hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Keep Me True Lyrics By Jabu Hlongwane
http://hosannainc.blogspot.com/2011/09/keep-me-true-lyrics-by-jabu-hlongwane.html
Sunday, September 4, 2011. Keep Me True Lyrics By Jabu Hlongwane. Jabu Hlongwane mmoja wa waanzilishi wa Joyous Celebration. Keep me true. Lord Jesus, keep me true. Keep me true. Lord Jesus, keep me true. There's a race that I must run. There are victories to be won. Give me power, every hour, to be true. Keep me true. Lord Jesus, keep me true. Keep me true. Lord Jesus, keep me true. There's a race that I must run. There are victories to be won. Give me power, every hour, to be true. Posted by Hosanna Inc.
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Makala Maalumu: kumbukumbu ya safari ya kundi la Christ ambassadors kutoka Rwanda kuja Tanzania na kuwapoteza wenzao watatu katika ajali ya Gari.
http://hosannainc.blogspot.com/2011/07/makala-maalumu-kumbukumbu-ya-safari-ya.html
Friday, July 29, 2011. Makala Maalumu: kumbukumbu ya safari ya kundi la Christ ambassadors kutoka Rwanda kuja Tanzania na kuwapoteza wenzao watatu katika ajali ya Gari. Kundi la Ambasadors of christ choir Rwanda kabla ya ajali. Baada ya kupata Mualiko huo, tarehe 5/05/2011 Kundi hilo lilianza safari ya kuja jijini Dar es salaam kwa ajili ya Uzinduzi wa DVD ya kwaya ya Acasia ambao ulipangwa kufanyika katika ukumbi wa PTA ulio katika viwanja vya Sabasaba jijini Dr es salaam. Wakiwa Redioni hapo, kundi hil...
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Edward Lowasa, atabiriwa na TB Joshua?
http://hosannainc.blogspot.com/2011/06/edward-lowasa-atabiriwa-na-tb-joshua.html
Monday, June 20, 2011. Edward Lowasa, atabiriwa na TB Joshua? Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowasa akiwa kwa TB jOSHUA kama anavyoonekana kwenye Emmanuel TV, 12 June 2011. Gazeti hili limepata ushahidi wa maandishi ya mkono wa Beatrice mwenyewe yanayoonyesha kuwa amekuwa mfuasi muhimu wa Lowassa kiasi cha kushawishi wengine kujiunga katika mtandao wake. Akiandika kwa Pindi Chana, mbunge wa Viti Maalum (CCM), tarehe 14 Februari mwaka huu, Beatrice alieleza mambo matatu katika ujumbe wake kwa Chana. Katika k...
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Nini Cha Kufanya Mungu Anapoweka Msukumo Wa Kuomba Ndani Yako? (Part 2)
http://hosannainc.blogspot.com/2011/11/nini-cha-kufanya-mungu-anapoweka.html
Tuesday, November 15, 2011. Nini Cha Kufanya Mungu Anapoweka Msukumo Wa Kuomba Ndani Yako? Kumbuka lengo la ujumbe huu ni kukusaidia ili maombi yako yawe ni maombi yenye matokeo mazuri. Maana kama ni kuomba huenda umeomba sana lakini huoni matokeo ya maombi yako. Na suala si kuomba tu, unaweza ukaomba kwa muda mrefu na kufunga lakini kama hatuoni matokeo ya maombi yako haitusadii kwa lolote na haikusaidii pia kwa lolote. Namna ya kuomba kwa kuzingatia mfumo wa kuombea unachokiombea. Kwa nini uombe, unaom...
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: MKIRSTO NA UCHUMI - Mwl Mgisa Mtebe
http://hosannainc.blogspot.com/2012/05/mkirsto-na-uchumi-mwl-mgisa-mtebe.html
Monday, May 28, 2012. MKIRSTO NA UCHUMI - Mwl Mgisa Mtebe. Mkristo ni mtu aliyemwamini Yesu Kristo na kumpokea au kumfanya Bwana na Mwokozi wa maisha yake (Warumi 10:9-10). Haitoshi tu kusema, ‘Mkristo ni mtu aliyemwamini Yesu’, kwasababu Biblia inasema ‘hata shetani naye anaamini na kutetemeka pia’ lakini si mkristo (Yakobo 2:19). Uchumi ni Maarifa ya namna ya kutumia rasilimali (resources) zilizopo au chache (scarce) ili kukutana na mahitaji na matakwa mengi (needs and wants) katika maisha ya mtu/watu.
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Mwl Christopher Mwakasege atoa shuhuda juu ya kifo Fanuel Sedekia
http://hosannainc.blogspot.com/2011/07/mwl-christopher-mwakasege-atoa-shuhuda.html
Thursday, July 21, 2011. Mwl Christopher Mwakasege atoa shuhuda juu ya kifo Fanuel Sedekia. Mwalimu Christopher Mwakasege ametoa ushuhuda huo katika semina inayoendelea sasa katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Semina hiyo yenye somo linaloitwa namna ambavyo Roho Mtakatifu awezavyo kukusaidia ili upokee kile unachokiomba imeanza tar 19-07-2011 na inatazamiwa kuisha tar 23-07-2011. Suala hapa ni kuwa nilikuwa naenda kila mara kwa ajili ya kumfanyia maombi, nilikuwa nakaa kandokando ya Bahari ya Gali...
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: The Meaning and Origin of the Name Jehovah-jireh
http://hosannainc.blogspot.com/2011/09/meaning-and-origin-of-name-jehovah.html
Wednesday, September 14, 2011. The Meaning and Origin of the Name Jehovah-jireh. From Wikipedia, the free encyclopedia. According to the Book of Genesis. In the Bible, Jehovah-jireh. Was a place in the land of Moriah. It was the location of the. Where God told Abraham. To offer his son Isaac. As a burnt offering. Abraham named the place after the Lord. To sacrifice in place of Isaac. And Abraham called the name of that place Jehovahjireh: as it is said to this day, In the mount of the Lord. Will see to i...
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Package From Altar:Namna Mwanamke Anavyoweza Kutumia Nafasi Zake Kubadilisha Maisha Ya Ndoa Yake (1)
http://hosannainc.blogspot.com/2012/11/package-from-altarnamna-mwanamke.html
Thursday, November 15, 2012. Package From Altar:Namna Mwanamke Anavyoweza Kutumia Nafasi Zake Kubadilisha Maisha Ya Ndoa Yake (1). Mithali 14: 1 ‘Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe’. Kila siku katika ndoa kuna changamoto zinazaliwa mpaka imefika mahala baadhi ya wanandoa wanawaza kwa nini walikubali kuoa au kuolewa. Kwa hakika laiti Biblia ingetoa mwanya kwa wanandoa kuachana basi kuna baadhi ya wanandoa wangehakikisha wanaitumia h...
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Kadinari Pengo aongelea Posho za wabunge
http://hosannainc.blogspot.com/2011/12/kadinari-pengo-aongelea-posho-za.html
Tuesday, December 20, 2011. Kadinari Pengo aongelea Posho za wabunge. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Kuhusu posho, Kadinali Pengo alisema viongozi wa Serikali na umma wakiwamo wabunge, wanapaswa kuacha ubinafsi na badala yake wafanye kazi kwa kuwafikiria zaidi wananchi kuliko maslahi binafsi. Aliongeza, “Nasisitiza hili kwa viongozi sababu hivi karibuni kumezuka mzozo kati ya wabunge na wananchi ambao wamejiongeza posho kwa madai maisha kuwa magumu. Viongozi hatupaswi kufikiria marupurupu y...Hivi ka...