tumaininews.blogspot.com
TUMAINI NEWS: Kuelekea Mji mwema ilipo Power station ilipo...
http://tumaininews.blogspot.com/2011/04/kuelekea-power-station-ilipo.html
Thursday, April 14, 2011. Kuelekea Mji mwema ilipo Power station ilipo. Safari kuelekea ilipo power station. Power station inavyoonekana kwa nje. Akipima kiwango cha umeme unaozalishwa. Mtambo wa zamani kabla hajapata mafunzo toka kwa Injinia wa kijerumani jinsi ya kutengeneza umeme bila uharibifu wa mazingira. Maji yanayotoka nje baada ya kupita kwenye mota ya kuzalisha umeme. Maji haya huvunwa kutoka mtoni na kurudi tena mtoni baada ya kuzalisha umeme. Subscribe to: Post Comments (Atom). The big top ten.
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: November 2012
http://tumainihabari.blogspot.com/2012_11_01_archive.html
Saturday, November 24, 2012. Kasoro katika mchakato utunzi mitihani, mitaala. TAFITI wa kitaalamu umeonyesha kuwapo kwa kasoro katika mchakato wa utunzi wa mitihani ya kuhitimu kidato cha nne na kubainisha kuwa, kufeli kwa wanafunzi wa shule za sekondari kunatokana na walimu kutopewa mafunzo ya utekelezaji wa mitalaa. Miongoni mwa kasoro zilizobainishwa ni pamoja na utata kuhusu nafasi za alama za mazoezi katika mtihani wa mwisho na ushiriki wa walimu na wakuzaji mitalaa katika utunzi wa mitihani hiyo.
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari
http://tumainihabari.blogspot.com/2012/11/normal-0-false-false-false-en-us-x-none.html
Saturday, November 24, 2012. Kasoro katika mchakato utunzi mitihani, mitaala. TAFITI wa kitaalamu umeonyesha kuwapo kwa kasoro katika mchakato wa utunzi wa mitihani ya kuhitimu kidato cha nne na kubainisha kuwa, kufeli kwa wanafunzi wa shule za sekondari kunatokana na walimu kutopewa mafunzo ya utekelezaji wa mitalaa. Miongoni mwa kasoro zilizobainishwa ni pamoja na utata kuhusu nafasi za alama za mazoezi katika mtihani wa mwisho na ushiriki wa walimu na wakuzaji mitalaa katika utunzi wa mitihani hiyo.
frankkimaro.blogspot.com
Journalism in blood: VIDEOS
http://frankkimaro.blogspot.com/p/videos.html
Frank Kimaro run this blog. COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH. Subscribe to: Posts (Atom). There was an error in this gadget. View my complete profile. There was an error in this gadget. Promote Your Page Too. 07/03 - 07/10 (5). 08/07 - 08/14 (2). 08/21 - 08/28 (1). 09/04 - 09/11 (1). 09/18 - 09/25 (2). 09/25 - 10/02 (2). 10/02 - 10/09 (1). 10/23 - 10/30 (2). 10/30 - 11/06 (4). 11/06 - 11/13 (4). 11/13 - 11/20 (6). 11/20 - 11/27 (4). 11/27 - 12/04 (2). Snoop Do...
nicodem1.blogspot.com
Mzalendo
http://nicodem1.blogspot.com/2012/11/ajari-ya-gari-yaua-wawili-na-john-alex.html
Wednesday, November 7, 2012. Ajari ya gari yaua wawili. Na John Alex Mganga. DAR ES SALAAM,. Watu wawili wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia Novemba 5 mwaka huu katika eneo la Kimara Mwisho jijini Dar es salaam. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni CHARLES KENYELLA ameitaja Gari yenye namba za usajili T585AZG, aina ya Land Rover Discover lililokuwa likiendeshwa na dereva ambaye hakufahamika jina lake. Kamanda wa polisi mkoa wa kip...
nicodem1.blogspot.com
Mzalendo
http://nicodem1.blogspot.com/2014/06/blog-post.html
Saturday, June 28, 2014. Mashindano ya B'Ball Kitaa yanayoendelea Gymkana DSM. Subscribe to: Post Comments (Atom). Ijumaa, Uwazi na Championi. Update Your Browser Facebook. Ligi ya La Liga. There was an error in this gadget.
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: January 2013
http://tumainihabari.blogspot.com/2013_01_01_archive.html
Sunday, January 27, 2013. MANGULA AWALAMBISHA FAITH CHOIR MILIONI 15. Makamu mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Philip Mangula akiongozwa na mwenyekiti wa bodi ya Chuo kikuu cha Tumaini kuingia katika ukumbi wa Multipurpose kwa ajili ya kuchangia kwaya ya faith ya CCT kwa ajili ya kurekodi mkanda wa Video wa nyimbo za injili. Mgeni rasmi akiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa iringa ndugu Jesca msambatavangu (kushoto) na mbunge wa viti maalum ndugu rita kabati na viongozi wengine wa CCM wilaya na mkoa. Baada ya h...
nicodem1.blogspot.com
Mzalendo
http://nicodem1.blogspot.com/2013/01/normal-0-false-false-false-en-us-x-none.html
Thursday, January 24, 2013. Watu watatu wafariki dunia katika matukio tofauti. Watu watatu wafariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la mwanaume mmoja anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka35-40 kugongwa na gari eneo la Ubungo mataa, wilaya ya Kinondoni tarehe 22 Januari 2013. Maiti hiyo ilikutwa Jumanne wiki hii mnamo saa 10:00 jioni ikiwa haina jeraha lolote, mwili wa marehemu umehifadhiwa katitka hospitali ya Vijibweni, na upelelezi unaendelea. Taarifa ya polisi imeeleza kuwa pe...
nicodem1.blogspot.com
Mzalendo: Ligi ya NBA kuoneshwa ATN live
http://nicodem1.blogspot.com/2012/11/ligi-ya-nba-kuoneshwa-atn-live.html
Thursday, November 29, 2012. Ligi ya NBA kuoneshwa ATN live. Kituo cha Televisheni ya Agape kwa kushirikiana na Agape Association wanatarajia kurusha mechi za mpira wa kikapu za nchini Marekani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, afisa mahusiano wa ATN/TING, Brian Urassa amesema kuwa lengo la kurusha matangazo hayo ni kuleta hamasa kwa watanzania wenye vipaji vya mpira wa kikapu. Subscribe to: Post Comments (Atom). Ijumaa, Uwazi na Championi. Update Your Browser Facebook.
nicodem1.blogspot.com
Mzalendo: Habari
http://nicodem1.blogspot.com/p/habari.html
Subscribe to: Posts (Atom). Ijumaa, Uwazi na Championi. Update Your Browser Facebook. Ligi ya La Liga. There was an error in this gadget.
SOCIAL ENGAGEMENT