garamauk.blogspot.com
Lake Zone Journalists Internet Training: INTERNET AS A TOOL IN JOURNALISM
http://garamauk.blogspot.com/2009/10/internet-as-tool-in-journalism.html
Lake Zone Journalists Internet Training. Hello, get to know that I'm now Internet Litterate. This became after attending the internet training conducted Peik Johanson of VIKES, a Finish Media Foundation in collaboration with Misa Tanzania. Wednesday, October 28, 2009. INTERNET AS A TOOL IN JOURNALISM. Dear all, today (October 28, 2009) was a third day since we, Lake Zone Journalists started our five days training about the use of internet in our daily activities. Led by our Trainer Peik Johanson. To look...
garamauk.blogspot.com
Lake Zone Journalists Internet Training: Internet Training on day four
http://garamauk.blogspot.com/2009/10/internet-training-on-day-four.html
Lake Zone Journalists Internet Training. Hello, get to know that I'm now Internet Litterate. This became after attending the internet training conducted Peik Johanson of VIKES, a Finish Media Foundation in collaboration with Misa Tanzania. Friday, October 30, 2009. Internet Training on day four. Me and my colegues during internet training class at BoT Institute-Mwanza. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: December 2010
http://rugeray.blogspot.com/2010_12_01_archive.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Friday, December 17, 2010. Round of 16 draw. AS Roma v FC Shakhtar Donetsk. AC Milan v Tottenham Hotspur FC. Valencia CF v FC Schalke 04. FC Internazionale Milano v FC Bayern München. Olympique Lyonnais v Real Madrid CF. Arsenal FC v FC Barcelona. Olympique de Marseille v Manchester United FC. FC København v Chelsea FC. Monday, December 6, 2010. Kwa Mwaka huu 2010, Tanzania iliwakilishwa na mwanadada Aneth Kushaba:. Na kisha akawepo mwanadada mwingine Leah Muddy:.
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: KINYANG'ANYIRO CHA USPIKA CCM.....
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/kinyanganyiro-cha-uspika-ccm.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Thursday, November 11, 2010. KINYANG'ANYIRO CHA USPIKA CCM. Viwanja vya Bunge mjini Dodoma vimetawaliwa na Vazi la Kijani leo baada ya zaidi ya Wabunge 200 wa Chama cha Mapinduzi CCM kukusanyika pamoja kwa ajili ya uchaguzi wa Mgombea wa Uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama Makinda akiomba kura kutoka kwa Mmoja wa wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Wabunge wa CCM. Na Mama KATE KAMBA. Tangu Tanzania imepata uhuru haijawahi kuwa na kiongozi mkuu mwanamke katika...
rugeray.blogspot.com
Rayz of Diamond: SAFARI YA KUWASILI MJENGONI HIYOOO.........
http://rugeray.blogspot.com/2010/11/kuwasili-mjengoni.html
My Blog, your Blog, it is our Blog.". Thursday, November 11, 2010. SAFARI YA KUWASILI MJENGONI HIYOOO. Wa Kwanza Kushoto ni Ezekiel Dibogo Wenje, mbunge mteule kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Nyamagana Mwanza.wa katikati (nyuma) ni Hyness Kiwia, mbunge mteule kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Ilemela Mwanza na wa kulia ni Felix Mkosamali (Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu SAUT) ambaye ni Mbunge mdogo kuliko wote (Miaka 24) toka NCCR Mageuzi katika jimbo la Muhambwe Kigoma. Moja kati ya Wabunge wateul...
kagerapress.blogspot.com
KAGERA PRESS CLUB: Mapungufu kwa wagombea wote haya hapa !
http://kagerapress.blogspot.com/2010/09/mapungufu-kwa-wagombea-wote-haya-hapa.html
Tuesday, September 7, 2010. Mapungufu kwa wagombea wote haya hapa! Harakati za kampeni zikiwa zimepamba moto kwa wagombea wa nafasi za Urais,Ubunge na Udiwani tayari kumejitokeza mapungufu makubwa ambayo iwapo hayatarekebishwa yanaweza kuathiri mantiki nzima ya mchakato wa uchaguzi Mkuu. Aidha imebainika kuwa hakuna chombo chochote kinachoratibu kampeini za wagombea kubaini kama wanayoyafanya kwenye kampeini zao ni sawa au wafanye marekebisho. Hivyo hivyo wagombea nafasi za Urais wakiwemo. Mathalan,mgomb...
kagerapress.blogspot.com
KAGERA PRESS CLUB: Mwandishi Raymon Owaman wa RFA na Stav TV augua gafla!
http://kagerapress.blogspot.com/2010/09/mwandishi-raymon-owaman-wa-rfa-na-stav.html
Sunday, September 12, 2010. Mwandishi Raymon Owaman wa RFA na Stav TV augua gafla! Mwandishi huyo pichani juu aliugua gafla nyumbani kwake maeneo ya Kashabo na kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa Kagera jana jumamosi na hadi sasa amelazwa hapo. Taarifa kutoka kwa ndugu zake ni kuwa ugonjwa unaomsumbua mwandishi huyo bado haujajulikana na kwamba alianguka na kupoteza fahamu. Tutawajuza maendeleo ya mchapakazi huyo. Imetolewa na Chama cha waandishi wa Habari Mkoani Kagera(KPC). October 3, 2010 at 3:53 AM.
kagerapress.blogspot.com
KAGERA PRESS CLUB: Waandishi Kagera waanza ucgunguzi kwenye kata 30
http://kagerapress.blogspot.com/2010/08/waandishi-kagera-waanza-ucgunguzi.html
Thursday, August 26, 2010. Waandishi Kagera waanza ucgunguzi kwenye kata 30. Kufuatia waandishi wa Habari mkoani kagera,kupata fedha kutoka TMF sasa wameanza rasmi uchunguzi kutafuta chanzo cha wananchi katika wilaya ya Bukoba kutojiandikisha kwa wingi kupiga kura na hata wachache wanaojiandikisha kutojitokeza kwa wingi kupiga kura. Uongozi KPC unawatakia kazi njema. Subscribe to: Post Comments (Atom). Hapa chini ni baadhi ya picha za Wanachama wa Kagera Press Club. Mwenyekiti Kagera Press Club.
kagerapress.blogspot.com
KAGERA PRESS CLUB: July 2010
http://kagerapress.blogspot.com/2010_07_01_archive.html
Wednesday, July 21, 2010. Kagera Press Club yapata milioni 40 kutoka TMF! Chama cha Waandishi mkoa wa Kagera(KPC) kimepata jumla ya shilingi milioni 40 kutoka mfuko wa kusaidia vyombo vya habari na waandishi wa habari nchini Tanzania(TMF) . Fedha hizo zitatumiwa na wanachama wa KPC kufanya uchunguzi na kuripoti kwenye vyombo wanavyowakilisha kuhusuaiana na masuala ya uchaguzi katika majimbo ya uchaguzi ya Bukoba mjini na Bukoba vijiini. Kwa mjibu wa andiko. Pichani:Katibu wa Kagera Press Club Bw Mathias ...