swagazangu.blogspot.com
JOHARI AJUTA KUACHANA NA MCDONALD! | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/07/johari-ajuta-kuachana-na-mcdonald.html
JOHARI AJUTA KUACHANA NA MCDONALD! JOHARI AJUTA KUACHANA NA MCDONALD! Chagula ‘Johari’ ambaye ni mwigizaji mkongwe Bongo, amejuta kuachana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Donald Mwakamele ‘McDonald’ kwa kusema kuwa angeendelea naye, angekuwa mwanamke mwenye heshima. Mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. 8220;Unajua stresi za mapenzi ninazokutana nazo zinanifanya nikumbuke mbali sana, uhusiano wangu na McDonald ulikuwa wa furaha sana, mpenzi wangu wa sasa ananiumiza kwa mengi, lakini kubwa ni...
swagazangu.blogspot.com
HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 2 | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/07/hili-ndilo-chimbuko-la-freemasons-2.html
HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 2. HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 2. Mpenzi msomaji wiki iliyopita nilidokeza kuwa katika simulizi hii nitahakikisha najibu maswali yote ambayo yamekuwa yakiulizwa sana na wasomaji. Je, mtu anawezaje kujiunga nao na kwamba kuna ukweli kuwa atapata utajiri kwa kufumba na kufumbua macho? Je, ni masharti au vigezo gani ambavyo lazima uvitimize ndiyo ujiunge nao? Fomu za kujiunga zinapatikanaje na wapi? Je, wana makao yao hapa nchini au Afrika Mashariki? Kama nilivyot...
swagazangu.blogspot.com
USHIRIKINA WAMGANDA ESTER | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/07/ushirikina-wamganda-ester.html
Za ushirikina zinaendelea kumganda staa wa filamu Bongo, Ester Kiama anayedaiwa kujipandisha kisanaa kwa nguvu za giza zinazotokana na kitendo chake cha kuvaa pete yenye kito cha bluu. Staa wa filamu Bongo, Ester Kiama. Kwa mujibu wa chanzo makini cha habari, baadhi ya wasanii wenzake wamekuwa wakimsengenya kuwa pete yake hiyo amekuwa akiivaa muda wote, hata akiwa bafuni, kitendo kinachowafanya wahisi ni nguvu za giza, kwani hata akiambiwa aivue wakati wakiwa ‘location’ amekuwa akikataa. Mke anamdharau M...
swagazangu.blogspot.com
MWANAMUZIKI Diamond Platnumz Ashikiliwa Airport kwa Saa Mbili Kisa Madawa ya Kulevya.. | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/06/mwanamuziki-diamond-platnumz-ashikiliwa.html
MWANAMUZIKI Diamond Platnumz Ashikiliwa Airport kwa Saa Mbili Kisa Madawa ya Kulevya. MWANAMUZIKI Diamond Platnumz Ashikiliwa Airport kwa Saa Mbili Kisa Madawa ya Kulevya. Tukio hilo lililoshuhudiwa hatua kwa hatua na gazeti hili, lilijiri Juni 26, mwaka huu kwenye eneo la kukagulia mizigo ya abiria uwanjani hapo kitendo kilichosababisha Diamond kutokwa na kijasho chembamba. TAFSIRI YA MABEGI MAKUBWA. Ndani ya mabegi hayo, kulikutwa kamera, maiki na vifaa vya studio. Shuhuda mmoja ambaye Ijumaa Wikienda ...
swagazangu.blogspot.com
Umefika Wakati wa Babu Tale na Salim Kumsaidia Mdogo Wenu ALI KIBA..Haijalishi Aliwakosea Kiasi Gani..Huu Sio wakati wa Kuvimbishiana Misuli | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/06/umefika-wakati-wa-babu-tale-na-salim.html
Umefika Wakati wa Babu Tale na Salim Kumsaidia Mdogo Wenu ALI KIBA.Haijalishi Aliwakosea Kiasi Gani.Huu Sio wakati wa Kuvimbishiana Misuli. Umefika Wakati wa Babu Tale na Salim Kumsaidia Mdogo Wenu ALI KIBA.Haijalishi Aliwakosea Kiasi Gani.Huu Sio wakati wa Kuvimbishiana Misuli. Tafadhali naomba mnisikilize saaana #. Babutale @salaam sk @officialalikiba. Huu sio wakati wa kuvimbishiana misuli na kuanza kujinadi wakati ukweli wa mambo uko wazii#. Katika maisha haitakiwi kua na tegemeo moja au haitakiwi ku...
