za wabunge zimepanda kutoka Sh70,000 kwa siku hadi Sh200,000, imefahamika. 8220;Ni nani kawapa hizo taarifa bwana, au ni vyanzo vyenu vya habari? 8221; alihoji Dk Kashililah.
manaskavishe.blogspot.com
Manase Kavishe: MABADILIKO NDANI YA FACEBOOK (KALENDA YA MATUKIO YAJUMUISHWA)
http://manaskavishe.blogspot.com/2012/01/mabadiliko-ndani-ya-facebook-kalenda-ya.html
In God We Trust. Thursday, January 26, 2012. MABADILIKO NDANI YA FACEBOOK (KALENDA YA MATUKIO YAJUMUISHWA). Muonekano mpya wa facebook, timeline ikionekana eneo kulia chini kwenye picha. Katika siku zilizopita Timeline ilikuwa ni kwa wanaohitaji, ila kuanzia tarehe moja mwezi wa pili Timeline itakuwa ni lazima, utake usitake ni lazima utumie au kwa lugha ya kiufundi tunaweza iita default. Hivyo usishangae kuona mabadiliko kwenye kurasa yako. Kitu kingine kikubwa ambacho kinaniumiza kichwa ni privacy, fac...
tanzaniagospelteam.blogspot.com
TANZANIA GOSPEL TEAM: March 2012
http://tanzaniagospelteam.blogspot.com/2012_03_01_archive.html
Tanzania Gospel Team ni timu ya mpira wa miguu (football) na mpira wa mikono (netball). Timu hii iko nchini Tanzania mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni, Sinza Afrikasana. Timu imejumuhisha wachezaji kutoka makanisa mbalimbali ya Kikristo na hasa waimbaji, maproduza na watangazji wa radio za kikristo. Tunaomba sana maombi yako ili tuweze kuwa na mafanikio kwa kucheza na timu kubwa kama Manchester, Arsenal, Liverpool, Yanga, Simba n.k. Tunaamini kwa Mungu kila kitu kinawezekana. . Waliofungua milan...