nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: UDSM yatoa namba za Wanafunzi wenye matatizo na matokeo yao
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2012/08/udsm-yatoa-namba-za-wanafunzi-wenye.html
Wednesday, August 29, 2012. UDSM yatoa namba za Wanafunzi wenye matatizo na matokeo yao. Chuo Kikuu cha Dar-es- salaam (UDSM) leo kimetoa namba za wanafunzi ambazo zina matatizo na matokeo yao ikiwemo matatizo ya Supplimentary, Discontinuation from studies na mitihani maalumu (Special examinations). Tarehe maalumu ya kuanza Supplimentary na special exams ni 24 septemba 2012. Ukitaka kujua hatima yako bofya hapa". Wednesday, August 29, 2012. Subscribe to: Post Comments (Atom). TUMIA MTANDAO KWA BUSARA.
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: April 2013
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2013_04_01_archive.html
Sunday, April 7, 2013. TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 19 YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI. Leo ulimwengu umeadhimisha miaka 19 baada ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994 na kugharimu maisha ya watu takriban milioni moja. Maadhimisho hayo hufanyika duniani kote kama siku maalumu ya kuwakumbuka wahanga wa vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Wahutu na Watusi iliyopiganiwa ndani ya siku 1oo. Huku mgeni rasmi akiwa ni Mwanadiplomasia mkongwe Dk Salim Ahmed Salim. Sunday, April 07, 2013.
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: SKOL BUILDING CONTRACTORS YATOA AJIRA MPYA
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2012/11/skol-building-contractors-yatoa-ajira.html
Friday, November 23, 2012. SKOL BUILDING CONTRACTORS YATOA AJIRA MPYA. SKOL BUILDING CONTRACTORS LTD. P O BOX 7963 LINDI/LIVINGSTONE ST. DAR ES SALAAM TANZANIA. Phone 2774065, 2774064. Mobile Phone 0773298888, 0712 797963. Email vincent@skol.co.tz. Website: www.skol.co.tz. Skol Building Contractors Company is the Civil Engineering Contractor registered with the Contractors Registration Board under Class One. We have expertise in Civil and Building including production of precast building materials. And o...
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: Wakati wa vijana kuacha mawazo ya kuajiriwa ni sasa
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2015/05/wakati-wa-vijana-kuacha-mawazo-ya.html
Monday, May 4, 2015. Wakati wa vijana kuacha mawazo ya kuajiriwa ni sasa. Ni kawaida kwa vijana wengi nchini kuwa na ndoto lukuki za mafanikio wanapoingia vyuo vikuu na vyuo vya kati. Asilimia kubwa huamini kozi wanazochagua na kusomea zitawapatia mafanikio ya haraka zaidi katika maisha. Dhana hiyo huwafanya kuchagua kozi nzuri ambazo wakihitimu bila shaka watakua mameneja au watu wenye nafasi nzuri zaidi katika kampuni au mashirika makubwa ya umma. Hakuna aliyethubutu kuniambia kuwa nikiwa shule nitunze...
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: Siasa zitaiangamiza Sumatra, sekta ya Uchukuzi
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2015/04/siasa-zitaiangamiza-sumatra-sekta-ya.html
Sunday, April 12, 2015. Siasa zitaiangamiza Sumatra, sekta ya Uchukuzi. Moja ya vipindi vigumu kwa Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) mwaka huu ni hiki inapotakiwa kufanya aumuzi wa kutangaza nauli mpya za usafiri wa umma. Kwa kipindi cha miezi sita sasa mamlaka hiyo imekuwa aking’ang’anizwa na wadau na viongozi serikalini ishushe nauli kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia. Baada ya mashinikizo, Sumatra ilianza kukusanya maoni ya wadau kama sheria inavyowataka ili k...
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: April 2015
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Sunday, April 12, 2015. Siasa zitaiangamiza Sumatra, sekta ya Uchukuzi. Moja ya vipindi vigumu kwa Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) mwaka huu ni hiki inapotakiwa kufanya aumuzi wa kutangaza nauli mpya za usafiri wa umma. Kwa kipindi cha miezi sita sasa mamlaka hiyo imekuwa aking’ang’anizwa na wadau na viongozi serikalini ishushe nauli kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia. Baada ya mashinikizo, Sumatra ilianza kukusanya maoni ya wadau kama sheria inavyowataka ili k...
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: Zawadi ya pekee kwa mke wangu mtarajiwa siku ya Valentine
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2015/02/zawadi-ya-pekee-kwa-mke-wangu-mtarajiwa.html
Thursday, February 12, 2015. Zawadi ya pekee kwa mke wangu mtarajiwa siku ya Valentine. Wasalaam kipenzi changu, mke wangu mtarajiwa. Popote ulipo pokea salamu zangu hizi za dhati zisizo na tone la unafiki. Najua utakuwa umeshtuka kwanini nimekutumia barua hii leo, saa kadhaa kuelekea siku ya Wapendanao ambayo wazungu wanaiita Valentine. Usishtuke, nimekuletea zawadi yako maridhawa, kuwa mtulivu. Najua masomo hayaendeki au kazi hazifanyiki huko uliko na unatamani siku ya Valentine iwe fupi, iishe na uach...
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: Madibira kumechafuka!!
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2011/08/madibira-kumechafuka.html
Tuesday, August 23, 2011. Na: Nuzulack J. Dausen. Ali si shwari katika mji mdogo wa Madibira wilayani Mbarali. Matukio mengi ya wizi na ujambazi ndio yanashika kasi katika mji huu. Amani na upendo wa awali vimetoweka, sasa ni unyamaunyama na pesa ndio sabuni ya roho. Zimepita wiki mbili tu toka tukio liloibua hisia za wengi kupitia vyombo vya habari kutokea katika mji huu. Tukio hili ni lile lilohusisha mganga na mteja wake walioshiriki kuua raia mwenzao kama njia ya kujipatia dawa. Wadau mbalimbali wame...
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: Changamkia nafasi za kazi UDOM
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2012/08/changamkia-nafasi-za-kazi-udom.html
Monday, August 27, 2012. Changamkia nafasi za kazi UDOM. Chuo Kikuu cha Dodoma kimetoa nafasi mbalimbali za kazi katika tovuti yao. Kazi hizo zimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni kazi za kiutawala (Administrative ones) na za kitaaluma (academic ones). Katika kazi hizo kwenye administraive ones utakutana na nafasi mbalimbali za kazi na za kada tofauti kama mtendaji ofisini na katika kundi la academic ones utakuta kazi za kufundisha kama mtaaluma. Bofya hapa kwa habari zaidi na kuzifikia". Wasal...
nuzulackdausen.blogspot.com
NUZULACK DAUSEN: February 2015
http://nuzulackdausen.blogspot.com/2015_02_01_archive.html