swagazangu.blogspot.com
Ukweli Kuhusu Mgombea Edward Lowassa Kupendelewa na Vyombo vya Habari Mbio za Urais 2015 | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/06/ukweli-kuhusu-mgombea-edward-lowassa.html
Ukweli Kuhusu Mgombea Edward Lowassa Kupendelewa na Vyombo vya Habari Mbio za Urais 2015. Ukweli Kuhusu Mgombea Edward Lowassa Kupendelewa na Vyombo vya Habari Mbio za Urais 2015. Nimekuwa Nikifuatilia kwa Makini sana hizi Mbio za Urais 2015 Kile ninachokiona na Kama Vile mgombea Huyu Edward Lowassa Anependelewa na Vyombo vya Habari Kila Kona iwe Magazeti, Blogs na TVs.Habari zake zinapewa Airtime sana na kuandikwa sana . Je kuna nini Kinaendelea? Facebook Blogger Plugin by Harocq. Posted by Moses Zao.
swagazangu.blogspot.com
AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3 | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/07/afumaniwa-ajipiga-faini-mil-3.html
AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3. AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3. Hii ni habari ya kushangaza sana ambayo ilinaswa na paparazi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers juzikati ambapo mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ally Mwamwanza ambaye ni afisa katika kitengo cha ‘makontena’ bandarini Dar, kudaiwa kunaswa na mke wa jirani yake, Gibson Mtinge aliyetajwa kwa jina moja la Khadija. Hoya’ ziliifanya OFM kupiga kambi hapo kusikiliza. OFM NDANI YA GETI. 8220;Huyu jamaa nimemkuta na mke wangu....
swagazangu.blogspot.com
MKE: AISHA BUI AMEZAA NA MUME WANGU! | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/07/mke-aisha-bui-amezaa-na-mume-wangu.html
MKE: AISHA BUI AMEZAA NA MUME WANGU! MKE: AISHA BUI AMEZAA NA MUME WANGU! Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha. Mwanamke aliyejitambulisha kuwa ni mke wa ndoa wa jamaa aliyemtaja kwa jina la Ally Msangi, Rosita Yashira ameibuka na madai mazito kuwa staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui eti amezaa na mumewe huyo. Akizungumza kwa njia ya mtandao wa kijamii wa WhatsApp akiwa nchini Peru barani Asia, mwanamke huyo alisema kwamba Aisha amemwibia mumewe huyo ambaye amemtelekeza na watoto wawili na hatoi matumizi.
swagazangu.blogspot.com
Kumekucha: Mwinyi, Mkapa, Aman Abeid Karume Wakutana Rasmi Kuwajadili Wagombea Urais Wa CCM | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/06/kumekucha-mwinyi-mkapa-aman-abeid.html
Kumekucha: Mwinyi, Mkapa, Aman Abeid Karume Wakutana Rasmi Kuwajadili Wagombea Urais Wa CCM. Kumekucha: Mwinyi, Mkapa, Aman Abeid Karume Wakutana Rasmi Kuwajadili Wagombea Urais Wa CCM. Hatimaye marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa wameungana na wajumbe wenzao wa Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanza kuwajadili makada waliojitokeza kuwania urais na kutoa ushauri utakaowezesha kupatikana kwa njia bora za kumpata mgombea wa chama hicho. Hata hivyo, taarifa nyingine ...
swagazangu.blogspot.com
Davido’s New Video Breaks A Record | SWAGA ZANGU
http://swagazangu.blogspot.com/2015/06/davidos-new-video-breaks-record.html
Davido’s New Video Breaks A Record. Davido’s New Video Breaks A Record. On June 9th205, Nigerian artist Davido released his much-anticipated music video called “Fans Mi”, featuring American rapper Meek Mill. 15 days after it was released, the video has hit more than a million views on YouTube. Davido shared his joy on his Instagram account by saying: “RECORD BREAKER! 1,000,000 views in days! Je wewe unakabiliwa na changamoto ya kipato kama nilivyo nayo mimi? Facebook Blogger Plugin by Harocq. Hii ni haba...