uchambuzi.wordpress.com
August | 2007 | Jukwaa Huru la Uchambuzi
https://uchambuzi.wordpress.com/2007/08
Jukwaa Huru la Uchambuzi. Archive for August, 2007. Msanii wa Bongo Fleva ndani ya Blogu. Wengi wetu tulitarajia na tulijua kuwa ni suala la muda tu, tungeweza kumwona Freddy Macha mtandaoni, lakini ni nani alitarajia ujio wa Ilunga Khalifa? Kuna watu tayari wanajiuliza naye ni nani. Sasa ngoja nikwambie kitu…. Ilunga Khalifa, ni mmoja kati ya wasanii kadhaa wa huu muziki wa kizazi kipya, ambao wamefanikiwa ‘kuwashika’ vijana vilivyo kutokana na nyimbo zao zenye mistari ya aina yake. Wakati wasanii wetu ...
kivale.blogspot.com
Masikini hafilisiki, lakini akipata.......!: 11/05/05
http://kivale.blogspot.com/2005_11_05_archive.html
Dodoma, Dodoma, Tanzania. View my complete profile. Masikini hafilisiki, lakini akipata! Katika hali ya kutia moyo na matumaini kwa wasanii. UTAM DUNI AU MTAMA DUNI. Kudidimia kwa Sanaa.2. KUDIDIMIA KWA SANAA YA MAIGIZO NCHINI. Hawa ndio walimu wetu. ama kweli Elimu haina. Nami nimeingia kwenye Mtandao huu wa blog. Saturday, November 05, 2005. UTAM DUNI AU MTAMA DUNI. Napenda kuwasalimu wapenzi wa safu hii ya sanaa kwa kusema asalam aleykum waungwana Idd mbaraka. Ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo utaba...
kivale.blogspot.com
Masikini hafilisiki, lakini akipata.......!: 07/18/05
http://kivale.blogspot.com/2005_07_18_archive.html
Dodoma, Dodoma, Tanzania. View my complete profile. Masikini hafilisiki, lakini akipata! Katika hali ya kutia moyo na matumaini kwa wasanii. UTAM DUNI AU MTAMA DUNI. Kudidimia kwa Sanaa.2. KUDIDIMIA KWA SANAA YA MAIGIZO NCHINI. Hawa ndio walimu wetu. ama kweli Elimu haina. Nami nimeingia kwenye Mtandao huu wa blog. Monday, July 18, 2005. Hawa ndio walimu wetu. ama kweli Elimu haina mwisho. Bwana Kailima alisema kufuatia mpango huo mpya wa utumishi Halmashauri yake itawalipia walimu 800 ada ya secondary, ...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2006/05/kwa-kasi-hii-tutakwisha.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Sunday, May 28, 2006. Kwa kasi hii tutakwisha! Pamoja na juhudi za Serikali za kujaribu kuondoa tatizo la njaa, tatizo hilo limeonekana kutaka kuota mizizi huku likisaidiwa na tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta. Tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta limekuja wakati mbaya ambapo bado kuna tatizo la upungufu mkubwa wa chakula. Zainab Yusuph Leo: 5/28/2006 11:35:00 AM. 3 Maoni ya Wasomaji:. People incurr when they drive because o...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_06_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Thursday, June 30, 2005. Jambo hili limekuwa likinitatiza sana na hatimaye nikibaki bila kuwa na jibu la uhakika kuwa kiwango cha uzee wa mtu kinapimwa na umri au maumbile{ nikimaanisha miondoko, mikunjamano ya uso pamoja na ya mwili}. Zainab Yusuph Leo: 6/30/2005 12:55:00 PM. Thursday, June 09, 2005. Dhana hii imepitwa na wakati! Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe! Zainab Yusuph Leo: 6/09/2005 11:58:00 AM.
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2006_05_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Wednesday, May 31, 2006. Je haya hana ukweli? Kweli maneno haya kuhusu kuwepo manabii wengi siku za mwisho tumeyasikia sana, mimi nina tatizo moja na naomba kusaidiwa kama kweli muda huo ndio umefika kwani kutokana na habari hii. soma hapa. Zainab Yusuph Leo: 5/31/2006 12:05:00 PM. Monday, May 29, 2006. Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Zainab Yusuph Leo: 5/29/2006 06:32:00 PM. Sunday, May 28, 2006. Baadhi ya madhara...
mwaipopo.blogspot.com
SAUTI YA BARAGUMU: May 2006
http://mwaipopo.blogspot.com/2006_05_01_archive.html
WAAMINIFU WANAAMINI BARAGUMU LIKIPIGWA LINA JAMBO, TENA JAMBO JEMA. BASI BARAGUMU HILI LINAJITAHIDI KUFIKIRISHA, KUFUNZA NA KUBURUDISHA. Saturday, May 27, 2006. Blogu ya Mazingira Imefumika. Alan wa saalan wanablogu na wasomaji blogu. Ukimya uliojitokeza ulishadidiwa na safari ndefu kutoka Paterson, New Jersey hata Dar es Salaam, Bongo. Bado inaendelea kuelekea Mbeya. Kufika Bongo nikakutana na rafiki yangu Alexander Mwalyoyo. Posted by John Mwaipopo @ 3:47 AM. Wednesday, May 17, 2006. Huo ulikuwa mwanzo...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_07_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Tuesday, July 19, 2005. Hivi ni kweli misaada ya mikopo iyasaidia kuondoa umaskini? Pamoja na watu kuzungumzia suala hili kwa kirefu zaidi huku asilimia kubwa wakiamini kuwa ni kweli fedha wanazokopeshwanchi zinazoendelea na benki ya dunia zitasaidia kuondoa umaskini. Hivi kuna maendeleo gani iwapo watatukopesha kwa vigezo vya kuwabinafsishia vitega uchumi vyetu,ambavyo ndio njia pekee ya kuweza kutupatia maendeleo? Zainab Yu...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2005_11_01_archive.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Friday, November 04, 2005. Wamarekani ni akina nani kwa Watanzania? Zainab Yusuph Leo: 11/04/2005 11:39:00 AM. Blogu ya lugha mseto. JIKUMBUSHE KAZI ZANGU ZA ZAMANI.