magomeni-coc.or.tz
Magomeni-CocKaribu katika tovuti yetu, Kanisa la Kristo-Magomeni, Dar es salaam. Kanisa ni kundi la watu waliookoelewa na Yesu Kristo mwenyewe kutoka katika nguvu za Shetani (. Kanisa la Kristo si madhehebu na halina kiongozi wa kidunia wala makao makuu ya kidunia. Mkuu wa kanisa si mwingine bali ni Yesu Kristo mwenyewe (. Kila kusanyiko la Kanisa la Kristo linajitegemea na tunaunganishwa na Neno la Mungu kwa imani moja (. Madhehebu si mpango wa Mungu kwa wanadamu. Yohana 17:20-21; 1 Wakorintho 1:10-13.
http://magomeni-coc.or.tz/