dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: MH!! MAMBO YA KARATE HAYO MAKUMIRA UNIVERSITY!!
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/06/mh-mambo-ya-karate-hayo-makumira.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? MAMBO YA KARATE HAYO MAKUMIRA UNIVERSITY! Mzigo ulikuwa kipande cha jmos tar. 18 wadau makumira karate walionesha show moja kali pichani ni Innocent llb3 na mdau. Tuguse uone moto wetu ulivyo. Picha kwa hisani ya albam ya real coca face book. WADAU TUKUTANE BASI FACEBOOK. WATEMBELEAJI WA BLOG HII. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. MTAALAM WA BLOG HII NI HUYU. TEMBELEA NA BLOG HIZI. MAMBO MBALI MBALI KUHUSU TAALUMA. View my complete profile.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: COMMEMORATING THE GENOCIDE OF KIMBARI-RWANDA
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/06/commemorating-genocide-of-kimbari.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? COMMEMORATING THE GENOCIDE OF KIMBARI-RWANDA. Siku hii ilikuwa ni siku ya uzuni kubwa sana kwa wenzetu wanyarwanda manake walikuwa wanakumbuka mauaji ya kikabila yaliyotokea huko nchini kwao Rwanda ila kwa hapa Tanzania nasi tuliwaunga mkono kupinga mauaji hayo yasitokee tena. Hawa ni baadhi tu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha makumira wakiwa katika maandamano ya kupinga mauaji ya Kimbari. Wadau wakiendelea kutembea kama kawa siku hiyo kupinga mauaji hayo.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: MAKUMIRA UNIVERSITY WAONGOZA KWA STUDY TOUR!
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/06/makumira-university-waongoza-kwa-study.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? MAKUMIRA UNIVERSITY WAONGOZA KWA STUDY TOUR! Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha makumira wakiwa katika mbuga ya Arusha. Mpango mzima uliwezeshwa na Elisante Kifumu wa tatu kutoka kushoto mwenye t-shirt nyekundu pamoja na chura wa kwanza kushoto. Hapa ni maarufu kwa jina la water falls ni pazuri kwa kupigia picha namna hii. WADAU TUKUTANE BASI FACEBOOK. WATEMBELEAJI WA BLOG HII. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. MTAALAM WA BLOG HII NI HUYU. TEMBELEA NA BLOG HIZI.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: HIVI KWELI HIYO 50% KWA 50% WATAIPATA KWELI??
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/04/hivi-kweli-hiyo-50-kwa-50-wataipata.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? HIVI KWELI HIYO 50% KWA 50% WATAIPATA KWELI? Madada zetu sasa mnazidisha, hivi huu uvaaji unaweza kweli ukawaletea hiyo asilimia 50 kwa 50 mnayoililia kila siku bungeni? Kwa mavazi haya kweli? Mi nadhani bado inabidi mjipange upya. WADAU TUKUTANE BASI FACEBOOK. WATEMBELEAJI WA BLOG HII. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. MTAALAM WA BLOG HII NI HUYU. TEMBELEA NA BLOG HIZI. MAMBO MBALI MBALI KUHUSU TAALUMA. View my complete profile.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: HIZI NI SWAGA TU ZA HUKO MBEYA CITY!!
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/05/hizi-ni-swaga-tu-za-huko-mbeya-city.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? HIZI NI SWAGA TU ZA HUKO MBEYA CITY! Huyu ni mdau wangu wa huko mbeya city juz tu alinitumia picha hii akiwa katika poz kwa jina anaitwa Ivan. WADAU TUKUTANE BASI FACEBOOK. WATEMBELEAJI WA BLOG HII. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. MTAALAM WA BLOG HII NI HUYU. TEMBELEA NA BLOG HIZI. MAMBO MBALI MBALI KUHUSU TAALUMA. Am a student of Makumira University. Mob: 255717 705 127 "ntafute ntakujuza.usiogope tupo pamoja! View my complete profile.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: HII NI LOSHORO KUDA DEKI!!
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/04/hii-ni-loshoro-kuda-deki.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? HII NI LOSHORO KUDA DEKI! Hiki ni chakula maarufu sana kwa kabila la wameru wanaopatikana huku Arusha na hata wamasai, huu ni mchanganyiko wa mahindi yaliyopikwa kama kande na maziwa mgando. Duh! Mzee nilijaribu ila duh kazi ilinishinda ila ni kitamu sana. WADAU TUKUTANE BASI FACEBOOK. WATEMBELEAJI WA BLOG HII. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. MTAALAM WA BLOG HII NI HUYU. TEMBELEA NA BLOG HIZI. MAMBO MBALI MBALI KUHUSU TAALUMA. View my complete profile.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: HARUSI YA KIFAHARI YA PRINCE WILLIAM NA MKEWE CATHERINE!!
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/04/harusi-ya-kifahari-ya-prince-william-na.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? HARUSI YA KIFAHARI YA PRINCE WILLIAM NA MKEWE CATHERINE! Sherehe ya harusi ya kifahari ambayo haija wai kutokea katika miaka ya karibuni hapani Prince William na mkewe Catherine ndoa yao ilifungwa jana katiaka kanisa la wester minister, london Uingereza. Huyu ni mama wa bi harusi catherine mke wa Prince william akipungia umati wa watu uliokusanyika mahari hapo. Beckham na mkewe Victoria walikua kama wageni waalikwa, hapa wakiwasili eneo la tukio. WATEMBELEAJI WA BLOG HII.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: ASIKUAMBIE MTU GRADUATION IN RAHA YAKE BHAAANA!!!
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/11/asikuambie-mtu-graduation-in-raha-yake.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? ASIKUAMBIE MTU GRADUATION IN RAHA YAKE BHAAANA! Juu mdau katikati tukiwa na mchina kushoto na shemeji yenu kulia tukifurahia digrii zetu. Picha ya pamoja kama hivyo baada ya sherehe ya kupongezwa. Hahahahahaha ni furaha tu. WADAU TUKUTANE BASI FACEBOOK. WATEMBELEAJI WA BLOG HII. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. MTAALAM WA BLOG HII NI HUYU. TEMBELEA NA BLOG HIZI. MAMBO MBALI MBALI KUHUSU TAALUMA. View my complete profile.
dogojohnson.blogspot.com
KARIBU MDAU WANGU: ILI KUWA RAHA SI KITOTO!!
http://dogojohnson.blogspot.com/2011/11/ili-kuwa-raha-si-kitoto.html
UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS? ILI KUWA RAHA SI KITOTO! JUU mdau nipo na shemeji yenu.yeye ana digree ya sheria. Hapa nipo na shemeji zangu na shemeji yenu. Mabroo nao waliwakilisha na shemej yangu huyo pemben. Hawa ni wahitimu wa digrii ya sheria Tumaini University Makumira. WADAU TUKUTANE BASI FACEBOOK. WATEMBELEAJI WA BLOG HII. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. MTAALAM WA BLOG HII NI HUYU. TEMBELEA NA BLOG HIZI. MAMBO MBALI MBALI KUHUSU TAALUMA. View my complete profile.