asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Namna ya Kutengeneza Facial Mask Ya Papai
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/namna-ya-kutengeneza-facial-mask-ya.html
Thursday, 6 August 2015. Namna ya Kutengeneza Facial Mask Ya Papai. Tunda la papai lina vitamini C na E likiwa na siri. Kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali. Papai limekuwa likitumiwa kama njia yenye gharama nafuu ya kutunza uso wako na. Kumfanya mtu kuwa na ngozi ya asili. Bidhaa ambazo zimekuwa zikitengenezwa kwa kutumia tunda la papai ni. Pamoja na sabuni, lotion, tona, moisturizer, facial peels na nyingine. Uonekanaji mzuri wa uso wako. Kupendeza na kuvutia ikiwemo. Kisha...
asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Hangover? Tengeneza na Kunywa Aina Hizi za Juisi
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/hangover-tengeneza-na-kunywa-aina-hizi.html
Sunday, 9 August 2015. Tengeneza na Kunywa Aina Hizi za Juisi. Kichwa kinagonga, unaona kizunguzungu, mwili hauna nguvu, unasikia kichefuchefu, kama unataka kutapika lakini hutapiki, kwa kifupi unajisikia hovyo kufuatia unywaji wa kupindukia ulioufanya jana! Hali hii inaitwa HANGOVER au uchovu wa ulevi. Njia bora ya kuondokana na uchovu (hangover) ni kunywa kiasi au kuacha kabisa unywaji pombe. Kamwe dawa ya hangover sio kuzimua kwa pombe asubuhi ya siku nyingine! Blend pamoja juisi hizi: juisi ya baggag...
asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Tunda la Pesheni Kwa Tiba na Afya Yako
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/tunda-la-pesheni-kwa-tiba-na-afya-yako.html
Tuesday, 4 August 2015. Tunda la Pesheni Kwa Tiba na Afya Yako. Pesheni (Passionfruit) licha ya kuwa ni tunda ambalo lina vitamins A na C pia ni tiba kwa matatizo au magonjwa mbalimbali kama vile Kutopata choo na UTI. Mapesheni mawili, chungwa moja na vipande viwili vya tikiti maji vikitengenezwa juisi kwa pamoja kwa kutumia blender kufanya glasi moja ya juisi na kunywewa asubuhi kabla ya kula chakula chochote ni kinywaji murua kwa afya (good health tonic). Subscribe to: Post Comments (Atom). Naamini kuh...
asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Vyakula Vinavyoongeza Hamu na Nguvu ya Kufanya Tendo la Ndoa
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/tatizola-uwezo-wa-kufanya-tendo-la-ndoa.html
Wednesday, 5 August 2015. Vyakula Vinavyoongeza Hamu na Nguvu ya Kufanya Tendo la Ndoa. Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume. Ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali. Capsaicin huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins. Wakati wa tendo la n...
asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Fahamu Aina 7 Ya Vyakula Vinavyoongeza Nguvu za Kiume
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/fahamu-aina-7-ya-vyakula-vinavyoongeza.html
Monday, 3 August 2015. Fahamu Aina 7 Ya Vyakula Vinavyoongeza Nguvu za Kiume. Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi. Vyakula ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako. Utakuwa bora kama chakula unachokula. Leo napenda tuangalie v...
asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Zifahamu Nutrients na madini muhimu kwa Nguvu za Kiume
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/zifahamu-nutrients-na-madini-muhimu-kwa.html
Saturday, 8 August 2015. Zifahamu Nutrients na madini muhimu kwa Nguvu za Kiume. Tunaweza kupima ukweli kwamba matatizo hayo yapo kwa kiwango kikubwa kwa wingi wa matangazo ya madaktari na waganga wa tiba za asili au tiba mbadala yanayotolewa kwenye magazeti na mabango katika vituo vya magari au daladala na njia mbalimbali katika maeneo ya mijini. Swali la kujiuliza mababu zetu mbona hawakuwa na matatizo haya? Mbona walioa wake wengi na walimudu kuwatimizia haja zao za kimapenzi na walizaa watoto wengi?
asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Tiba ya Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers) Hii Hapa
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/tiba-ya-vidonda-vya-tumbo-peptic-ulcers.html
Thursday, 13 August 2015. Tiba ya Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers) Hii Hapa. Sasa tuangalie tiba ya vidonda vya tumbo. Hii ni tiba ambayo mtu yeyote anaweza kuiandaa na kuitumia. TIBA YA KWANZA: Anti-ulcer Fruit Cocktail. Vitu vinavyotakiwa ni hivi: Ndizi, Nanasi, matunda ya Blueberries, Mdalasini iliyosagwa kuwa unga, Unga wa karafuu, Unga wa Tangawizi na Asali. TIBA YA TATU: Anti-ulcer Cabbage Soup. Namna ya kuandaa: Weka maji, cabbage, celery, viazi, bamia, vitunguu na green peppers kwenye chombo cha...
asiliyako.blogspot.com
Asili Yako: Zifahamu Sababu za Mimba Kutoka Na Mambo Yapi Yakufanya
http://asiliyako.blogspot.com/2015/08/zifahamu-sababu-za-mimba-kutoka-na.html
Tuesday, 11 August 2015. Zifahamu Sababu za Mimba Kutoka Na Mambo Yapi Yakufanya. Kuharibika kwa mimba ni hali ya mwanamke kupata ujauzito na ukatoka kabla ya muda wake ambapo tatizo hili huangaliwa kabla ya kutimiza wiki 20 tangu kutungwa kwake.Hali hiyo inapotokea huitwa kuwa mimba imetoka au imeharibika (Miscarriage). Hali hii ya mimba kuharibika inakuwa tofauti kabisa na utoaji mimba ambapo kitendo cha kutoa mimba kinafanywa na binadamu kwa makusudi na huwa amedhamiria kufanya hivyo. Miongoni mwa sab...
SOCIAL ENGAGEMENT