njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: June 2015
http://njiayakanani.blogspot.com/2015_06_01_archive.html
Tuesday, June 30, 2015. WALIMU WANYANYASWA KISHIRIKINA BUNDA. MBUNGE wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola amelazimika kukatisha vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma kwenda jimboni kwake, kijiji cha Nambaza, kata na tarafa ya Nansimo, wilaya ya Bunda mkoani Mara kushughulikia adha wanayoipata walimu wa shule ya msingi kijijini hapo wanaofanyiwa vitendo vya kishirikina, kudhalilishwa na kuteswa kishirikina na kulazimika kuomba uhamisho wakafundishe shule nyingine maeneo ya mbali na jimbo hilo. Mwalimu ...
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
http://njiayakanani.blogspot.com/2014/11/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari.html
Thursday, November 6, 2014. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Taarifa inasema kuwa kabla ya uteuzi wake Bi. Dendego alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Dkt. Msengi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Bi. Masenza alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela na Bwana Mongella alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha. Wengine walioha...
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: BREAKING NEWS!! MABASI MATANO YAPATA AJALI YAKITOKEA KILIMANJARO
http://njiayakanani.blogspot.com/2015/01/breaking-news-mabasi-matano-yapata.html
Monday, January 5, 2015. MABASI MATANO YAPATA AJALI YAKITOKEA KILIMANJARO. Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna mabasi matano yamegongana njia ya kwenda Arusha toka Dar-es-Salaam asubuhi ya leo. Habari za kuaminika zinasema moja ya mabasi hayo ni Kilimanjaro Express na hadi sasa bado haijajulikana idadi ya majeruhi wala waliopotenza maisha ni wangapi. Punde itawajia habari kamili. Subscribe to: Post Comments (Atom). Follow me at Instagram: @frank adebayor Facebook: Frank K'naan Adebayor.
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: FAHAMU JINSI UMEME UNAOVUJA (LEAKAGE) UNAVYO KUONGEZEA GHARAMA KATIKA BILI YAKO YA UMEME
http://njiayakanani.blogspot.com/2015/02/faabi-electrical-company-yatoa-somo.html
Tuesday, February 3, 2015. FAHAMU JINSI UMEME UNAOVUJA (LEAKAGE) UNAVYO KUONGEZEA GHARAMA KATIKA BILI YAKO YA UMEME. HUU NDIYO UFUMBUZI WA BILI KUBWA YA UMEME. Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao. Kwa kawaida kuna vifaa maalumu vya kutambua uvujaji wa umeme katika nyumba kama vile EARTH LEAKAGE CIRCUIT BREAKER. Ingawaje nyingi zilizo fungwa majumbani siku hizi ni FEKI hivyo zinashindwa kujizima pale umeme unapo vuja. HEBU TAZAMA MF...
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: AJALI YAFUNGA BARABARA MIKUMI
http://njiayakanani.blogspot.com/2014/11/ajali-yafunga-barabara-mikumi.html
Thursday, November 20, 2014. AJALI YAFUNGA BARABARA MIKUMI. Leo ama una safari ya kwenda Iringa, Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi sitisha safari kwani njia imefungwa tangu saa mbili asubuhi. Kuna lory linawaka moto mpaka sasa. Lilikuwa limebeba lami so lami bado inawaka na imesambaa sehemu kubwa. Subscribe to: Post Comments (Atom). Follow me at Instagram: @frank adebayor Facebook: Frank K'naan Adebayor. View my complete profile. Welcome to the world of Kanani. Tweets by @kanani jr.
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: BREAKING NEWS!!! PANYA ROAD WAITIKISA DAR USIKU HUU
http://njiayakanani.blogspot.com/2015/01/breaking-news-panya-road-waitikisa-dar.html
Friday, January 2, 2015. PANYA ROAD WAITIKISA DAR USIKU HUU. TAHARUKI YA 'PANYA ROAD': Kundi maarufu kwa jina la Panya Road lavamia maduka, lanyang'anya watu mali zao External Ubungo, Dar leo usiku. Katika taharuki hilo watu walionekana wakihamaki na kukimbia huku na kule ilimradi kila mtu ni kuepusha maisha yake! Habari zaidi bado repota wetu anazifuatilia. Subscribe to: Post Comments (Atom). Follow me at Instagram: @frank adebayor Facebook: Frank K'naan Adebayor. View my complete profile.
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: MTUHUMIWA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MAHAKAMANI
http://njiayakanani.blogspot.com/2014/12/mtuhumiwa-auawa-kwa-kupigwa-risasi.html
Wednesday, December 31, 2014. MTUHUMIWA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MAHAKAMANI. Subscribe to: Post Comments (Atom). Follow me at Instagram: @frank adebayor Facebook: Frank K'naan Adebayor. View my complete profile. Welcome to the world of Kanani. Tweets by @kanani jr. There was an error in this gadget. MTUHUMIWA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MAHAKAMANI. MDAU WENU NILIPOTEMBELEA MOJA YA MAAJABU 7 YA DUNI. There was an error in this gadget.
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: BREAKING NEWS!! MACHINGA COMPLEX YAUNGUA MOTO
http://njiayakanani.blogspot.com/2014/11/breaking-news-machinga-complex-yaungua.html
Friday, November 14, 2014. MACHINGA COMPLEX YAUNGUA MOTO. Soko kubwa na la kisasa lililopo maenea ya Ilala karibu na uwanja wa mpira wa Karume maarufu kama Machinga Complex linalomolikiwa na Manispaa ya Jiji la Ilala katika Mkoa wa Dar-es-Salaam, leo limeteketea vibaya na moto ulioanzia katika ghorofa ya pili. Mpaka tunapata habari hii chanzo cha moto huo kilikuwa hakijajulikana. Subscribe to: Post Comments (Atom). Follow me at Instagram: @frank adebayor Facebook: Frank K'naan Adebayor.
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: MAJIBU YA SMS KWA MPENZI WAKO VYENYE VIASHILIA VYA KUOMBWA HELA
http://njiayakanani.blogspot.com/2014/11/majibu-ya-sms-kwa-mpenzi-wako-vyenye.html
Thursday, November 13, 2014. MAJIBU YA SMS KWA MPENZI WAKO VYENYE VIASHILIA VYA KUOMBWA HELA. Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu. 1 Ukimtumia sms ' Mambo mpenzi wangu? 4 Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa...
njiayakanani.blogspot.com
Njia ya Kanani: LIVE KUTOKA KATIKA MARRIAGE REVIVAL DENNER PATY
http://njiayakanani.blogspot.com/2015/03/live-kutoka-katika-marriage-revival.html
Friday, March 6, 2015. LIVE KUTOKA KATIKA MARRIAGE REVIVAL DENNER PATY. Baadhi ni matukio yanayoendelea katika dinner Party ya Marriage Revival kutoka kanisa la Mlima wa moto Mikocheni. Washiriki wakifuatilia kwa umakini. Subscribe to: Post Comments (Atom). Follow me at Instagram: @frank adebayor Facebook: Frank K'naan Adebayor. View my complete profile. Welcome to the world of Kanani. Tweets by @kanani jr. There was an error in this gadget. LIVE KUTOKA KATIKA MARRIAGE REVIVAL DENNER PATY.