taees.org
Home | Tanzania Association Of Environmental Engineers
http://taees.org/home
Tanzania Association Of Environmental Engineers. Education & Awareness Rising. Integrated SWM, Babati. Improved Livelihood Support, Rorya. Capacity Building, DSM. EIA & EA. Education & Awareness Rising. Integrated SWM, Babati. Improved Livelihood Support, Rorya. Capacity Building, DSM. EIA & EA. Is of Tanzanian community where everybody has equal accessibility to water supply, improved sanitation and hygiene services and clean environment. Capacity Building, UDSM. How Is Our Site?
kagera.go.tz
Mifugo
http://kagera.go.tz/uchumi-na-uzalishaji/mifugo
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera. Mkoa wa Kagera unakadiriwa kuwa na ng’ombe wapatao 550,070 wanaofugwa ambapo ng’ombe wa asili ni 528,632 na ng’ombe wa maziwa ni 21,438. Mbuzi wafugwao ni 593,607 ambapo mbuzi wa asili ni 583,202 na mbuzi wa maziwa ni 10,405. Wanyama wengine ni kondoo 53,061 na nguruwe 44,402. Ranchi za Taifa (NARCO). Miundombinu na huduma za sekta ya mifugo. Huduma nyingine za Mifugo.
kagera.go.tz
Michezo
http://kagera.go.tz/elimu/michezo
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera. Wakati na baada ya ukoloni iliingizwa michezo mipya kama vile; mpira wa miguu, Netiboli, ngumi, mpira wa meza na mpira wa mikono michezo hii ilienea Tanzania na duniani kote hivyo kufanya michezo ya Jadi kufifia, hadi kufikia karne ya 21 A.D michezo ya kigeni ilipendwa na kubadilishwa kuwa biashara badala ya ridhaa. HALI MAENDELEO YA MICHEZO MKOA WA KAGERA. Bull; Mpira wa Miguu (Vijana na Wazee). Bull; Riadha (Vijana).
kagera.go.tz
Takwimu
http://kagera.go.tz/mipango-na-uratibu/Takwimu
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera.
kagera.go.tz
Kilimo
http://kagera.go.tz/uchumi-na-uzalishaji/kilimo
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera. Utekelezaji wa Malengo ya Kilimo msimu 2014/2015. Katika msimu wa kilimo 2014/2015 Mkoa ulijiwekea lengo la kulima na kutunza jumla ya hekta. Za mazao mbalimbali ya chakula zilizotarajiwa kuzalisha jumla ya tani. 1, 803,469. Za ndizi, tani. Za nafaka, tani. Za mikunde na tani. Za mazao ya mizizi. Aidha, Mkoa ulilenga kulima na kutunza jumla ya hekta. Za mazao mbalimbali ya biashara zilizokadiriwa kuzalisha tani. 1, 789,866.
kagera.go.tz
Miundombinu
http://kagera.go.tz/idara/miundombinu
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera. BARABARA, MAWASILIANO NA UCHUKUZI KATIKA MKOA WA KAGERA HADI KUFIKIA JUNI,2014. Mkoa wa Kagera unakadiriwa kuwa na mtandao wa barabara zenye urefu wa Kilomita 7,569.24 ambapo kati ya hizo Kilomita 1,914.5 zinasimamiwa na Wizara ya ujenzi kupitia Wakala wa barabara (TANROADS) Mkoa na Kilomita 5,654.74 zinasimamiwa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM). BARABARA ZA MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA. Ujenzi wa daraja la Kishara :-...
kagera.go.tz
viwanda-na-biashara
http://kagera.go.tz/uchumi-na-uzalishaji/viwanda-na-biashara
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera. VIWANDA NA BIASHARA MKOA WA KAGERA. I Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wadau wa maendeleo ya kiuchumi kuhusu masuala ya biashara, masoko, viwanda na uwekezaji katika mkoa. Ii Kutoa elimu na mafunzo ya ujasiriamali kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa, watu wananchi/watu binafsi, vikundi, makampuni pamoja na mashirika yanayohudumia jamii katika mkoa wa Kagera. V Kujenga mazingira wezeshi na yenye kuvutia wawekezaji wa ndani na nje...
kagera.go.tz
Utangulizi
http://kagera.go.tz/kuhusu/utangulizi
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera. MAELEZO YA JUMLA KUHUSU MKOA. Mkoa wa Kagera ulijulikana kama “Ziwa Magharibi” jina hili lilidumu katika kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru mpaka mwaka 1979 baada ya vita kati ya Tanzania na Uganda. Mkoa ulipata jina hili kutokana na mto Kagera ambao hutiririsha maji yake kutoka Rwanda kupitia kaskazini na kumwaga maji yake katika ziwa Victoria.
kagera.go.tz
Mipango
http://kagera.go.tz/mipango-na-uratibu/mipango
Utawala na Rasilimali Watu. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera. Tovuti za utalii Kagera. Taarifa kuhusu mipango zinaandaliwa. Idadi ya watu wenye ulemavu hadi kufikia Disemba 2013 ni kama inavyooneshwa hapa chini;.