jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: BAADHI YA MARAIS WANAOTAJWA KUWA MADIKTETA NA KUKALIA KITI KWA MIAKA MINGI AFRIKA.....
http://jackiekombe.blogspot.com/2013/05/baadhi-ya-marais-wanaotajwa-kuwa.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Friday, May 10, 2013. BAADHI YA MARAIS WANAOTAJWA KUWA MADIKTETA NA KUKALIA KITI KWA MIAKA MINGI AFRIKA. Rais wa Equatorial Guinea toka mwaka 1979. President José Eduardo dos Santos-Rais wa Angola. Rais wa Chad toka mwaka 1990. King Mswati III- Rais wa Swaziland toka mwaka 1986. Ismaïl Omar Guelleh- Rais wa. President Ali Bongo Ondimba- Rais. Gabon, alirithi mikoba baada ya baba yake aliyeongoza toka mwaka 1967-2009 kufariki. Zimbabwe toka mwaka 1987.
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: HALI YA RAIS MSTAAFU NELSON MANDELA YAELEZEWA KUWA MBAYA...
http://jackiekombe.blogspot.com/2013/06/hali-ya-rais-mstaafu-nelson-mandela.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Monday, June 24, 2013. HALI YA RAIS MSTAAFU NELSON MANDELA YAELEZEWA KUWA MBAYA. Raia wa Afrika Kusini watakiwa kutokuwa na matumaini kupita kiasi kuhusu hali ya Rais wao mstaafu Nelson Mandela. Ni siku ya 16 ambapo Mzee Mandela ameendelea kusalia hospitalini mjini Pretoria akitibiwa mapafu yaliyosababisha tatizo kwenye mfumo wake wa upumuaji. Rais Jacob Zuma ameendelea kuisisitizia Afrika kumuombea. Subscribe to: Post Comments (Atom). All from Regina Mwalekwa.
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: September 2012
http://jackiekombe.blogspot.com/2012_09_01_archive.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Wednesday, September 12, 2012. USITHUBUTU KUFUNGUA MLANGO AU GETI LAKO USIKU WA MANANE ETI POLISI WAMEKUJA, WANATAKA WAINGIE! Kwa hiyo Mbali na kutegemea ulinzi wa polisi, wananchi wametahadharishwa kutotii tu kila mtu anayejitambulisha kuwa polisi manake mtu kalala, ni usiku wa manane, kaja kufanya nini nyumbani kwa mtu bila taarifa hata ya maandishi au kama kuna kosa mtu amefanya? Links to this post. Subscribe to: Posts (Atom). All from Regina Mwalekwa.
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: November 2012
http://jackiekombe.blogspot.com/2012_11_01_archive.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Tuesday, November 27, 2012. WAKATI TUKIOMBOLEZA VIFO VYA WASANII WALIOFARIKI, TUMUOMBEE PIA MZEE MAJUTO. Kila mtu ana namna yake ya kupokea taarifa za msiba! Mzee Majuto amezipokea taarifa za msiba wa Sharo milionea kwa mshtuko mkubwa, nadhani ni kwa vile alikuwa akifanya kazi mara nyingi na marehemu! Presha yake imepanda, mmoja wa watoto wake pamoja na mkewe wanahangaika kwa zamu kumuuguza ili hali yake iweze kurejea kawaida. Tumuombee jamani manake dah!
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: September 2013
http://jackiekombe.blogspot.com/2013_09_01_archive.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Sunday, September 1, 2013. KIZURI KULA NA MWENZAKO.NAFASI ZA KAZI HIZO HAPO BWEREREEE.KWA WEWE MWENYE VIGEZO, CHANGAMKIA. The following vacancies are available for newly opened car freight station (ICDV/CFS) in Chang’ombe area near National Stadium. Our objectives are;. 1Reduction of Cargo congestion at the DSM port. 3 Improve transport productivity and intermodal capacity. 7 Increase Dar es Salaam port capacity and productivity. ICDV Manager 1 post. IiA Minim...
