bukobawadau.blogspot.com
BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA. | BUKOBAWADAU
http://bukobawadau.blogspot.com/2015/05/balozi-wa-pspf-flaviana-matata-atoa.html
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA. Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza. Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata hivi karibuni. Kwa mara nying...
bukobawadau.blogspot.com
MKUTANO WA CHADEMA MJINI BUKOBA LEO | BUKOBAWADAU
http://bukobawadau.blogspot.com/2015/04/mkutano-wa-chadema-mjini-bukoba-leo.html
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. MKUTANO WA CHADEMA MJINI BUKOBA LEO. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Uhuru Mjini Bukoba leo April 25,2015 pamoja na mambo mengine amewaomba wananchi wa Bukoba na Kagera kwa ujumla kuikataa CCM kwa vitendo kwa sababu imechangia kwa asilimia kubwa kuzorotesha maendeleo ya wanakagera. Mbowe amesema;"wakati wa mabadiliko ni sasa,tuungane pamoja kukamata dola Oktoba mwaka huu". Mtia nia Roderick Lutembeka na 'Kifuba' ...
bukobawadau.blogspot.com
MAAFA YA MVUA DAR MAY 7,2015 | BUKOBAWADAU
http://bukobawadau.blogspot.com/2015/05/maafa-ya-mvua-dar-may-72015.html
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. MAAFA YA MVUA DAR MAY 7,2015. Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini Dr. Agnes Kijazi amewataka wakazi wa mikoa ya pwani kuendelea kuchukua tahadhari kufuatilia taarifa za utabiri wa hali ya hewa kutokana na mvua hizi za msimu kuendelea hadi mwisho wa mwezi mei ingawa mvua kubwa zinaonesha zitaendelea hadi tarehe 20. Mikoa hiyo ni Dar es Salaam Mtwara, Lindi,Tanga,Pwani,Unguja na Pemba. Tandale jijini Dar es salaam (Picha imetumwa na Jeniffer). Wakazi hao wamethiri...
bukobawadau.blogspot.com
HII NDIYO NYUMBA YA KISASA ILIYOPO KIJIJINI BUGANGUZI YENYE SIFA NA VIGEZO STAHILI | BUKOBAWADAU
http://bukobawadau.blogspot.com/2014/04/hiii-ndiyo-nyumba-ya-kisasa-iliyopo.html
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. HII NDIYO NYUMBA YA KISASA ILIYOPO KIJIJINI BUGANGUZI YENYE SIFA NA VIGEZO STAHILI. Kwa mara nyingine libeneke la Bukobawadau linakuletea taswira kamili ya moja kati ya nyumba iliyopo kijijini Buganguzi Wilayani Muleba.Hii ni nyumba kali iliyopo shambani kabisa, iliyojengwa kisasa kwa kuzingatia ramani, mazingira na ubora unaotakiwa kwa kila sehemu ndani ya nyumba hiyo. Swala la huduma ya maji hakika limezingatiwa. Usawa wa ukuta wa nyumba ya mbele, kwa kutokea. Sitting room ...
bukobawadau.blogspot.com
BALOZI KAMALA AMSHUKURU MZEE NYAMTARA MUKOME KWA KAZI NZURI ALIYOFANYA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI | BUKOBAWADAU
http://bukobawadau.blogspot.com/2015/05/balozi-kamala-amshukuru-mzee-nyamtara.html
OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA. BALOZI KAMALA AMSHUKURU MZEE NYAMTARA MUKOME KWA KAZI NZURI ALIYOFANYA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI. Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akimkabidhi Mzee Nyamtara Mukome zawadi ya kumshukuru kwa kazi nzuri aliyofanya Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji alipokuwa Afisa wa Mambo ya Nje Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji masuala ya Jumuiya ya Ulaya. Mhe. Nyamtara amestaafu na wiki ijayo anarejea Tanzania. Subscribe to: Post Comments (Atom). Nilipoingia katika ...
bukobawadaumedia.com
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA KATIKA KANISA KUU JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA MKOANI KAGERA | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html
RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA KATIKA KANISA KUU JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA MKOANI KAGERA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibusu mkono wa Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Jimbo katoliki Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya Ibada. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma mara ba...
bukobawadaumedia.com
YALE YA MARUKU BEACH PARTY DEC 26,2016 | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2016/12/yale-ya-maruku-beach-party-dec-262016.html
YALE YA MARUKU BEACH PARTY DEC 26,2016. Matukio ya picha ya Bonge la Beach Party iliyowakutanisha wakazi wa Mji waBukoba na maeneo ya jirani iliyofanyika Kabuhara Maruku Bukoba Siku ya Boxing Day Dec 25,2016. Msanii Lady Mariam wa Uganda aliyetamba na kibao cha Tindatine akishambulia jukwaa. M wanamziki Lady Mariam wa Uganda mwenye nyota ya aina yake akifanya yake jukwaani, ni Kabuara Beach Party Maruku Bukoba Dec 26,2016. Baadhi ya wadau waliohudhuria Usiku wa Shangwe hizo #MarukuBeachParty. Sura zenye ...
bukobawadaumedia.com
BUKOBA | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/p/blog-page.html
July 24, 2014 at 6:02 PM. Iyo ni mtwishe isio ndizi harisi ya bukoba. April 2, 2015 at 10:32 PM. April 20, 2016 at 8:01 AM. Subscribe to: Posts (Atom). Contact us: Email:bukobawadau@gmail.com Phone :Mc baraka:O784 505045,0754 505043,0715 505043 Sir.loom inc:0713 397241. View my complete profile. Bukobawadau Blog. Powered by Blogger. SIMULIZI ;UNFORTUNATE LOVE SEHEMU YA 1. HII NDIYO NYUMBA YA KISASA ILIYOPO KIJIJINI BUGANGUZI YENYE SIFA NA VIGEZO STAHILI. AJALI YAUA WATU WANNE MJINI BUKOBA. MAMA WA MAREHE...
bukobawadaumedia.com
WATANZANIA WATANO WACHAGULIWA KUWA MABALOZI WA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI DUNIANI | BUKOBAWADAU
http://www.bukobawadaumedia.com/2017/01/watanzania-watano-wachaguliwa-kuwa.html
WATANZANIA WATANO WACHAGULIWA KUWA MABALOZI WA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI DUNIANI. 8220;BINGWA WA MABADILIKO” au “CHAMPION FOR CHANGE” ni kauli mbio iliyoanzishwa kwenye shindano lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia maswala ya wanawake (UN-WOMEN) lenye lengo wa kuwapata vijana watakaoweza kushirikiana na serikali za nchi zao kuwainua wanawake kiuchumi. Https:/ www.empowerwomen.org/en/join-the-movement. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. SIMULIZI ;UNFO...