
MALENGOSACCOS.CO.TZ
Malengo SaccossJiunge na malengo saccos uweze kufadika na mambo mbalimbali ,. Kiuchumi, kijamii na kiafya. Mikopo ya aina mbali mbali, uwekezaji. Elimu ya biashara, uwekezaji na ukuzaji wa mitaji. Malengo yetu, mafanikio yetu! Jiunge na malengo saccos leo uweze kufanikishwa malengo yako. Madhumuni makuu ya MALENGO SACCOS LTD ni kuinua, kustawisha na kuboresha hali ya maisha ya wanachama ili waweze kukidhi mahitaji mbalimbali ya kijamii na kiuchumi kwa kufuata Masharti ya Chama, misingi na Sheria ya Vyama vya Ushirika.
http://malengosaccos.co.tz/