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: HII..NDIYO YANGAAAAA...HONGERA KWA KURUDISHA HESHIMA!!
http://jackiekombe.blogspot.com/2013/05/hiindiyo-yangaaaaahongera-kwa-kurudisha.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Saturday, May 18, 2013. HIINDIYO YANGAAAAA.HONGERA KWA KURUDISHA HESHIMA! Vijiweni yaliongelewa mengi na utabiri juu ila hatimaye tukampata mshindi! Subscribe to: Post Comments (Atom). WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIKIRI MKUTANO WA APRM NAIROBI. All from Regina Mwalekwa. MUNGU NI YEYE YULE. 8020 fashions.4 ur fashions and Lifestyle. HIINDIYO YANGAAAAA.HONGERA KWA KURUDISHA HESHI. BAADHI YA MARAIS WANAOTAJWA KUWA MADIKTETA NA KUKA. View my complete profile.
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: December 2012
http://jackiekombe.blogspot.com/2012_12_01_archive.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Monday, December 24, 2012. NAWATAKIA X-MASS NJEMA NA HERI YA MWAKA MPYA WADAUZZZZ. Nachukua nafasi hii kuwatakia msimu mwema wa sikukuu za mwisho wa mwaka! Tusherehekee kwa amani, upendo na utulivu! Links to this post. Thursday, December 13, 2012. ASANTE RAIS WETU JAKAYA MRISHO KIKWETE.MUNGU AKUTANGULIE RAY C. Links to this post. Tuesday, December 11, 2012. JUMAMOSI HII NI HATAREEEEEE.KOFFI OLOMIDE NDIO HABARI YA MJINI. Links to this post. Links to this post.
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: June 2013
http://jackiekombe.blogspot.com/2013_06_01_archive.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Monday, June 24, 2013. HALI YA RAIS MSTAAFU NELSON MANDELA YAELEZEWA KUWA MBAYA. Raia wa Afrika Kusini watakiwa kutokuwa na matumaini kupita kiasi kuhusu hali ya Rais wao mstaafu Nelson Mandela. Ni siku ya 16 ambapo Mzee Mandela ameendelea kusalia hospitalini mjini Pretoria akitibiwa mapafu yaliyosababisha tatizo kwenye mfumo wake wa upumuaji. Rais Jacob Zuma ameendelea kuisisitizia Afrika kumuombea. Links to this post. Wednesday, June 12, 2013.
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: January 2013
http://jackiekombe.blogspot.com/2013_01_01_archive.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Monday, January 28, 2013. BREAKING NEWSSSS.LULU AACHIWA KWA DHAMANA. Uwezekano wa Lulu kuachiwa upo kuanzia january 29/2013 kesho kwa sababu kuna watumishi wawili wa serikali wapo kikazi mkoani Pwani na ndio walitakiwa kutia saini dhamana ya Lulu wakiwa ni sehemu ya masharti. Links to this post. Tuesday, January 22, 2013. DAR LIVE JUMAMOSI HII HAPATATOSHAAAA.WASANII WA KUMWAGA. Haijawahi kutokea, jitokeze ujionee mambo! Links to this post. Links to this post.
jackiekombe.blogspot.com
JACKIE KOMBE: July 2012
http://jackiekombe.blogspot.com/2012_07_01_archive.html
KWA MAWASILIANO: Email: kombejack@yahoo.com. Friday, July 27, 2012. HUKO LONDON KUMEKUCHA.WAKILALA, WAKIAMKA , SHAMRASHAMRA NI MOJA TU.OLYMPIC 2012. Wenzetu wanayaweza mashangwe ya kila aina. Familia ya kifalme imeukaribisha mwenge wa Olimpiki katika Kasri la Buckingham katika siku ambapo umati mkubwa wa watu ulikusanyika mjini London kushuhudia mkondo wa mwisho wa safari ya mwenge huo mjini London. Michezo ni mingi mno kasoro Golf na Rugby. Mie macho yangu na Tv yangu tulii. Links to this post. Mwenye m...