habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: MITAA INA ONGEA ALBUM COMING SOOOOOOON
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/03/mitaa-ina-ongea-album-coming-sooooooon.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Tuesday, March 11, 2014. MITAA INA ONGEA ALBUM COMING SOOOOOOON. MORE INFO KEEP IN TOUCH HERE. KWA INFO ZA KUTOSHA KUHUSU UZINDUZI NA IDADI YA NYIMBO STAY TUNE RIGHT HERE. Subscribe to: Post Comments (Atom). Inspire,Create,Refine,Live&Enjoy! Small gardens gardens ideas on a budget easy. Happy Birth Day Babies. WE ARE THE FANS. TAKE-TECH TANZANIA "creativity and commitment". Powered by Blogger.
habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: TUKIO MAENEO YA MOROCO JUNCTION
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/04/tukio-maeneo-ya-moroco-junction.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Friday, April 11, 2014. TUKIO MAENEO YA MOROCO JUNCTION. Umetokea uhalifu mchana wa Leo baada wapanda pikipiki kumshambulia RAIA kwa risasi na kisha kupora kiasi cha fedha ambacho thamani yake haijajulikana. Subscribe to: Post Comments (Atom). Inspire,Create,Refine,Live&Enjoy! Small gardens gardens ideas on a budget easy. Happy Birth Day Babies. WE ARE THE FANS.
habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: COPORATE
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/09/coporate.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Tuesday, September 2, 2014. Subscribe to: Post Comments (Atom). Inspire,Create,Refine,Live&Enjoy! Small gardens gardens ideas on a budget easy. Happy Birth Day Babies. WE ARE THE FANS. TAKE-TECH TANZANIA "creativity and commitment". Powered by Blogger.
habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: MAFURIKO YALIVYOTESA RUVU DARAJANI
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/04/mafuriko-yalivyotesa-ruvu-darajani.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Monday, April 14, 2014. MAFURIKO YALIVYOTESA RUVU DARAJANI. Mvua kubwa zilizonysha kwa siku tatu mfululizo zimeathiri kwa kiasi kikubwa shughuli mbalimbali za uzalishaji mali katika mkoa wa Pwani, ambapo barabara kuu ya Morogoro madaraja mbalimbali yametitia kutokana na mvua hiyo kubwa ambayo imesababisha madhara makubwa kwa miundombinu. Uharibifu huo haukubaki barabara kubwa ya Morogoro, bali hata shamba...
habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: UFAFANUZI WA BAKWATA
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/03/ufafanuzi-wa-bakwata.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Monday, March 31, 2014. Alichosisitiza Mufti Simba ni kuwa Waislam na umma wa Tanzania wanataka aina moja tu ya Katiba:ile ambayo itadumisha amani,utulivu na mshikamano baina ya watanzania. Katiba bora kwa mustakabali wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Hakuna mahali ambapo Mufti Simba alitaja kukubali au kukataa aina ya Muungano. Hakuna mahali aliposema hataki au BAKWATA hawataki Serikali tatu.
habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: TRENI YA UBUNGO YAACHA RELI......
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/04/treni-ya-ubungo-yaacha-reli.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Friday, April 11, 2014. TRENI YA UBUNGO YAACHA RELI. Treni ya Ubungo maarufu kama treni ya Mwakyembe. Imepata ajali jioni ya Leo ilipokua ikiwasili kituo cha "daresalaam station" baada kuacha reli yake " line one" na kuzivuka reli zingine mbili. Subscribe to: Post Comments (Atom). Inspire,Create,Refine,Live&Enjoy! Small gardens gardens ideas on a budget easy. Happy Birth Day Babies. WE ARE THE FANS.
habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: HATUA NZURI KUELEKEA KWENYE SIKUKUU YA PILI KATIKA MAISHA YA MWANADAMU
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/04/hatua-nzuri-kuelekea-kwenye-sikukuu-ya.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Tuesday, April 15, 2014. HATUA NZURI KUELEKEA KWENYE SIKUKUU YA PILI KATIKA MAISHA YA MWANADAMU. Ilikua ni siku muhimu kwa Mdau MKUBWA wa blog hii www.habarizamitaa.blogspot.com alipoamua ku-"propose". Baby tupozi kidogo wenye wivu wajinyonge". Sasa baby mimi nataka niifanye iwe "official" au unasemaje baby. Ndio hii honey wangu. Ishara hii ndo iwe kithibibisho kwamba nia yangu ni kufanya "kweli".
habarizamitaa.blogspot.com
HABARI ZA MITAA: BOMU MIANZINI
http://habarizamitaa.blogspot.com/2014/04/bomu-mianzini.html
Http:/ api.ning.com/files/njzaeGe6x77Apeip3ck6LNv*KPilXEmY9b9WA3kA*jI1t-vCsTGjRJuR8TDHhGjprBwp236i9. Sunday, April 13, 2014. Umesikika mliouka wa Bomu maeneo ya baa maarufu ya MATAKO BAR na watu zaidi ya 15 wamejeruhiwa. Tutawajulisha kadiri tutakapo pata habari zaidi. Subscribe to: Post Comments (Atom). Inspire,Create,Refine,Live&Enjoy! Small gardens gardens ideas on a budget easy. Happy Birth Day Babies. WE ARE THE FANS. TAKE-TECH TANZANIA "creativity and commitment". Powered by Blogger.